Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Mimi siwezi kuwa mnafiki kusema nafurahishwa na mabandiko ya Godbless J Lema...huwa sipendezwi kabisa na njia yake anayotumia kutaka kutatua matatizo!

Lema anachofanya ni kuendelea kupandikiza chuki ambazo hazitomfikisha mtu popote na hakuna atakaye nufaika!Ikiwa Lema anawatuhumu polisi kutaka kumuuwa hivi anategemea polisi watafanyaje kazi naye? Sasa kweli polisi wakitoa taarifa mtaamini? Kwanini tusijengenye kuaminiana hata kidogo?

Hivi wanaosema jeshi la polisi lifanye uchunguzi na wahusika wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ni polisi gani mnao wazungumzia ikiwa hamuwezi kuwaamini hata kidogo?
Najua Lema amemumizwa lakini muda mwingine apunguze mihemko maana kwenye ili bandiko amechanganya mambo sana kiasi kwamba mtu anaweza shindwa kuelewa lengo lake...!

Mimi nimesikitishwa sana na kifo cha Alphonce Mawazo maana kimsingi hakustahili kufanyiwa alicho fanyiwa na huu ni ukatili ambao unatakiwa uchukuliwe hatua kali sana za kisheria....!

Watu wanatakiwa kujua kuwa hakuna chama kinacho mtuma mtu kuuwa wauaji hawana kabila,chama hivyo kama ni wahusika lazima wachukuliwe hatua...!

Ukisoma maelezo ya kamanda wa polisi wa Geita anasema mtumiwa mmoja ameshakamatwa na bila shaka huyo mtuhumiwa mmoja atasaidia kufahamu ukweli!

Mungu awape faraja ndugu wa marehemu!
 
Last edited by a moderator:
Naona suala la Zanzibar mnataka kulitumia kujipatia umaarufu wa kisiasa. Nawahakikishia hamtaambulia kitu zaidi ya kipigo na kuswekwa rumande

Ndani tumekaa sana wewe ambaye unaogopa kaa pembeni usilete akili zako ili kutuogopesha. Hapa Tanzania Upinzani ni uhalifu ndiyo maana mwanamageuzi yeyote amekwenda jela.
 
Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi

R>I>P Kamanda Mawazo!

Kamanda Poleni sana!. Iko wazi kuwa Mungu huweka majaribu penye njia!.

Kwa Damu yake na ya wengineo Demokrasia Tanganyika hii imbioni!


Martin Luther King, Jr./Quotes

The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort and convenience, but where he stands at times of challenge and controversy.



Faith is taking the first step even when you don't see the whole staircase.



Injustice anywhere is a threat to justice everywhere.
 
Lema ameumizwa sana, Mawazo alikuwa rafiki mkubwa wa Lema tangu wako TLP. Yaani imenisikitisha sana kuwa sasa Tanzania tunaingia siasa za Kikaburu, siasa ambazo tulizipinga enzi zile sasa ndio tunaanza kuzikumbatia. Ni gharama kubwa sana kumwaga damu isiyo na hatia na dola kushindwa kuchukua hatua, ktk hili lazima Polisi wawakamate wahusika na haki itendeke, bila kujali wadhifa au political affiliation ya muhusika, kuruhusu mauaji ya aina hii ni kuongeza wigo wa uhalifu, kutoka mauaji ya kijambazi, kishirikina hadi mauaji ya kisiasa.

Naamini Polisi wakifanya kazi kwa haki, watuhumiwa lazima watakamatwa na kufikishwa Mahakamani.

Vv
 
Huyu Lema anatakiwa apimwe akili anaweza kuwa na tatizo hivi anawezaje kuchochea fujo kiasi hiki kwa sababu tu kafiwa na mwanachama wake. Hivyo vita avianzishe ndani ya familia yake sisi atuache na imani na kudumaa kwetu

RIP marehemu
 
Sasa kama hujui ulijuaje kwamba ametumwa ama analindwa na polisi,mpaka kufikia hatua uchunguze na kuyabaini hayo maana yake unamjua acha ulimbukeni wewe we ndio hutumii akili hata kidogo!!

Nasikitika saana. Utakuwa polisisiem wa form four eeeh?
Sikiliza ilivyokuwa soweto polisi wapo pembeni ya uwanja wa football then alierusha bomu Tuliokuwepo karibu wengi tulimwona. Then raia wengine walipoona mtu amerusha kitu kilichojeruhi watu maana kabla hakuna aliejua ni bomu baadhi wakamkimbilia kumpiga na fimbo. Wa kwanza kumfikia akalimwa risasi. Katoto kakakatisha mbele yake na kenyewe kakapigwa risasi. Ni Vigumu kuelezea kwa maandishi may be kwa mdomo ungenielewa broh!

Tusipende kujitoa ufahamu kwa mambo yanayoonekana hata kwa macho. Ila nimeshaelewa mlengo wako so haunisumbui tena.
 
Aiseeee kweli alafu ilipgwa chini hcini hyo ishu cjui hata iliishia wapi nchi tunayoishi ni ya ajabu sana tukipata uwezo wa kuhama inabidi tuhame tuwaachie wenye nchi
 
ni viongozi wa ajabu sana wenye kutoa kauli kama hizo hivi cjui hata alifikiria nn lile lizee
 
hii tuhuma ya jeshi la polis kukaa na kamati za ccm ni hatari sana. polis toeni ufafanuzi juu ya hili...
 
Hata za Lowassa mnasema ameibiwa ! sasa hivi jamaa anachunga ng'ombe.
Kikiumana wewe utakuwa chini ya uvungu, huku mkeo umemuachia geti alinde.

Yule mzee Hawezi chunga ng'ombe ana pesa zake we kima ambazo najua ww utakufa hata robo yake hujazifikia Lanukhu...!!
 
Yana mwishowe tumwombe Mungu tusichoke kwani ipo siku sala zetu zitatupa majibu
 
Huyu Lema anatakiwa apimwe akili anaweza kuwa na tatizo hivi anawezaje kuchochea fujo kiasi hiki kwa sababu tu kafiwa na mwanachama wake. Hivyo vita avianzishe ndani ya familia yake sisi atuache na imani na kudumaa kwetu

RIP marehemu
Hivi mlitaka Godbless(CDM ) aipongeze polisi kwa lipi
?Let's be sencerely kwy hili jambo la kikatili na kusikitisha
 
Kanda maalumu ni Tarime na Rorya we kima sio msoma mjini au kwa ndugu zangu wasukuma ambao ujinga umekua mtaji wa watawala

Wenye akili ni wachaga walio pewa pesa na Lowassa ili wamtose Slaah, muungwana aliyejitolewa wakati wote kuijewnga Chagadema. Muungwana hana bei kama alivyo mchaga na tamaa za Dunia. Huko uliko taja ndiko anakotoka Vicent Nyerere ambaye ametahiriwa mara ya pili !
 
Back
Top Bottom