Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

For whatever reason unamuua mtu kijana ambae pengine ni baba kama wewe, kaka, mume, mjomba muumini, mtoto, mjukuu ili iweje halaf kikatili hvyo, no way vilio vya hao wote niliowataja hapo haviwezi kukuacha salama uwe mkubwa kama mbuyu au uwe na fedha nyingi za kujaza makontena bado kwa Mungu wewe ni punje tu ya haradani
Ni vgum kuingia akin hawa vijana wana vinasaba Kama vyetu. labda ni substance abuse. God save
 
Jamani Mbona hakuna anayeeleza kisa cha yeye kuvamiwa? Yeye kama mwananchi anaweza tenda kosa kwahiyo msikimbilie kwenye nafasi yake bila kueleza mkasa mzima.

mawazo gani Haya!!? kuna kisa chchte duniani knachoweza halalisha kutoa uhai wa binadamu hata kabla ya hukumu ya mahakama!? au ni yaleyale ya "wapigwe tu kwa maana hakuna namna"? pinda katoa kauli, kaachana na siasa, anakula pensheni yake kaacha wananchi "wanapigwa tu" na sasa "wanauawa tu". anajisikiaje anapoingia kanisani kwake na kusikia kuwa mtu kafa kwa kuwa alisema "wauawe tu..." RIP MAWAZO
 
Waliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.

Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.

Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.


Usije shangaa kesho ukasikia wale wote waliohusika wamepewa vyeo serikalini. Ambayo inakuwa kama pongezi kwa kazi kubwa waliyoifanya.

RIP Kamanda wetu, Mungu atatupigania na haki itatendeka.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
attachment.php


Mafisiem sio watu wazuri - wawe vijana au wazee - wana roho za kichawi na ndio maana Tanzania itaendelea kuwa masikini. Mchawi hata siku moja huwa hafanikiw kwa sababu muda wake wote ni kutaka kuwadhuru. RIP Mawazo.

Hawa utashangaa wengine baada ya kazi hii wanakula bata Ndani ya Chama au Serikalini!.
Ni aibu ya aina gani kwa watu wazima kama hao mtu mmoja utadhani wanakimbiza jambazi lilodondosha Bunduki?

 
Waliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.

Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.

Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.

narejea maneno ya viva rom? " utamfunga nan na ye na mwanasheria mkuu ni maswaiba"
 
Kamanda Mawazo kauawa na Polisi na inajulikana,najiuliza hivi hawa Polisi wetu ni Watanzania?na kama ni Watanzania wanapigania nini?nasema wazi watatumaliza wote ili wabaki wenyewe,lakini kabla hawajatumaliza haki itachukua mkondo wake na ndipo Taifa langu Tanzania litainuka kutoka kwenye mavumbi,Mungu M;laze pema Kaka yangu Kamanda Mawazo!

Wanapigania ajira zao,
Mwokozi nitoe roho niepuke ili balaa.
 
Ni masikitiko sana kupoteza binadamu ambaye nchi bado inahitaji mchango wake.

Mungu akuweke pema peponi Kamanda Mawazo.

Nashangaa umeanza kutoa tuhuma mapema kabla hata ya uchunguzi haujafanyika. Nadhani Mtu ambaye aliwahi kuwa Mbunge atakuwa anafahamu maana ya sheria.


Na wewe Lema ni kati ya wanasiasa wanaosaidia wauwaji wasifahamike na waendelee kuwepo mitaani!

Kama mmoja wa viongozi wa CHADEMA walivyoueleza ulimwengu, kwa sasa una mkanda ambao unaonyesha watu waliofanya mauwaji katika mkutano Arusha kwenye viwanja vya Soweto! Kinachoshangaza na kusikitisha ni kuendelea kukaa na mkanda wa video badala ya kuvipa vyombo vya habari ili vihabarishe dunia kuhusu wauwaji hao kwa sababu kuna uwezekano wanaendelea kufanya maovu wakati una mkanda unaonyesha sura zao.

Inaeleweka Vyombo vya habari ni muhimili mwingine wa nchi na taasisi zake zinafanya kazi kubwa ya kuelimisha na kupasha habari. Nchi kama Uingereza wananchi wanatumia vyombo vya habari kama BBC kuhabarisha jamii kuhusu watenda maovu walionaswa kwenye video (Crimewatch).

Kama hamuwezi kuwapa polisi/serikali huo mkanda, vipeni vyombo vya habari ili viwafichue watenda maovu.

Kuna familia mpaka sasa hazifahamu kilichotokea mpaka kupotelewa na ndugu, jamaa na marafiki. Kwa familia hizi kufahamu nani aliyetenda maovu ni njia ya kuponya makovu ya masikitiko.

Maisha ya binadamu ni zaidi ya siasa. Hata kuwafahamu kwa sura wauwaji ni moja ya justice kwa familia. Wapeni haki ndugu, jamaa na marafiki.

Chombo cha habari kipi ndugu,umesahau hii nchi inaendeshwa kidikteta kunachombo cha habari kinauwezo wa kutoa habari mbaya kwa serikali umesahau walichofanyiwa kituo cha haki za binaadamu.hata vyombo vya habari binafsi vinabid viishi kinafiki hili viweze kusuvive.hiv kati ya serikali na chama cha siasa nani anapaswa kuja na habri ya uhakika kuhusu mabomu ya arusha ? Yaan ad leo serikali haijui aliyee mpiga ulimboka?
 
Kiukweli sijaona hata bandiko lililo sawa kulielewa,,,hivi hapakua na mtu yyt kwenye tukio zima ama mwanzo wa tukio atuambie sielewi.......naona kama vile hili tukio limefichwa eti kutekwa ,,,how ...wapi,,,,saa ngapi,,,,kukaa kimya kama unajua story nzima ni unafiki,,,,leteni habari kamili,,,bado sielewi nini chanzo cha haya yote,,,,katekwaaaa yaani alikua peke yake ama iweje awe na mkutano atekwe na waafuasi wengine waangalie tu ,,,,,jamaniiii kuna kitu kimejificha hebu fungukeni mtupe ukweli wa habari...KATORO GEITA naamini kuna watu waliomo humu ina maana hamjishughulishi kujua ukweli wa jambo ama kuna kitu mnakificha ,,,,,,,SIWAELEWI

Tunaomba kujua mazingira vizuri ya kuuawa huyu kamanda, taarifa ziko sahihi ila namna alivyouawa ndiyo hatujui. Je alitekwa?? Na alikuwa peke yake?? Muda gani??? Maeneo gani??? Hapa wahalifu lazima wapatikane tu na sheria ichukue mkondo wake.
 
Marehemu alikufa na haki zake!

Haki ya Marehemu Mwangosi aliyeuwawa na Polisi na ushahidi upo, haijapatikana mpaka leo, itakuwa Mawazo aliyeuwawa juzi?

Halafu linaibuka lijitu linajifanya linamjua Mungu, eti linasema TULIOMBEE! TULIOMBEE! Inakasirisha sana!
 
MUS
Marehemu alikufa na haki zake!

Haki ya Marehemu Mwangosi aliyeuwawa na Polisi na ushahidi upo, haijapatikana mpaka leo, itakuwa Mawazo aliyeuwawa juzi?

Halafu linaibuka lijitu linajifanya linamjua Mungu, eti linasema TULIOMBEE! TULIOMBEE! Inakasirisha sana!
MUSSA ALLAN umelaaniwa
 
Back
Top Bottom