Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,264
- 42,199
Mimi siwezi kuwa mnafiki kusema nafurahishwa na mabandiko ya Godbless J Lema...huwa sipendezwi kabisa na njia yake anayotumia kutaka kutatua matatizo!
Lema anachofanya ni kuendelea kupandikiza chuki ambazo hazitomfikisha mtu popote na hakuna atakaye nufaika!Ikiwa Lema anawatuhumu polisi kutaka kumuuwa hivi anategemea polisi watafanyaje kazi naye? Sasa kweli polisi wakitoa taarifa mtaamini? Kwanini tusijengenye kuaminiana hata kidogo?
Hivi wanaosema jeshi la polisi lifanye uchunguzi na wahusika wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ni polisi gani mnao wazungumzia ikiwa hamuwezi kuwaamini hata kidogo?
Najua Lema amemumizwa lakini muda mwingine apunguze mihemko maana kwenye ili bandiko amechanganya mambo sana kiasi kwamba mtu anaweza shindwa kuelewa lengo lake...!
Mimi nimesikitishwa sana na kifo cha Alphonce Mawazo maana kimsingi hakustahili kufanyiwa alicho fanyiwa na huu ni ukatili ambao unatakiwa uchukuliwe hatua kali sana za kisheria....!
Watu wanatakiwa kujua kuwa hakuna chama kinacho mtuma mtu kuuwa wauaji hawana kabila,chama hivyo kama ni wahusika lazima wachukuliwe hatua...!
Ukisoma maelezo ya kamanda wa polisi wa Geita anasema mtumiwa mmoja ameshakamatwa na bila shaka huyo mtuhumiwa mmoja atasaidia kufahamu ukweli!
Mungu awape faraja ndugu wa marehemu!

Last edited by a moderator: