Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mkuu hii ni Tanzania wanayoitaka iwe. By the way, kwa mtu aliyepewa dhamana na title ya u-jaji aropoke vile, unategemea watu wenye kuta 28 za elimu maishani mwao wafanye nini?
Shame on you Tendwa.
7x4 = std 7
Umenikumbusha mtu mmoja anaitwa Dr. Ngirwa! teh teh teh mkuu. Ulikuwa na maana hiyo au nimeshambulia chaka?