Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Ndio nini hiki? Hakukua na haja ya kuanzisha thread yenye maudhui haya wakati zipo threads nyingi zinazomhusu Lema pamoja na uchaguzi wa Arumeru

kweli mungu si athuman yaaani wewe ungekuwa mod sipati picha.
 
Tunajua jinsi propagada inavyofanya kazi.kwa mfano kumwita adui yako majina machafu iliufanikishe kile ulichodhamiria,pia propaganda inapokaribia kushidwa hutumia nguvu ili iwezekushida.hivyo kuhusu lema propagada itashidwa na watatumia police ili ifanikiwe na propagada ikishidwa inamaana aliyeitumia ni mpumbavu.hivyo magamba ni wa pumbavu kwakuwa propagada ya kumuita lema majina machafu imeshidwa.
 
Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.

Sifa kuu ya Wasira anatumika maabara ya historia kuprove kama zamani binadamu tulikuwa masokwe au Zinjatropas.
 
No one like Lema in this country !

a country with more than 40m people you pretend to know every individual to the extent you grade Lema exceptionally! that may be some sort of blindness and blasphemy. But on the other way around I would agree with you if you are talking about a specific aspect. however you would say no one like Lema in this world not only Tanzania this is because every mankind has been created differently and provided with traits differently to others even if they may be twins so you better be specific to what context your statement is.
 
Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.

GB 800,000 za usingizi, MB 20 za postive thinking,GB 500 za kuvimbisha kitambi!!
 
A leader is born and not made.So Lema was born or made to lead?
These are different Leadership theories mkuu. Some leaders are BORN where as other leaders are MADE and so CREATED. Generally no one should conclude on one side and object the existence of the other side. It is obvious that a leader is either born or made!!!!!
 
Viongoz wanaandaliwa kwa kuzingatia ethics za uongoz na sio kurithishana et kisa baba alikuwa mbunge bas na mtoto awe mbunge 2 kienyejienyej kama wanavyotaka kufanya hapo arumeru!
 
Ukweli ni kwamba Lema haogopi gharama za uongozi na ndiyo maana haogopi kutenda haki kwa kadri anavyoweza na kusema ukweli bila kujali cheo au nafasi ya mtu huyo katika jamii. Viongozi wengi wanaogopa gharama za uongozi hasa anapoona atatofautiana na wenzake, mfano mzuri ni rais wetu katika suala kama muswada wa katiba na mengine mengi mnayajua.
 
Jimwage mwenza, raha jipe mwenyewe asikupe mtu itakuwa imedoda...kama Lema amekugusa sema hadharani, si kila mtu na lake, Wanaoona umewaudhi...waku leave alone...haha
 
Policcm? unataka waombe ulinzi gan? Kama wao wanasubiri had waombwe basi imekula kwao. Ina maana hawakuckia tshio lililotolewa na wale wazee? Lema analindwa na Mungu. Morani wanaongeza nguvu.

very sure Zaburi 127:1
 
Ukweli ni kwamba Lema haogopi gharama za uongozi na ndiyo maana haogopi kutenda haki kwa kadri anavyoweza na kusema ukweli bila kujali cheo au nafasi ya mtu huyo katika jamii. Viongozi wengi wanaogopa gharama za uongozi hasa anapoona atatofautiana na wenzake, mfano mzuri ni rais wetu katika suala kama muswada wa katiba na mengine mengi mnayajua.

Mkuu uko sahihi kabisa jamaa yuko strong and hata magamba wanalijua hilo
 
Back
Top Bottom