Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Atakayejaribu kuchakachua hii topic naripoti Abusie. Haki ya mungu. Topic yangu mmeitia najisi.
 
aisee nyie wachakachuzi hapa naona mwenye sredi kapandisha maruhani ya kimasai. ngoja nihamishe kijiwe.

bora umeondoka na usirudi tena. Umeinajisi sredi yangu vya kutosha.
 
Pole sana mkuu, yaani sredi akihuzuria husninyo basi ujue imekwisha, lakini usjali akikuwa waifu wangu nitamrekebisha

haki ya mungu lazma niripoti kwa invisible ili azifute komenti zenu wote sredi yangu ianze upya.
 
bora umeondoka na usirudi tena. Umeinajisi sredi yangu vya kutosha.

bek to ze topik wakati mmeshaitia najisi.

mmeshainajisi sredi yangu, haina thamani tena.


Nikwambie sifa za WACHAKACHUZI???

  1. Ni wachangiaji namba moja... anahakikisha kachangia kwanza ipasavo, ama ku-ignore kabisa tegemea na thread yenyewe maana ukitaka sifa za thread za kuchakachua hilo ni darasa lingine tena.
  2. Hua wanahakikisha wametambua kua hakuna jipya tena litakuja katika thread husika... (observe trend ya uzi wako utaona kua ilifika kikomo)
  3. Hua tunasoma alama toka kwa mwenye thread.... Kama katelekeza thread AU kama nae anachakachua... Wee you belong to the former, thread imechakachuliwa page tano unakuja lalama page ya sita baada ya wewe kuhusika pia...
  4. Tunasoma alama ya nyakati.... Kama hapa inabidi tuhame kihenge, maana stimu ya hapa ishakatwa hivo usiwe na wasi...
Be good Mkuu na Usiku mwema...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom