Usifanye mahusiano na mtu wa aina hii

Extrovert24

Senior Member
Jun 23, 2022
107
124
Natumai mko poa wana jamvi, Sasa Niende moja kwa moja kwa Mada tajwa hapo juu. Watu wa aina hii ni lazima uwaepuke katika kuingia nao kwenye mahusiano au kufanya nao urafiki wa ndani sana kiasi kwamba Kila jambo lako waweza mueleza.

Watu wenyewe ni wa aina hii

1. Mtu ambaye hukufanya ujihisi huna furaha ukiwa naye karibu
2. Mtu ambaye siku zote yeye ni kulalamika tu na kujiona yuko sahihi kwa Kila kitu
3. Mtu ambaye hukucheka kuhusiana na ndoto zako pamoja na kukuvunja moyo
4. Mtu ambaye Kila shida zake hasa za financial anakuletea wewe
5. Mtu ambaye kichwa chake kinawaza negativity na fikra zake zote ni za negativity tu
6. Anayejaribu kujifanya anakujua hivyo anataka aku control kwa Kila jambo
7. Mtu ambaye ni muongo muongo sana na hawezi kuaminika
8. Mtu ambaye ni anafahamika kwa vitendo vichafu mf. Wizi
9. Mtu ambaye hukaa kusengenya watu pale tu wanapompa kidogo
10. Mtu ambaye hajali hisia zako
11. Mtu Mwenye kijicho (husda)

Watu wa aina hii ni muhimu sana kuepukana nao kwani maisha ni safari ndefu mno na tuna mengi ya kushughulikia na mengi ya kutimiza, Nyuma yetu tunategemewa . So Kuwa Makini

Naomba Kuwasilisha
 
Uko sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom