Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,109
173,907
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Ntakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Ntajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Ntakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake ana mtu wa kumkeep busy.
Tutafute hela, wanawake hawana majibu mabaya hata kidogo. Ni watiifu kweli kweli
 
Ukimshtua na mwamala wa maana atawashwa tu. Malay wanapenda sana pesa. Hata asipokuja siku hiyo atakutafuta tu sababu atataka tena hela yako na atakuja na utetezi wa kipuuzi tu ila atakuja.
Utaliwa Hela Hadi uchoke na utelezi no ukikutana na mwalimu labda kama ni kodi za wapangaji au una mirija ya ufisadi hazina uchungu hizi kuziwekeza kwenye starehe hii ya mwafrika
 
Utaliwa Hela Hadi uchoke na utelezi no ukikutana na mwalimu labda kama ni kodi za wapangaji au una mirija ya ufisadi hazina uchungu hizi kuziwekeza kwenye starehe hii ya mwafrika
Malaya na pesa ni kama mapacha. Atakufata tu. Wala huitaji kutuma mara mbili, ile mara ya kwanza tu inatosha. Tuma pesa ambayo unajua yeye hajaizoea. Kama kazoea 10, tuma 50. Kama kazoea 50 tuma laki halafu utaona kama anaweza kukupuuza. Atawashwa tu.
 
Back
Top Bottom