Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
 
Bc we unawachukua karbu watz wote maana hyo namba moja ndo cfa yetu kuu
 
Mimi wananiboa wale mtu uko serious unashusha manondo yeye anacheka tu, nimekumbana nao wengi sana kitaani na kazini wa dizaini hii .
 
Mimi wananiboa wale mtu uko serious unashusha manondo yeye anacheka tu, nimekumbana nao wengi sana kitaani na kazini wa dizaini hii .

hiyo ilinitokea kipindi flani nafundisha tuition, watoto badala kukusikiliza wanachekacheka.
 
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.

Hayo mbona yanakurudia mwenyewe. Nahisi kama wewe ndio upo hivyo humu JF. sio ugonvi.
 
topic ya reproduction.

Basi Mkuu unakosea technique... Hio topic ni moja ya topic ukifundisha, wanafunzi wanaweza kukuelewa na hawataki darasa liishe wala NO interruptions...

Samtaimu tunaongelea maisha kabisa, mtu unampa mchongo unaona anacheka tuu, unamwambia niko serious anauchuna dakika 2 halaf anaanza tena upya.

Bana lazima kuna kitu una miss kusema.... Mchongo mtu acheke... (inanifanya nianze kukupiga picha the way ulivo....lol)
 
Bana lazima kuna kitu una miss kusema.... Mchongo mtu acheke... (inanifanya nianze kukupiga picha the way ulivo....lol)
hehehe stop buffering, niko vere serious kwenye real life, huu ni uzembe wa audience tu na has nothing to do na michongo ninayowapa.
 
hehehe stop buffering, niko vere serious kwenye real life, huu ni uzembe wa audience tu na has nothing to do na michongo ninayowapa.

...........lol....... Lawyer uko makini wewe.... Khaaa!! Mtu hakudanganyi kabisa... Noamba toa mfano wa mchongo mmoja wapo ambao sio mbaya kuumwaga hapa jamvini... ili nisi buffer....
 
@AshaDii, hebu nijuze technics unazotumia ili nilinganishe na zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom