BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
aseee bagah yani umenifanya nikasikia harufu ya kinyesi hapa nilipo, na hakuna choo karibu!!.
pole memo...ni katika kuelezea nikajikuta nimefunguka mmno...mana hili jambo silipendi kinoma!...
aseee bagah yani umenifanya nikasikia harufu ya kinyesi hapa nilipo, na hakuna choo karibu!!.
Yan mi leo niko out of moody kwa ajili ya hao wajinga....Hahaha wale wanaoshinda kwa mkurugenzi kupiga majungu? Hawa ndo siwapendi zaidi, halafu ukute mkurugenzi mwenyewe hajiamini anapenda majungu inakuwz kazi haswaaaaaaaaaaaa
tena kibaba kimetoka kinafungia suruali hapa juu karibu na kifua...kumbe mavi mtu mwili mzima....
Wadigo wanakuambia mavi nayo niyajengee nyumba? Ya kazi gani? Hapo mwendo ni kunya porini tu bila hata kwenda na jembe la kufukia.
Yan mi leo niko out of moody kwa ajili ya hao wajinga....
Natamani hata kuacha kazi
Mtu mzima, [tena usikute msomi na degree zako kadhaa kichwani] unaingia chooni, iwe choo cha umma au binafsi, iwe ofisini au kituo cha basi unakuta choo kisafi, kinang'ara, unaachia mkojo ukimaliza unaondoka bila kuflash ilhali maji yapo ya kutosha......... Halafu mkojo wa njaaaaaaaaaaaanooooooooooooo........ Mpaka umetoa povu....
Haifai hiyo waungwana......kama kuna mwenye tabia hii aache mara moja....
Nawaombeni wale wote mnaosimama wakati wa haja ndogo ..
Hakikisha bastola yako iko katikati ya tundu kabla ya ku mimina risasi ..
TA
Na wale wanaokojoa mpaka juu ya sink ...
Wazeni kidogo naomba maana hata ukifuta mkojo bacteria bado wapo.
Nawaombeni wale wote mnaosimama wakati wa haja ndogo ..
Hakikisha bastola yako iko katikati ya tundu kabla ya ku mimina risasi ..
TA
mmmh kweli kabisa, sio unaingia maliwato unakuta vitone vitone vya mkojo sakafuni.......
sasa kama mtu amelewa na hana control ya kushikilia bastola afanyeje? Achuchumae kama nyinyi?
nimeipenda hii....
Watu hawajui uzuri wa nyumba sio masofa.....wala sio jiko....uzuri nyumba ni choo....
Jibu unalo ...
Wadigo wanakuambia mavi nayo niyajengee nyumba? Ya kazi gani? Hapo mwendo ni kunya porini tu bila hata kwenda na jembe la kufukia.
Bora sakafuni kuliko kwenye kiti cha choo....
Maana Kuna wengine wavivu wa kunyanyua
Kiti cha choo.
ivi choo cha jf ki wapi tufanye ukaguzi?
mkuu wenyewe hawaiti wakichakani wanaita wangwani.kibinti/mama/dada anakata gogo kichakani halafu chipi anaitia kwenye sidiria anatembea mpaka home bila pichu na chembe chembe za mavi makalioni anaenda kutawazia home,
ivi choo cha jf ki wapi tufanye ukaguzi?