Kama una tabia hii uache

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,162
Mtu mzima, [tena usikute msomi na degree zako kadhaa kichwani] unaingia chooni, iwe choo cha umma au binafsi, iwe ofisini au kituo cha basi unakuta choo kisafi, kinang'ara, unaachia mkojo ukimaliza unaondoka bila kuflash ilhali maji yapo ya kutosha......... Halafu mkojo wa njaaaaaaaaaaaanooooooooooooo........ Mpaka umetoa povu....

Haifai hiyo waungwana......kama kuna mwenye tabia hii aache mara moja....
 
nasikia kuna kabila fulani wana tabia ya kukata gogo na kuacha hapo hapo...

BTW kuna siku nilikua mgeni mahala fulani...ilikua ni nyumba ya kupanga,nilienda kumsalim mchizi...sasa asubuhi kama kawa mtu lazima uende maeneo!...nilifika mara ya kwanza nikakuta closed...niliporudi tena pakawa wazi na jibaba hiloo linapotelea rum kwake...nakuta mzigo kama kilo mbili haujasafirishwa...nikasema hapa nikondoka nitaambiwa ni mm...nikamvulia uvivu yule baba nikamwambia samahani UMESAHAU KUFLASH...hahahaa...kuna maza alikua hapo pembeni akaniambia safi sana mwanangu huyu mzee ndo zake....
 
aseee bagah yani umenifanya nikasikia harufu ya kinyesi hapa nilipo, na hakuna choo karibu!!.
 
haya mama wamekusikia ungeweka na kale kasnap kawale walio kojolea sink la kunawia pale taifa..
 
Hahaa huyo babu hatokusahau.... Sasa namna hiyo mtu unaweza kujiuliza kama kaweza kuacha zigo lake mahala hapo ambapo kila mtu anaingia, atakuwa kajisafisha kweli?
Halafu mtu haoni vibaya kuacha zigo lake nje nje?

Memo acha tu kuna watu wana mambo ya ajabu....
Wakati nipo chuo kuna mtu aliachia mambo juu ya sinki za kunawia, tena dakika chache toka wadada wa usafi watoke kufanya usafi, mpaka leo sielewi alipandaje, na alijikunja vipi mpaka kuachia kimlima kile, na alikuwa na nia gani, sielewi.......

taifa sijawahi kufika ndugu yangu, na heri nikae hivi hivi maana nahisi nitanuna nikiona hayo mambo. Maana heri vyoo vyenu wanaume, wanawake tunajua kusiliba taka vyooni, uwiiiiii sitaki kuimagine....
 
Memo acha tu kuna watu wana mambo ya ajabu....
Wakati nipo chuo kuna mtu aliachia mambo juu ya sinki za kunawia, tena dakika chache toka wadada wa usafi watoke kufanya usafi, mpaka leo sielewi alipandaje, na alijikunja vipi mpaka kuachia kimlima kile, na alikuwa na nia gani, sielewi.......

hahahahaa
huo ni aina ya ukichaa.......juu ya masink?
Ukiteleza ukipiga kichwa chini si tunakuimbia parapanda mida hiyohiyo?
 
huyo naisi hakuwa na akili sawa angeanguka angeachia watu matatizo kama ya LULU
 
Yaani niliwahurumia wale wadada kwenda kuzoa 'mzigo ' wa mtu mzima....mbaya zaidi masink yale wanafunzi walikuwa wanafua hapo na kupiga mswaki.........

hahahahaa
huo ni aina ya ukichaa.......juu ya masink?
Ukiteleza ukipiga kichwa chini si tunakuimbia parapanda mida hiyohiyo?
 
Sipendi wenye majungu ofisini....wanaboa sana....
I hate it for really
 
Hahaha wale wanaoshinda kwa mkurugenzi kupiga majungu? Hawa ndo siwapendi zaidi, halafu ukute mkurugenzi mwenyewe hajiamini anapenda majungu inakuwz kazi haswaaaaaaaaaaaa

Sipendi wenye majungu ofisini....wanaboa sana....
I hate it for really
 
Hahaa huyo babu hatokusahau.... Sasa namna hiyo mtu unaweza kujiuliza kama kaweza kuacha zigo lake mahala hapo ambapo kila mtu anaingia, atakuwa kajisafisha kweli?
Halafu mtu haoni vibaya kuacha zigo lake nje nje?

choo ni sehem nyeti sana...ila wabongo wengi tunadharau hii sehem as if ukiweka mzigo leo kesho hurudi tena...

tena kibaba kimetoka kinafungia suruali hapa juu karibu na kifua...kumbe mavi mtu mwili mzima....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom