Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kiranga naomba usile kona leo tupo wote tu..
Kati yako wewe ambaye kabla hujathibitisha mungu yupo usharukia ahadi zake thabiti, na mimi ninayekutaka uthibitishe yupo, nani anakula kona hapa?

Wewe kwa kuniambia nisile kona tu ushakula kona.

Umekula kona kulikimbia swali langu.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Nimekujibu, jibu maswali swali langu nilinokuuliza vizuri na kwa ufasaha...
 
Nathibitisha uwepo wa mungu kwa yale yote aliyoniahidi, nimeyapata na kwa muda niliotaka.

Kuyapata uliyoyapata kwa muda uliotaka kunathibitishaje kwamba mungu yupo?

Na wale wanaotaka amani Syria na hawajapata amani kwa muda waliotaka kama walivyoahidiwa, hilo linathibitisha nini kama mungu anathibitika kwa watu kupata waliyoahidiwa kwa muda wanaotaka?
 
Nimekujibu, jibu maswali swali langu nilinokuuliza vizuri na kwa ufasaha...
Hujathibitisha mungu yupo.

Swali lako uliloniuliza vizuri na kwa ufasaha lipi? Unaweza kuuliza tena hapa tupime ufasaha wake kwanza?
 
Kuyapata uliyoyapata kwa muda uliotaka kunathibitishaje kwamba mungu yupo?

Na wale wanaotaka amani Syria na hawajapata amani kwa muda waliotaka kama walivyoahidiwa, hilo linathibitisha nini kama mungu anathibitika kwa watu kupata waliyoahidiwa kwa muda wanaotaka?
Wale wote hawamfuati Mungu ninayemfuata Mimi
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati mwanzo kabisa, kabla ya chochote kuwapo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kufanyika?
 
Nani kakwambia mungu ana upendo wote?
 
Kama hujui utawezaje kujibu kuwa gari na barabara vinarandana wakati hujui kama gari lipo?

Napenda kutumia hesabu na logic, kwa sababu zinakata uongo mwingi.

Naweza kuwa sijui square root ya mbili ni nini, lakini nikajua si kumi.

Hilo unalielewa kwanza?
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati mwanzo kabisa, kabla ya chochote kuwapo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kufanyika?
Kiranga ukipita mjini na kukutana na mtu mwenye shida ya pesa asipokuomba utampa au utapita na kwenda zako?
 
Duh!

Babu hivi huwa huchoki kubishania hayo mambo?

Kwa sababu naona kama vile huwa unabishana na watu wasiojua tofauti kati ya imani na ujuzi!
 
Kiranga ukipita mjini na kukutana na mtu mwenye shida ya pesa asipokuomba utampa au utapita na kwenda zako?

Unanifananisha mimi na mungu wako? Mimi ndiye mungu wako mara hii?

Hujajibu swali langu.

Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Sawa je akili ni nini na iko wapi?
kwa kupitia hilo swali haimanishi kwamba mungu yupo kwasaba ww umeuliza swali mtu anakili au ubongo?
hapo maana yake ni kwamba ubongo upo lakini akili hainekani kwa macho ila kwa vitendo.

kama lengo lako la kuuliza hilo swali nikutaka kutuaminsha kwamba mungu yupo kwasababu ya akili haiwezi kuonekana kwa macho. na inakuwaje huyo mungu tumeshindwa kumuona kimwili na vitendo?
 
Napenda kutumia hesabu na logic, kwa sababu zinakata uongo mwingi.

Naweza kuwa sijui square root ya mbili ni nini, lakini nikajua si kumi.

Hilo unalielewa kwanza?
Suala ya square root limekujaje kwenye swali la uwepo gari kwenye barabara?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom