Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Mtu ana ubongo au ana akili?
Akili ni nini?

Na kwa nini swali hili liwe la au? Unafahamu ukiweka au kwenye swali kama hivyo unampa mtu achague kimoja na aache kingine, kwa nini umeweka au?

Haiwezekani mtu kuwa na ubongo na akili?
 
Unajuaje kwamba atakuja? Unajuaje yupo?
Maswali ha msingi sana hayo na sikulaumu kwa kweli kwa hapa tulipofikia, ila suburi utakuja siku uhisi kuna kitu kimeingia duniani si cha kawaida! Mimi si mfuasi wa dini yoyote hapa chini ya jua ila ninaamini jambo ninalolijua..
 
Unawezaje kuamini jambo unalolijua?

Unafahamu kwamba kuamini na kujua ni vitu viwili tofauti?

Na kwamba, in context, unalolijua huwezi kuliamini, na unaloliamini hujalijua bado?
 
Akili ni nini?

Na kwa nini swali hili liwe la au? Unafahamu ukiweka au kwenye swali kama hivyo unampa mtu achague kimoja na aache kingine, kwa nini umeweka au?

Haiwezekani mtu kuwa na ubongo na akili?
kwa hiyo mtu anafikiria na kujua jema na baya kupitia nini?
 
kama yupo inakuwaje sisi wengine hatumjui?
Kutokumjua kwako sawa sawa na MTU asiyejua kusoma na anayejua kusoma.Kwaio anayejua kusoma inabidi amfundishe asiyejua kusoma ambaye ni wewe usiyemjua MWENYEZI MUNGU.Na nakuona mjinga kuamini kuwa kuna carbondioxide wakati hujawahi kuiona hata kuishika ilihali unajua IPO.
 
Unawezaje kuamini jambo unalolijua?

Unafahamu kwamba kuamini na kujua ni vitu viwili tofauti?

Na kwamba, in context, unalolijua huwezi kuliamini, na unaloliamini hujalijua bado?
Kuamini na kujua ni tofauti ila kuna ufanano, mf, ukisema kwa mwenzio "Najua nitafika hapo kwako kesho saa tano" ina maana una uhakika wa 100% kuwa utakuwepo saa 5,.. ikitokea bahati mbaya ukagongwa na gar njian kabla hujafika yule jamaa ako atashangaa kwann hajafika huyu mtu wakati alisema anajua, ila ukisema "Naamini nitafika hapo kwako kesho saa tano" unakuwa umeweka 50_50 kwamba ikitokea dharula uwe na la kusema, so mimi nimesema naamini na najua sababu aliniambia kuwa atakuja, so inaweza kutokea akaja kwa muda aliopanga au akawahi au akachelewa kutokana na sababu nyingi tofauti.
 
Utajuaje kitu ambacho hakijatokea bado?

Ukisema "Najua nitafika hapo kwako kesho saa tano" wakati hujui kama kesho utashikwa na homa, una tofauti gani na anayesema "Naamini nitafika hapo kwako kesho saa tano" ?
 
Mzee kaswali kadogo kama haka mpaka unauliza namaanisha nini! jibu mzee jibu tu akili au ubongo.
Kwa nini iwe akili au ubongo?

Kwa nini swali liwe la au?

Unamuuliza mtu "Unatoka Kariakoo kwenda Ilala kwa kutumia gari au barabara?" wakati anatumia gari na barabara.

Akujibu vipi?
 
Utajuaje kitu ambacho hakijatokea bado?

Ukisema "Najua nitafika hapo kwako kesho saa tano" wakati hujui kama kesho utashikwa na homa, una tofauti gani na anayesema "Naamini nitafika hapo kwako kesho saa tano" ?
Nasema hivyo kwa mfano tu, ila tunamuongelea Mungu, ahadi yake thabiti, sio kama za kiranga.
 
Kwa nini iwe akili au ubongo?

Kwa nini swali liwe la au?

Unamuuliza mtu "Unatoka Kariakoo kwenda Ilala kwa kutumia gari au barabara?" wakati anatumia gari na barabara.

Akujibu vipi?
Kama unakiri unatumia akili, je akili ni nini? Na iko wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom