Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Mwenzio huyo yeye anasema kuna imani sahihi na potofu,na hakuna anayeweza kuishi bila imani wala hapingi kuwepo kwa mungu kwa sababu ni imani.

Je,we unazungumziaje imani kwa upande wako?
Hujamalizia.

Sipingi kuwepo kwa mungu kwa sababu ni imani. Napinga mtu anayesema mungu yupo kama fact, kwa sababu ni imani potofu.

Dhana ya mungu huyu anayesemwa yupo kuwepo inajipinga yenyewe kama pembetatu kuwa duara muda huo huo katika Euclidian geometry.

Kama mambo ya imani tu, hata ukiamini mungu ni mti wa mbuyu ni sawa.

Unaruhusiwa na katiba ya Tanzania na maazimio ya haki za binadamu ya kimataifa.

Mtu yeyote anayepanga ratiba ya kesho anafanya hivyo kwa imani. Anajuaje atakuwepo hiyo kesho?

Imani haiepukiki. Imani potofu haitakiwi kutajwa kama ukweli.
 
Mimi nimeshakuelewa mkuu.
 
Mwenzio huyo yeye anasema kuna imani sahihi na potofu,na hakuna anayeweza kuishi bila imani wala hapingi kuwepo kwa mungu kwa sababu ni imani.

Je,we unazungumziaje imani kwa upande wako?
Mtazamo wake na wangu hauna tofauti kubwa.

Imani potofu kweli zipo.

Imani sahihi au ambazo zina usahihi kwa kiasi kikubwa nazo zipo.

Kutokuweza kuishi bila kiasi fulani cha imani nayo ni kweli.

Ni nani anayejua kila kitu? Unapoenda mgahawani kununua chakula ili ule, unajuaje kama chakula ulichoagiza ni kisafi na/au kweli umeletewa ulichoagiza na si kitu kingine?

Huoni hapo utakuwa unatumia imani ya kuwaamini kuwa hicho chakula wamekiandaa katika mazingira masafi na kwamba hawakulishi kile ambacho hujaagiza?

Na mtu atapingaje imani ya mwingine anayeamini mungu yupo?

Imani ni kitu cha kufikirika tu. Ni kitu kilichopo kichwani mwa mtu. Sasa yaliyomo kichwani mwako, uyawazayo kichwani mwako na kuyakubali, mimi nitakukataliaje?

Nitakuhoji tu endapo utaanza kuniambia hayo uyawazayo kichwani ndo uhalisia wa mambo.

Zaidi ya hapo imani inabaki kuwa fikra na mawazo ya mtu tu na ndo maana unaona sehemu nyingi duniani watu wana uhuru na haki ya kuamini watakayo ili mradi hizo imani zao hazileti madhara, kwao na kwa wengine.
 
Mtazamo wake na wangu hauna tofauti kubwa.

Imani potofu kweli zipo.

Imani sahihi au ambazo zina usahihi kwa kiasi kikubwa nazo zipo.

Kutokuweza kuishi bila kiasi fulani cha imani nayo ni kweli.

Ni nani anayejua kila kitu? Unapoenda mgahawani kununua chakula ili ule, unajuaje kama chakula ulichoagiza ni kisafi na/au kweli umeletewa ulichoagiza na si kitu kingine?

Huoni hapo utakuwa unatumia imani ya kuwaamini kuwa hicho chakula wamekiandaa katika mazingira masafi na kwamba hawakulishi kile ambacho hujaagiza?

Na mtu atapingaje imani ya mwingine anayeamini mungu yupo?

Imani ni kitu cha kufikirikq tu. Ni kitu kilichopo kichwani mwa mtu. Sasa yaliyomo kichwani mwako, uyawazayo kichwani mwako na kuyakubali, mimi nitakukataliaje?

Nitakuhoji tu endapo utaanza kuniambia hayo uyawazayo kichwani ndo uhalisia wa mambo.

Zaidi ya hapo imani inabaki kuwa fikra na mawazo ya mtu tu na ndo maana unaona sehemu nyingi duniani watu wana uhuru na haki ya kuamini watakayo ili mradi hizo imani zao hazileti madhara, kwao na kwa wengine.
Sasa imani potofu ni zipi na upotofu wake ni UPI?
 
Kukata viungo [na mauaji] vya watu wenye ulemavu wa ngozi [zeruzeru] na kuvipeleka sijui kwa waganga wa jadi huko ili mtu apate utajiri.

Hiyo wewe unaiona ni sawa kweli? Kikwete aliwahi kulizungumzia vizuri sana hilo suala la hizo imani na upotofu wake.

Akahoji kuwa, ingekuwa ni kweli kwamba viungo vya hao watu vinaleta utajiri basi wao [mazeruzeru] ndo wangekuwa matajiri wakubwa sana hapa duniani kwa sababu wao si kusema wana sijui kiungo kimoja au viwili vilivyo na huo ulemavu. Wao ni mazeruzeru mwili mzima, sasa kama ingekuwa hizo imani zina ukweli, wao si wangekuwa matajiri wakutupwa!?

Tohara ya wanawake. Lengo lake hasa ni nini kama si imani potofu tu?

Kuugua na kutokwenda spitali kupata tiba na kuishia kutegemea maombi kwa mungu au kikombe cha babu wa Loliondo:D. Huyo babu kaishia wapi siku hizi na hicho kikombe chake?

Imani potofu zipo nyingi mno.
 
Hili swali nilishakujibu.

Ama msahaulifu, ama mzushi.Pengine yote. Yote balaa.

Narudia jibu.

Namna moja ya kuijua imani potofu ni kuangalia contradiction.

Ukiona kitu kina contradiction. Hiyo ina onesha kuna kitu potofu hapo.

Kwa mfano. Katika Euclidean Geometry, hakuna pembetatu ambayo ni duara hapo hapo.

Ukisikia mtu anaamini kuna pembetatu ambayo ni duara hapo hapo, hiyo ni contradiction.

Ukiona mtu anaamini pemetatu duara hiyo ipo, hiyo ni imani potofu.
 
Je,wewe unapinga mungu kwa sababu ni jambo la imani au sababu ni imani potofu?
 
Wewe ushanijibu mkuu ndiyo maana sijakuuliza tena swali hili.
 
Wee unatafuta jibu au unatafuta udaku?

Kama nilishakujibu jibu langu ulilikubali au hujalikubali?

Kama ulilikubali kwa nini unauliza tena?

Kama hujalikubali kwa nini hukusema kule?
 
Je,wewe unapinga mungu kwa sababu ni jambo la imani au sababu ni imani potofu?

Mimi sipingi mambo ya mungu kwa sababu sijui ni mambo ya imani au imani potofu.

Nachohoji ni yale yanayoelezwa/ daiwa kuwa huyo mungu anayaweza, kama kweli yupo!

Kama sisi binadamu ni watoto wake mungu na kama kweli anatupenda na kama kweli yeye ndo aliyetuumba, iweje sasa awaumbe watu wengine na ulemavu wa ngozi, kwa mfano tu, halafu aumbe wengine wenye imani za ajabu ajabu na ukatili usiosemekana hadi kupelekea wao kwenda kukata viungo vya wengine na hata kuwaua kwa ajili ya kupata utajiri?

Yaani huyo mungu anashindwa hata kuwalinda hao walemavu aliowaumba mwenyewe? Halafu kwanza hata kwa nini aumbe watu wenye ulemavu?

Na kwa nini asiwazuie hao makatili wanaowafanyia ukatili wengine? Kwanza kwa nini aumbe watu wenye ukatili hivyo?

Haihitaji akili nyingi kubaini kuwa mengi, kama siyo yote, yanayoelezwa kuhusu mungu ni stori tu.

Kichekesho zaidi ni pale unapokuta baadhi ya watu wanaoogopa hata kuandika neno 'mungu'. Eti wanadai ukiandika hivyo bila kutumia herufi kubwa yeye huyo mungu atachukia.
 
Kwani hakuna maelezo yoyete kuhusu mungu yenye kueleza hayo unayojiuliza?
 
Nimesema hakuna maelezo yoyote yale yanayoridhisha na kujitosheleza.

Sasa unataka nikuwekee maelezo yepi tena?

Hujui kusoma na kuelewa?
Sijakataa kuwa wewe umesema hivyo,je kwa kuwa wewe umesema ndiyo iwe hivyohivyo tu?
 
Kama mimi nilichosema sivyo basi weka wewe vilivyo.

Zaidi ya hapo, kuniambia niweke kitu au vitu ambavyo nimesema havipo unanifanya nihitimishe kuwa kusoma unajua lakini huelewi unachokisoma!
 
Ulichokisema wewe ni kwamba maelezo hayaridhishi na hayajitoshelezi bila hata kuyaweka hayo maelezo unayosema hayajitoshelezi ili tuchambue pamoja,halafu unataka mie nikubaliane tu ulichokisema.
 
Mbona neno 'hakuna' umeliacha? Hukuliona?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom