Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

kwa kupitia hilo swali haimanishi kwamba mungu yupo kwasaba ww umeuliza swali mtu anakili au ubongo?
hapo maana yake ni kwamba ubongo upo lakini akili hainekani kwa macho ila kwa vitendo.

kama lengo lako la kuuliza hilo swali nikutaka kutuaminsha kwamba mungu yupo kwasababu ya akili haiwezi kuonekana kwa macho. na inakuwaje huyo mungu tumeshindwa kumuona kimwili na vitendo?
Kama unaamini akili haionekani kwa macho unashindwaje mengine yasiyoonekana kwa macho zaidi ya akili?
 
Suala ya square root limekujaje kwenye swali la uwepo gari kwenye barabara?
Huwezi kuona.Tupo katika level tofauti za uelewa.

Umeniuliza ninawezaje kujua jambo moja ikiwa sijui hata akili iko wapi?

Nikakuambia, mtu anaweza kujua jambo moja (square root ya mbili si kumi) bila hata kuijua hiyo square root ya mbili yenyewe ni ipi.

Si lazima kujua square root ya mbili ni nini (si lazima kujua akili iko wapi) ili kujua kwamba square root ya mbili si kumi (ili kujua kwamba mungu hayupo, barabara iko wapi, Ilala iko wapi kutoka Kariakoo, ubongo uko wapi, gari liko wapi etc).

Ushaelewa au unahitaji somo la ziada?
 
Unanifananisha mimi na mungu wako? Mimi ndiye mungu wako mara hii?

Hujajibu swali langu.

Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Huwezi abadani kuwa Mungu wewe, kama unataka kujua hilo kubali nikufunze ilikuwaje mpaka ikaja kuwa hivi. Upo tayari?
 
Huwezi kuona.Tupo katika level tofauti za uelewa.

Umeniuliza ninawezaje kujua jambo moja ikiwa sijui hata akili iko wapi?

Nikakuambia, mtu anaweza kujua jambo moja (square root ya mbili si kumi) bila hata kuijua hiyo square root ya mbili yenyewe ni ipi.

Si lazima kujua square root ya mbili ni nini (si lazima kujua akili iko wapi) ili kujua kwamba square root ya mbili si kumi (ili kujua kwamba mungu hayupo, barabara iko wapi, Ilala iko wapi kutoka Kariakoo, ubongo uko wapi, gari liko wapi etc).

Ushaelewa au unahitaji somo la ziada?
Nishakuelewa kuwa unaamini kwa mengi yasiyoonekana, ila una chuki binafsi kwa Mungu, unahitaji kukalishwa chini kwa muda sana ili ujue tulipo na tunapoenda
 
Wapi nimesema sikubali yasiyoonekana?

Hivi unaelewa ninachopinga hapa?
 
Ulijuaje kama mimi nilitaka kukufanya wewe ndo mfano instead of my god?
Kwa sababu umeniuliza swali la mfano wa mimi kutoa msaada bila kuombwa katika mada ya kumhusu mungu.

Kwa nini ulinitolea mfano mimi wakati swali langu lilikuwa juu ya mungu wako?

Mimi ndiye mungu wako?
 
Kama unaamini akili haionekani kwa macho unashindwaje mengine yasiyoonekana kwa macho zaidi ya akili?
hilo mm ninalijua sio kwamba naamini.
kwasaba kuamini ni kuhisi.
na hilo mm ninalijua kwamba kwamba akili inaonekana kwa vitendo kwasababu hata mimi mwenyewe ninaweza kuthitisha.
lakini sio kwamba mtu aje kuniambia mungu yupo kwa kunisimulia hadithi.
 
Kama unaamini akili haionekani kwa macho unashindwaje mengine yasiyoonekana kwa macho zaidi ya akili?
Kama kuna vitu visivyoonekana kwa macho, hilo linathibitishaje kwamba mungu yupo?

Naamini jua litachomoza kesho. Sijaliona kwa macho jua la kesho likichomoza, lakini naamini litachomoza. Limefanya hivyo maisha yangu yote.

Najua linaweza kupigwa supernovae likapasuka dakika ijayo na kesho lisichomoze, lakini najua nafasi za hili kutokea ni ndogo sana.

Hivyo napanga kazi zangu za kesho kwa kuamini jua litachomoza, ingawa sijaliona kwa macho likichomoza hiyo kesho.

Hii ni imani. Hii si imani mbaya. Ina msingi katika mantiki na observation. Haina contradiction.

Huyo mungu wenu hana mantiki, habari zake zinajipinga kama duara lililo pembetatu.

Kwa nini niamini yupo?
 
Kama kuna vitu visivyoonekana kwa macho, hilo linathibitishaje kwamba mungu yupo?

Naamini jua litachomoza kesho. Sijaliona kwa macho, lakini naamini litachomoza. Limefanya hivyo maisha yangu yote.

Najua linaweza kupigwa supernovae likapasuka dakika ijayo na kesho lisichomoze, lakini najua nafasi za hili kutokea ni ndogo sana.

Hivyo napanga kazi zangu za kesho kwa kuamini jua litachomoza, ingawa sijaliona kwa macho likichomoza hiyo kesho.

Hii ni imani. Hii si imani mbaya. Ina msingi katika mantiki na observation. Haina contradiction.

Huyo mungu wenu hana mantiki, habari zake zinajipinga kama duara lililo pembetatu.

Kwa nini niamini yupo?
Amini yupo kiranga kishanipa Nguvu mimi na nimeweza kuwa na furaha kuu sasa, mfuate Mungu wangu nawe upate faraja kuu, Hey kiranga Kesho ngoja nibariki ndoa..
 
Unaweza kuthibitisha kwamba yupo kwa njia ambayo itaweza kueleweka kimantiki?

Sitaki mahubiri ya kunitaka niamini kwa sababu kakupa nguvu na furaha kuu.

Sina hakika kama unatumia logic.

Unajuaje hiyo nguvu na furaha kuu kakupa mungu na hujaipata kwingine kokote?

Wewe siye uliyesema nisile kona hapa? Mbona wewe ndiye unakuwa wa kwanza kuomba poo?
 
Nasema hivi sababu Mungu si hadidhi na nimemwona physical bro
 
Duh!

Babu hivi huwa huchoki kubishania hayo mambo?

Kwa sababu naona kama vile huwa unabishana na watu wasiojua tofauti kati ya imani na ujuzi!
Mwenzio huyo yeye anasema kuna imani sahihi na potofu,na hakuna anayeweza kuishi bila imani wala hapingi kuwepo kwa mungu kwa sababu ni imani.

Je,we unazungumziaje imani kwa upande wako?
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom