Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,662
- 52,498
- Thread starter
- #41
Mkuu live your life. Acha kupangia watu maisha.
Ushauri sio kumpangia mtu Maisha.
Labda useme niache kushauri Watu maisha yao. Na hayo ni maoni yako ambayo ushauri huo pia uliotoa unakuhusu kwa sababu hata wewe umenipa ushauri