Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini)

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
5. Kulamba kamasi
6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.
 
Kuwa na nguo/viatu oversize ili ukue navyo.
kutonawa mikono baada ya kula nyama ili wenzako wajue leo mmekula nyama.
 
Daaa magomeni ilikua lingi!kigogo magari ya udongo.....hahaha kwa bibi kijiji jioni ikifika tuu lazima ukae karibu na bibi ili uonje mbege hahaha!siyui itakuaje babu akitokea ghafla time hizi lazima ukazungushe zungushe usukani huku gali alitembe......duuuu nimekumbuka nilikua nikiona masabuli ya binadamu nacheka sana........
 
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
5. Kulamba kamasi
6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.

Dah ki ukweli uswahilini raha na utamu vinanogesha..Mambo mengine ni:
1.Kutoroka nyumbani ucku na kwenda kuangalia movie za pilau,
2.Kula msosi kwa jirani halafu kupaka vumbi mkononi ili nyumbani wasishtukie.
3.Kuunda kibubu ili uhifadhi fedha kwa ajili ya cku kuu.
4.Kushindana kupiga pl
5.Kukimbilia gari la matangazo....nitarudi tena.
 
mi hapo kwenye namba mbili. Hahahahaha!
 
1. Kuinda ndege makaburini. 2. Kuvua samaki mtoni. 3. Kucheza kombolela. 4. Kumtamani baba wa mwenzio awe baba yako kwa vile wana baiskeli. 5. Kudandia magari. 6. Kucheza usiku wakati wa mbalamwezi...
 
Kuna mchezo mmja tulikua tunakusanya mchanga halafu pale katikati tunaweka kijiti.tuna kusanyika na kuanza kufukua pembeni huku tunaimba"tule tule tumbakizie baba"*kadhaa.atakaye angusha kijiti.tuna mpiga ila akituzidi mbio ndio salama yake.ilikuwa katiya 1985-1989.dah kitambo sana.
 
kama hujafanya mambo haya hujakaa uswazi
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kukataa kuoga
3. Kukataa kwenda shule kwa kusingizia unaumwa
4. Kutochez mbali na nyumbani siku ya sikukuu ili ufaidi pilau
5. Kulamba kamasi
6. Kucheza kombolela/kidali au kibaba na mama
7. Kwenda kuangalia muvi kwenye mabanda ya video.
Haya wadau tuendelee na mengine ambayo nimeyasahau.

hyo namba 3 umenikosha coz wiki ilikuwa haipiti bila kuumwa duuuuh utoto we acha tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom