Nataka Kujua.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Nataka kujua, hivi ulipokuwa mdogo lipi kati ya haya hukuwahi kufanya?

~ Kulilia soda ya Mgeni

~ Kucheza kombolela....kujifichaa!

~ Kukojoa kitandani....

~ Kulamba kamasi....

~ Kugoma kuoga...

~ Kulamba Sukari...

~ Kulilia nguo ya sikukuu

~ Kusingizia unaumwa usiende Shule....

~ Kucheza Baba na Mama...

~ Kudokoa Mboga???

UKITABASAMU TU...YOTE UMEFANYA....
 
kuogopa kuoga maji ya baridi,, mi nlikuwa nikilazimishwa kuoga naenda bafuni najipaka maji na sabuni kwa mbaali,, haa haa utoto bwana.

Ukifika bafuni unahesabu mpk tatu then unajimwagia pwaaaa!! ukitoka mgongo wote mkavu.......
 
!!! Kuruka dirishani darasani,ticha akikuanzishia so... Breki ya kwanza om.
!!! Kuweka madaftari matakoni ukiwa na msala wa bakora skuli.
!!! Kufanya ngono juu ya dawati.
!!! Kuweka kioo chini ya dawati ya wadada ucheki chuuupi.
!!! Kupigana mara baada ya kutawanyishwa skuli shuleni,kisa mligombana mchana class,mkaogopa tcha atawamaindi mkizidunda.
 
Kulilia soda ya mgeni

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom