Nimekukubali mkuu,uko juu. Huyu jamaa ana rangi nyingi,hafai kuwa raisi wa nchi,bora aendelee na ubunge unamtosha. CDM Wasipokuwa makini atavuruga zaidi make ndiyo lengo la watu wa namna yake (usalama wa taifa).
Hata sio ufirst lady..zitto ni Usalama wa taifa HATUFAI
Vijana mbona mnatumia hili jukwaa kirahisi rahisi hivi? yani wenzenu enzi zile naingia jamiiforums nilikuwa najiona miongoni mwa Great Thinkers maana nilikuwa najifunza mambo ambayo katika ndoto zangu yalikuwa yanapata hamasa na majibu ya niliyokuwa siyajui, kiukweli ilinijenga na nikajikita katika siasa kwelikweli kupitia hili jukwaa kwani tuliweza kujenga hoja madhubuti na zenye tija.
angalizo nawapa nyinyi wajumbe wapya, fanyeni mlitumie hili jukwaa kwa nia ya kujifunza vitu na kuitambua siasa ya nchi yako kupitia hili jukwaa na achana kabisa na hizo habari za udaku ambazo mtoa mada umekuja nazo.

zitto hatufai
Ingawa yaliyoripotiwa yamokwenye gazeti la udaku, Zitto anazidi kujishushia heshima kwa kujiingiza kwenye makundi ya watu wachafu kitabia ambao hawana lolote la kutoa kwa jamii zaidi ya kumomonyoa maadili. Hicho kisichana alicho nacho mbona kwa mtu wa aina ya Zitto ni cha kuogopa kama ukoma. Sikumbuki kumuona Mwalimu Nyerere akipiga picha na watu wanaotia shaka hata kama walikuwa na mashabiki nchini. Wema ni alama ya ulimbukeni, ukahaba, ujinga na upofu. Kwa mwanasiasa makini alipaswa kuepuka viumbe kama Wema ambao hakika si wema bali balaa. Wema ni saizi ya malimbukeni wenzake wajiitao masupa staa wakati ni masupa balaa.