Jifunze kujiamini na kuto kukata tamaa, kupitia maisha ya Marry Todd Lincoln

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,103
52,813
NDOTO YA MARRY TODD LINCOLN

Marry Todd alipokuwa na miaka 18 alimwambia baba yake ndoto yake kubwa ya kuwa mke wa raisi wa marekani lakini baba yake alimjibu
"marry mbona una tamaa hivyo hujifunzi kwa mama yako kaolewa na mimi masikini yani wewe mwanangu mmeo aje kuwa raisi wa marekani haitawezekana"
Baba hakuamini kabisa kama inawezekana lakini binti yake aliendelea kusisitiza lazima aje kuolewa na raisi.

Baada ya miaka kadhaa akapata mchumba mwanasiasa bwana steven doglass kwa kipindi hicho alikua ni mbunge.
Baba akamwambia mwanaye
"mwanangu kumbe upo serious eeeh najua muda wowote tutakula chakula cha ikulu nitakua baba wa first lady wa marekani"
Lakini kwa bahati mbaya uchumba wa marry todd na mbunge huyu haukudumu wakaachana.

lakini marry aliendelea kuamini alichokiamini akapata mchumba mwingine cha kushangaza hakua mwanasiasa na jamaa wakati amtokea marry alikua hana mchongo wowote ndo kwanza kapo mtaani kanatafuta kazi baada ya kumaliza masomo yake ya sheria kiufupi alikua na maisha duni

Baba akamwambia mwanaye
"mwanangu umesahau ndoto yako ulisema unataka kuwa mke wa raisi cha ajabu umeachana na mwanasiasa na upo na mwanasheria ambaye hana ata kazi"

Baada ya miaka kadhaa mchumba huyu wa marry akaamua amuoe kabisa. ndoa ya kanisani mzee tody akachuna tu atafanya nini sasa binti yake ndo kapenda. hivyo akiwaza kasha poteza nafasi ya kuitwa mkwe wa raisi

Mwaka 1861 mzee todd akiwa na miaka80 alishuhudia yule jamaa alikuwa amdharau ameshinda uraisi wa nchi. ilipita miaka 17 tangu mwanae afunge ndoa.

Mwanasheria huyo ni Abraham lincoln raisi wa 16 wa marekani aliemuoa Marry todd lincoln ambaye toka akiwa na miaka 18 alisema anataka kuwa first lady wa marekani.

Siku ana apishwa lincoln alisema
"namshukuru sana mke wangu yeye ndio sababu ya mimi kuwa hapa mke wangu alikua mzuri na mvumilivu kipindi alipo kuwa msichana alikuwa na ndoto iliyo timia leo "

Jifunze: Mwanamke kama baraka kwenye maisha yako muone kwa wema

Screenshot_20231216-105024_1.jpg
 
View attachment 2843873
Eagle/Tai; Ndege role model wangu nikitaka kupata Wife materials (kumpa challenges) kwenye uchumba kabla ya kumuoa na kuishi maisha marefu (mazoezi binafsi).

Simba; role model wangu kusaka fursa za kiuchumi polepole kwa kutumia akili.

Nyegere; Hunipatia kujiamini zaidi hata niwapo katikati ya misitu ya changamoto za kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Eagle; Ndege role model wangu nikitaka kupata Wife materials (kumpa challenges) kwenye uchumba kabla ya kumuoa na kuishi maisha marefu (mazoezi binafsi).

Simba; role model wangu kusaka fursa za kiuchumi polepole kwa kutumia akili.

Nyegere; Hunipatia kujiamini zaidi hata niwapo katikati ya misitu ya changamoto za kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nime jifunza kitu🙏🙏, kupitia falsafa zako.
 
Leo umeanza kuimarika sana, si unaona mwenyewe hata katika maneno yako uliyoyatumia hakuna makosa mengi kama story iliyopita?
Japo kuna baadhi ya vitu kiasi vya kurekebisha katika kuandika historia ya mtu.
1. Lazima uandike kazaliwa lini na wapi
2. Elimu yake
3. Maisha yake utotoni (alilelewa na mzazi mmoja au wawili, kazi zao n.k)
Kisha ndio yafuate hayo mengine.

Haya, mimi mwalimu wako nina mwalimu wangu pia, sote tumshukuru yeye 😂😂.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom