Kama DOWANS ni rukhsa malipo na sisi UDSM je?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
02_11_463ktn.jpg
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliokuwa wakiandamana na kukabiliana na askari Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU). Hata hivyo, baadhi ya watu walitilia shaka kijana aliye kulia kama naye kweli ni mwanachuo. (Na Mpigapicha Wetu).
 
Ufisadi ndiyo kichocheo cha migomo na jamii kutoridhika na viongozi dhaifu tulionao hapa nchini.....................mwishowe tutadai wang'atuke au nguvu ya umma itawang'oa................................
 
Kikwete's brain don't work any more. Ameshajua wazi kuwa wakati wowote wananchi watamtosa .... so he is just waiting ,......time!!!
 
Ufisadi ndiyo kichocheo cha migomo na jamii kutoridhika na viongozi dhaifu tulionao hapa nchini.....................mwishowe tutadai wang'atuke au nguvu ya umma itawang'oa................................

ufisadi!, hebu fafanua vizuri. Naona turudishe compusosr national service training. Hata watendaji wetu wengi hawana uzalendo..............................................
 
Hayo tunayo shuhudia kwa Waarabu yawezekana hawa viongozi wetu wanafikiri ni picha za filamu au michezo

ya maigizo, ama wana fahamu ila kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri na kutafakari wanadhani ni 'mlipuko'
wa ghafla from nowhere.

Ila kwa mtu yeyote aliye makini atafahamu kuwa hayo wanayofanya waarabu ni matokeo na matunda ya

ufisadi wa muda mrefu ambapo watawala walijifanya viziwi na vipofu!

Yapaswa ifahamike kuwa hali ya kuchoswa, kukata tamaa kutokana na ufisadi,dhuluma na ukandamizaji

unaofanywa na Watawala ndivo vinavo sababisha haya tunayo yaona TUNISIA na MISRI hatimae Tanzania.

Haya sio madogo kamwe na wala sio ya kupuuza kwani hata hao waarabu ilikuwa hivihivi.Ilianzia kwa

makundi madomadogo kama wanafunzi wa vyuo, vifaru na mabomu vikatumika kuzima fikra hizo bila utatuzi

wa kidiplomasia. Na punde muda ulipofika Taifa zima likahamasika vifaru na mabomu ya awali ikawa havifai tena mbele ya nguvu ya UMMA.

So it is just a matter of time!


'The more men you make free, the more freedom is strengthened and the greater is security of the state'

state'
(Fredrick Douglas-1869)
 
mbona mmetusahau sisi wazee wa Afrika ya Mashariki. au DOWANS, MaBOOM ni strategy yenu melekeze nguvu huko huku mkisubiri tufe wote?
 
Back
Top Bottom