Kahama VS Njombe/Mafinga

Huku tayari zipo ...
Sa Hivi tuna deal multi bilion projects,,,sio vibarabara uchwara hivyo ambavyo total budget haifikii hata 200 bilioni
Kama wewe ndio mjumbe wa neck huko ccm basi chama kimeoza .

Unajua gharama ya kujenga Barabara ya km 97 ya Makete -Njombe ni bei gani?

Makongolosi -Rungwa-Itigi/Tabora km 345 ni bei gani?
 
Mtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..

Huko Kuna Sgr na faraja ,Barabara za nini tena?

Awamu hii ni zamu ya Kusini na western
Kuna barabara kubwa tu inajengwa kutoka karagwe kwenda Ngara via benacco mkoa wa kagera....

Sasa hiv kwenda karagwe au kyerwa itakuwa sio lazima kupitia Bukoba....
 
Ukisema hvyo ...nitakuuliza pia mbeya na tabora imeunganishwa na lami ?...ni lazima tubalance kwenye kuangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo badala ya kulaumu
Ngoja tuendelee kubalance adi miaka 20 ijayo ambapo southern zone na western zote zitakapokuwa na barabara za lami adi uchochoroni.
 
Kuna barabara kubwa tu inajengwa kutoka karagwe kwenda Ngara via benacco mkoa wa kagera....

Sasa hiv kwenda karagwe au kyerwa itakuwa sio lazima kupitia Bukoba....
Nyie kagera mnakula mema ya nchi hawamu hii, kila wilaya zenu zote zimeunganishwa na lami, sisi tunaambiwa tusubiri adi daraja la busisi liishe.
 
Mnahitaji wabunge wapiganaji...kama hiyo barabara kyerwa kunganishwa na karagwe biharamulo na ngara ni mbunge bashungwa ambaye ni mbunge wa huko...

Kajenga hata stendi ya mji wa karagwe jimboni kwake...
Hata Bukoba mjini stendi itajengwa haraka sana kwa sababu ya byabato yule waziri...

Nyie mna akina Mabula...wapambane aisee wasitoke burebure...

Anyway bado kagera inamambo mengi sana yaliyoachwa...haswa kwenye masoko ya mazao kama kahawa, maharage, ndizi, vanilla nk yanaozea mashambani
 
Ngoja tuendelee kubalance adi miaka 20 ijayo ambapo southern zone na western zote zitakapokuwa na barabara za lami adi uchochoroni.
Tactics pekee wanajenga km 30 za lami
TARURA wanajenga km 10 Kila mwaka za lami
Tanroads wanajenga km 10 za lami mkuyuni.na wamemaliza upembuzi shy road na nyanguge road kwa ajili ya dual carriage .
Mungu atupe nn mwanza
 
Hizo miradi ipo ndani ya jiji we unafurahi kula na kusaza ndugu zako wakina kwimba, magu, sengerema, simiyu hawana lami ata kilometa moja.
 
Kwan mbeya Kila wilaya zinajengwa lami ....
Hata hivyo mwanza ni maJimbo mawili tu ya sumve na buchosa ndio hakujaunganishwa lami .. kwingine kote lami
 
😂😂😂😂😂 naiomba serikali itukumbuke kwenye barabara hasa huko wilayani.
Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..

Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
 
Mnahitaji wabunge wapiganaji...kama hiyo barabara kyerwa kunganishwa na karagwe biharamulo na ngara ni mbunge bashungwa ambaye ni mbunge wa huko...

Kajenga hata stendi ya mji wa karagwe jimboni kwake...
Hata Bukoba mjini stendi itajengwa haraka sana kwa sababu ya byabato yule waziri...

Nyie mna akina Mabula...wapambane aisee wasitoke burebure...

Anyway bado kagera inamambo mengi sana yaliyoachwa...haswa kwenye masoko ya mazao kama kahawa, maharage, ndizi, vanilla nk yanaozea mashambani
Ukisema Kila eneo lipate maendeleo Kwa sababu ya kuwa na watu kwenye mfumo ..Hilo suala halikubaliki
 
Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..

Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
We jamaa ni primitive Sana ..reli ndio njia rahisi ya kufungua uchumi ,kuliko hizo barabara..china sio wapumbavu kujenga high speed rail way gauge ,,,Kwan pesa za barabara hawana
 
Kwan mbeya Kila wilaya zinajengwa lami ....
Hata hivyo mwanza ni maJimbo mawili tu ya sumve na buchosa ndio hakujaunganishwa lami .. kwingine kote lami
Mbeya kuna jimbo gani halina lami? Na sisi tunataka barabara za lami huku kanda ya ziwa.
 
Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..

Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
Acha kupayuka yaan sgr ulinganishe na barabara kiuchumi.
 
Back
Top Bottom