Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwahiyo wanakanda ya ziwa hawastahili barabara tena, mbona tunafanyiwa mambo ya hivi waambie ata sisi tunastahili kwani kipindi cha awamu ya tano, shy ilifaidika nini? Simiyu ilifaidika nini? Magu au kwimba basi pelekeni miradi ya barabara ata maeneneo hayo.
Mfanyiwe tuu kwani nyie hamkuwafanyia wenzenu? By the way Barabara kule Mara na Kagera zinajengwa mbona
 
Inashangaza,sielewi nini kinakwamisha miradi ya barabara tena muhimu,mfano kuna barabara muhimu inayounganisha kanda ya ziwa na kaskazini kupitia kusini mwa serengeti,hii barabara ya Kolandoto-Meatu-sibiti mpaka karatu ni njia ya mkato kueleka Mikoa ya kaskazini,ikifunguliwa itachangamsha sana biashara baina ya kanda hizi mbili kwani watu wakutoka Tabora,Kagera,Geita,Mwanza,Shy,Simiyu,Kigoma hawatakua na ulazima wakuzungukia Singida-Babati.Pia kuna barabara muhimu kama ya Kahama-kakola-geita,Kahama-Tabora nk.
Hii serikali bado ina chuki na kanda ya ziwa ata ilani ya ccm haitekelezwi ni kama wanafanya kukomoa kanda ya ziwa kipindi hiki.
 
Siku mkibomoa daraja la kigongo busisi ndio serikali hii itawakumbuka.
Kwani kaka ...mbeya lami Gaan ya maana wanayojengewa ukiacha upanuzi wa barabara ya igawa ,,,.....
Kama ni hizo lami za makete ,,,ni barabara za kuunganisha mikoa ,,,,
Kanda ya ziwa barabara za kuunganisha mikoa tayari zote Zina lami ...
 
Ndio tunazitaka hizo za kuunganisha Mikoa kwani wewe unataka lami gani?
 
Kwani kaka ...mbeya lami Gaan ya maana wanayojengewa ukiacha upanuzi wa barabara ya igawa ,,,.....
Kama ni hizo lami za makete ,,,ni barabara za kuunganisha mikoa ,,,,
Kanda ya ziwa barabara za kuunganisha mikoa tayari zote Zina lami ...
Simiyu na mikoa ya kaskazini imeunganishwa?
 
Back
Top Bottom