Huyu bwana tangia akwepue fedha za wizi wa EPA amekuwa na nyodo kama za Johnson Lukaza! amebadilika sana sio kama alivyokuwa TBL. sitoshangaa akijitosa kwenye kugombea ubunge wa Moshi, lakini sasa tunamfahamu kwamba ni mwizi tu, na hafai kabisa kwenye uongozi, lazima apingwe kwa nguvu zote na yeye afikishwe kizimbani na arudishe fedha za walalahoi.
MAFISADI WOTE hata kama na huyu Marreale, hawatabaki..wananchi tuwe macho na wakati wa kura, tuwazomee, heshima yao ktk jamii ishuke, wawe mavi na uvundo unukao, wasiingie katk uongozi ili kuendelesha ufisadi na ubinfasi wa matumbo yao.