Jakaya Kikwete anamuogopa Rostam Aizi?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kama Betrice shelukindo kawasilisha ushahidi wake na w/mkuu akaukubali, kwanini ushahidi hii wa waziwazi
Jakaya kikwete anakaa kimya kama hajui? Rostam Aziz ndo kagoda na ushahidi ulishaletwa hapa na Invisible
kwanini wabunge wetu wamekuwa vilaza bila yakuweka utaifa mbele? Hapo ndo nilikuwa namukumbuka Dr Slaa
akiingia bungeni mikoba wake umejaa mafile nda evidence za kushiba

Wakuu,

Tuliwahi kuweka doc moja hapa
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/2670-bot-scandal-tulikotoka-tulipo-tunakoelekea.html

ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au wamerejesha? Tutajuaje?

EPA00.jpg
EPA01.jpg

Wamiliki wa makampuni haya WANAFAHAMIKA! Tunaweza kuwataja hapahapa na hata mahala wanapoishi.

NB: Mod naomba hii thread isiunganishe nataka wabunge watu kuwakumbushi hii kitu
 
Kama Betrice shelukindo kawasilisha ushahidi wake na w/mkuu akaukubali, kwanini ushahidi hii wa waziwazi
Jakaya kikwete anakaa kimya kama hajui? Rostam Aziz ndo kagoda na ushahidi ulishaletwa hapa na Invisible
kwanini wabunge wetu wamekuwa vilaza bila yakuweka utaifa mbele? Hapo ndo nilikuwa namukumbuka Dr Slaa
akiingia bungeni mikoba wake umejaa mafile nda evidence za kushiba

NB: Mod naomba hii thread isiunganishe nataka wabunge watu kuwakumbushi hii kitu

wewe utakuwa na ugojwa wa Malaria ++
 
Huu cha mtoto. Kuna ule wa wakili SANZE aliyetumwa na MEREGESI ambao MwanaHALISI limeuchapa mara kadhaa. Kamanda Kubenea, wewe ni member humu njoo utupe ile barua ya wezi hawa kina SANZE na wenzake.
 
KAMA HUYU KIWETE WENU ANGEKUWA JASIRI KAMA MZEE WA MONDULI, sasa hizi ROSTAM keshaozea gerezani.
 
Jamani JK hamuogopi Rostam bali anamheshimu ,ni bosi wake ati.Jamani Rostam ndiye rais wa nchi hii, yeye ndiye anaamua nani apewe nafasi gani, nani auawe nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom