Kadi feki za CHADEMA zachapishwa na CCM kuwapa raia wazirudishe ktk mikutano yao

Amekosea kupanga namna ya kudanganya, ilipaswa achukue za CUF, NCCR,CHEYO na MREMA ili kufurahisha magamba wenzake kuwa hali iko shwari. Siku watakayo angukia pua ndo watajua ubaya wa janja ya nyani wanayofanya sasa hivi. "NAPE aka CCJ" na CCM KWISHA HABARI YAO
Umejuaje Nape amedanganya? Nadhani akili yako imebebwa na hao waliotangulia kupost na kukuaminisha wanayosema i.e kadi za kuchongeshwa. Lkn sikulaumu, asilimia kubwa sana ya watu humu ndani wapo kama wewe.
 
Nerp elewakua baadaya hapo utakua kama twambwe hoza. Naona kabisa unageza wanainji wa tz zoba, itakula kwako.
 
Kama kunaushahidi wakamatwe wanao fanya hivyo na wafunguliwe mashitaka
 
Jamani ccm imeshindwa kuongoza nchi. Hili si lakufumbia mdomo na kufunika macho. Ikiwa cdm wanadalili za kutuongoza vema, basi tulio wengi tuwape nguvu wao. Hichi kijitu sisiem kikae pembeni 2015
 
Hawana jipya magamba's.chama kimefikia tamati mimi sitaimba hata nyimbo za msiba siku ya mazishi yake..kila kitu kina mwanzo na mwisho na mwisho wa CCM umekaribia..yote wanayoyafanya yanageuka na kuwa sumu kwao subiri siku 90 ziishe muone!!
 
Je kuna ushahidi wowote wa kusema kuwa kadi hizo ni feki.

Nini tamk la chama kuhusiana na udanganyifu huo?
 
unajuwa maana ya neno propaganda?[/b]


propaganda ilikuwa ina nguvu enzi ya cold war! Pia wakati watanzania wengi hawajaenda shule, tv hamna, magazeti ni uhuru na mzalendo tu, internet hakuna, cm za mkonoki nazo hazipo, simu ya kuingia na kutoka nje mpaka ipitie kwa opereta maalum, enzi hizi proganda ya nini! Hii ni enzi ya ukweli na uwazi!!!! Period.
 
Back
Top Bottom