Nyie CDM ACHENI kutunga uongo,Habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja ambacho kwa sasa nisingependa kukitaja.
CCM wameanza mchezo mchafu wa kuchapisha kadi feki za CDM na kuwapa baazi ya wanachama wa CCM kwa masharti yakuzirudisha wafanyapo mikutano yao kwa nia na mazumuni ya kupotosha Umma wa watanzania kwamba CDM haikubaliki kitu ambacho si sahihi.
Aisee kadi mpya kabisa hivi
Simba akikosa nyama hula majani,.... hebu niambieni hawa watoto ndio waliorudisha hizo card?? dirty tricks never work always. magamba yamekataa kuchomoka... heheheheheheeeeeeee!!!! mlifikiri kila kitu ni usaniii... mkome.
Habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja ambacho kwa sasa nisingependa kukitaja.
CCM wameanza mchezo mchafu wa kuchapisha kadi feki za CDM na kuwapa baazi ya wanachama wa CCM kwa masharti yakuzirudisha wafanyapo mikutano yao kwa nia na mazumuni ya kupotosha Umma wa watanzania kwamba CDM haikubaliki kitu ambacho si sahihi.
..hivi ni tarehe ngapi vile???Mie nasubiri tu siku ya mwisho ya siku 90 za kina RACHEL,halafu Nape baada ya siku tisini kupita tafadhari usipotee hapa jamvini.Tutahitaji uenezi wako ktk hili la Magamba ya kina RACHEL