Kadi feki za CHADEMA zachapishwa na CCM kuwapa raia wazirudishe ktk mikutano yao

Mbona sioni kadi za nccr mageuzi, tlp, cuf na vyama vingine zaidi ya cdm?
 
kadi hizi anazunguka nazo kila anapoenda?
sioni za kina Dovutwa, CUF, NCCR nk
hahaaaa Degree za India bwana hazina akili yaani NAPE anataka kutufanya wajinga ....
Hahaaaaaa nimecheka sana!
 
Wahenga walisema Chema cha jiuza Kibaya Chajitembeza: labda wamerudisha kadi za Chadema ili wapate sikiliza Mchiriku na Rusha roho zinazohamasisha watu kujongea katika mikutano yetu.ileeee ya kujivua gamba
 
Nilikua na demu anasoma pale ustawi Dar siku moja walichukuliwa wakapewa na posho wakaenda kurudisha kadi za chadema kwa JK na wakapewa kadi za CCM aliporudi Home na kunisimulia ujinga huo nilimwaga siku hiyohiyo
Waacheni wafanye hizo mbwembwe ukweli wa watanzania upo mioyoni watashangaa sasa 2015
 
Ni kwa nini kadi hizo ziwe za chadema tu?,jiulizeni hapo lazima ccm wanaendelea kuwakamata wajinga wao(watanzania-wananchi)
 
hahahahah! Semeni nyie tukisema sisi oooh! eeeeeh! ukweli uko pale pale Degree za india bana.
 
anabadirisha maigizo,je waliorudisha kad wapo wapi?mkorogo unamsumbua,alete picha lowasa,chenge,aziz r etc wakirudisha ndo utaonekana gambaz umewavua la sivyo umnafik mkubwa nape.Umeingia bidet(choo cha kike) dogo nape jiandae kutumia hicho.
 
Great thinkers, tuache ujinga jamani. Hivi kadi zina mahusiano yoyote na upigaji wa kura. Mimi na familia yangu mwenyewe ni wanachadema pyua moyoni lakini tuna kadi za CCM ili tuendelee kuishi mjini. Shiiiiiiiiii ! Naogopa wakubwa wasijekunisikia, NAPE ni CHADEMA, SITA, MWAKYEMBE, SELELII ni CHADEMA ila njaa inawafanya wakae kwenye system. Habari ndiyo hiyo.
 
Amekosea kupanga namna ya kudanganya, ilipaswa achukue za CUF, NCCR,CHEYO na MREMA ili kufurahisha magamba wenzake kuwa hali iko shwari. Siku watakayo angukia pua ndo watajua ubaya wa janja ya nyani wanayofanya sasa hivi. "NAPE aka CCJ" na CCM KWISHA HABARI YAO
 
nacheeeka kama hawa vilaza walichakachua za uraisi wanashindwaje kuchezea kodi zetu kuprint kad na kutafuna kodi hizohizo kuzurura kila mahali kuwadanganya wananchi!? ::hivi kwanini lakini hawa ccm hawanahuruma na sisi! ujue kuna watu huko vijijini hawana hata zahanati na huduma nyingne nying za muhim wao wanafanya upuuzi kunuua mavx na kuendea kwenye mambo yasiyo na maana yoyote?????? aghhhh
 
Hivi ni CDM pekee wanao hama kurudi ccm, mbona hatusikii wanachama wa vyama vingine wakifanya hivyo.
Hii inaonyesha mbabe wa ccm sasa ni CDM na ni tishio ndio maana mbinu hizi za kitoto za kujaribu kuudanya umma wa watanzania.
Ila nimekumbuka vyama vingine vilishajiunga na ccm muda kitambo.

swali zuri mkuu, ccm wakifanya mikutano eti wanapokea kadi za chadema sijui vyama vingine havina wanachama. chadema wakifanya mikutano wanapokea kadi za vyama mbalimbali na kutoa kadi kwa wanachama wapya kabisa. hii mbinu muasisis mkubwa alikuwa makamba josef na ilimdhalilisha sana kwani kadi zilizokuwa zinarudi zilikuwa na serial number zinzofuatana. poleni magamba
 
Mbona sioni kadi za nccr mageuzi, tlp, cuf na vyama vingine zaidi ya cdm?
Hata mie nawashangaa mbona katika mikutano ya CDM zinazorudishwa ni kadi za CCM tu! Hakuna za UPPDP, TLP ama NLD?
 
Hizo ni siasa za kijinga. Ukiona mwenzio anakubalika kaa chini ujiulize. usitafute mchawi. CHADEMA ni kiboko bwana...
 
duh yaani watu wameenda page 4 na hakuna cha maana wanachoongea, bora Nape alivyochungulia na kuondoka bila kucomment maana sauti za makopo tu ndio zimejaa ktk hii thread. Zero brain pia wa kumwaga
 
Hizo ni siasa za kijinga. Ukiona mwenzio anakubalika kaa chini ujiulize. usitafute mchawi. CHADEMA ni kiboko bwana...

Asilimia 99.9% ya watu humu ndani wana mawazo kama yako wewe, yaani mkikubaliana hili unalosema, basi marafiki zako.
Sikubaliani na wewe
 
Back
Top Bottom