Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Hiyu ni kijana wa pili Muislamu kuuaua na CCM kwa ushirikiano na BAKWATA kwa sababu tu ya upenzi wao kwa CHADEMA. Kijana Muislamu wa kwanza kutwangwa risasi kama mnyama aliuliwa Arusha kwa sababu za kisiasa.

Sheikh Issa Ponda, hivi kweli hakuna taasisi nyingine yoyote huru ya kuweza kuwaunganisha na kuwatetea Waislamu wote nchini bila kujali itikadi zao za kisiasa kama ambavyo wafanyavyo hii taasisi ya CCM iitwayo BAKWATA????????
 
DSC05068.JPG
DSC05020.JPG
DSC05092.JPG
DSC05014.JPG

Kuna picha ingine inayomwonesha marehemu kwa mbele. Tunawasiliana na familia kama wataruhusu tuiweke.
Mungu amlaze kamanda wetu pema peponi. AMINA.
 
nilipoambiwa mkapa anakwenda huko nilijua tu lazima roho za watu wasio na hatia ziangamie.
Yana mwisho! Usalama wa taifa/ccm ni kikwazo kwa ustawi wa taifa letu! Siku watu hao wakiongoka na kujitambuwa tutajenga Tanzania yenye demokrasia ya kweli. Usalama wa ccm/taifa ni vinara wa kuratibu na kutekeleza, mauaji, wizi/ufisadi na uwozo mwingine mwingi
 
Huyo aliyekubali kununuliwa na cdm (cheap amount) kwenda mpaka igunga na kuuliwa ili mpate public sympathy..

Ili mpate madaraka for you ill-intentions anahitaji elimu na kuondolewa upumbavu wake...

namsikitia zaidi kwakuwa hajui yeye ni muislam ni target group kwa cdm (kama walivyomfanya kwa hijab) Vijana wanatumika vibaya

Unamtukana huyo kijana au unawatukana viongozi wako walifunga ofisi kwa ajili ya kwenda Igunga. Walicho kwenda kufanya huko ni kupanga jinzi ya kuuwa vijana ili wao wapate kutawala maisha yao yote.

Hapa BAKWATA wanamaswali mengi sana yakujibu kwa waumini wao, watajua umuhimu wa uhuru wa mtu anauwezo wa kupenda anachokitaka mradi asivunje sheria. Na inawezekana wao ndio wanawapa kichwa na wao wanafanya kweli waangalie sasa vijana wanaangamizwa, wanatekwa nk. Tumechoka
 
DSC05013.JPG
tutavumilia unyama kama huu mpaka lini??

Ni nani aliye juu ya sheria kufanya lolote atakalo eti kwa vile yeye ni dola???
 
Sijaelewa ngoja nisubirisubiri kidogo, maana sijasikia kuwa CHADEMA imeripori habari kwamba wakala wake amepotea. Nani kwa nini atambulike kwa hiyo title ya wakala badala ya raia wa Igunga pana kitu hapo.

Si taarifa ya kutoweka kwake iliripotiwa tarehe 3 oct 2011? Au ulitaka taarifa gani?
 
What is the history of the deceased on politics? Which role did he play in Oct. 2010 elections?
 
Wiki iliyopita sheikh aliuwawa jijini Mwanza,jana mwengine Kigoma.Huyu tena Igunga. Na hata aliyepotea huko Igunga nae pia ni sheikh.Chadema kweli kimeamua kupambana na wanaokikosesha ushindi awe DC au kada wa chama.
 
Hiyu ni kijana wa pili Muislamu kuuaua na CCM kwa ushirikiano na BAKWATA kwa sababu tu ya upenzi wao kwa CHADEMA. Kijana Muislamu wa kwanza kutwangwa risasi kama mnyama aliuliwa Arusha kwa sababu za kisiasa.

Sheikh Issa Ponda, hivi kweli hakuna taasisi nyingine yoyote huru ya kuweza kuwaunganisha na kuwatetea Waislamu wote nchini bila kujali itikadi zao za kisiasa kama ambavyo wafanyavyo hii taasisi ya CCM iitwayo BAKWATA????????

BAKWATA hawaelewi madhara ya kutumiwa kisiasa!!!
 
Wiki iliyopita sheikh aliuwawa jijini Mwanza,jana mwengine Kigoma.Huyu tena Igunga. Na hata aliyepotea huko Igunga nae pia ni sheikh.Chadema kweli kimeamua kupambana na wanaokikosesha ushindi awe DC au kada wa chama.

Utakuwa unaumwa akili wewe si bure.
 
Hawa lazima watakuwa CDM tu toka lini wakawa na mapenzi na Waislam? Wamemua Muislam bana
 
Very sad.Kama ni kweli wengi watawajibishwa.

Usitegemee kabisa kwamba kuna mtu atawajibishwa,mimi na wewe na wale ndio wawajibishaji wakuu kama wote tukiungana kwa pamoja, POLICE WAKO KWA AJILI YA KUILINDA CCM TU sisi wengine ni juhudi zetu na ujasiri ndivyo vitakavyotuweka huru,na ukombozi wa kweli hauji kilele mama,hata kwenye BIBLE ipo hiyo inasema (UFALME WA MBINGUNI NI WA WENYE NGUVU) sio legelege na kulia lia,muda ndio huu NAWAPA POLE SANA WAFIWA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHAL PEMA PEPONI AMINA.
 
kama hawa jamaa wakishindwa kulaani mauaji lakini walilaaani sana la hijabu basi ndiyo utajua maana ya MASABURI ni nini!
Bakwata haiongozwi na watu majuha.Hatuwezi kujiingiza kwenye jambo la dhana.Pale Igunga tulipolaani tuliwaona Chadema wakimkokota bi Fatma Kimaro kweupee.Hii kwamba maiti imekutwa nyuma ya gereza si lazima wauwaji wawe CCM.Uwezekano ni kuwa ni Chadema wakiwa na shutuma fulani kwa Mbwana kwamba kwa vile ni muislamu aliwasaidia CCM.
 
What is the history of the deceased on politics? Which role did he play in Oct. 2010 elections?
nakubaliana na swali lako. Wanao fahamu ushiriki na mchango wa marehem ktk uchaguzi wa octoba 2010 waweke bayana hapa, kuna kuna dot za kuunganisha.
 
"My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that I love them. They must continue the fight." (Solomon Mahlangu - 6 April 1979). Amandlah!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom