Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Huyu atakuwa ametolewa kafara na Magwanda. Alirubuniwa toka Dar mpaka Igunga??
Hakuna vijana Igunga mpaka muwarubuni machalii wa Dar?? POOR STRATEGIES.
CDM mnaangamiza roho za watu wasio na hatia buuure!.... Halafu bado inakula kwenu.

ALALE MAHALA PEMA.
 
Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni

Maandamano ndiyo dawa yenu. Mtajuuta kuukubali mfumo wa vyama vingi. Mlifikiri lelemama za kina Lyatonga, Cheyo na Lipumba? Mbaya zaidi ni kwamba hamuwezi kutoka kwenye mfumo wa multipati.
 
Huyu atakuwa ametolewa kafara na Magwanda. Alirubuniwa toka Dar mpaka Igunga??
Hakuna vijana Igunga mpaka muwarubuni machalii wa Dar?? POOR STRATEGIES.
CDM mnaangamiza roho za watu wasio na hatia buuure!.... Halafu bado inakula kwenu.

ALALE MAHALA PEMA.
Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!

Nimelipa kodi tangu nianze kuishi kupitia bidhaa, hadi sasa nina kazi lakinim kodi hiyo INACHUKULIWA NA dOWANS, KAGODA, MEREMETA, NA MABWANA ............ CCM

Huyu atakuwa ametolewa kafara na Magwanda. Alirubuniwa toka Dar mpaka Igunga??
Hakuna vijana Igunga mpaka muwarubuni machalii wa Dar?? POOR STRATEGIES.
CDM mnaangamiza roho za watu wasio na hatia buuure!.... Halafu bado inakula kwenu.

ALALE MAHALA PEMA.

wewe ni choko. mkapa anaishi igunga?
 
dah! inauma sana, huenda ningekuwa mimi coz nilikuwa nimeshaomba ruhusa kazini ili nielekee igunga kulinda kura ghafla ratiba yangu ikaingiliwa, nasikitika huenda ingekuwa ni mimi, wasira na wenzake mlitaka kunitoa roho, nimepona sasa mtajuta, CDM toeni tamko haraka.
 
Siasa za CCM na demokrasia ya GREENGUARD MUNGIKI mkono wa pili, something substancial gotta be done - mabadiliko ya haraka kwa njia ya Mamlaka ya Umma.

Haya ndiyo matunda ya Kutengeneza 'militant camps' kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Niliwahi kusema huko nyuma kuwa Amani ya Tanzania itavurugwa na CCM.

Mtu huyu atakuwa alitekwa na Green guards na kumtesa awapatie habari zaidi juu ya outsiders walioletwa na CDM. Katika harakati hizo watakuwa walimuumiza sana na ikaionekana wakimuacha hai atatoa siri na kuamua kummaliza kabisa kuficha ushahidi.

Nina hakika kuwa kama marehemu angekuwa wa CCM basi uongozi mzima wa CDM uliokuwepo Igunga ungekamtwa kwa uchunguzi, ninaliomba jeshi la polisi kuwazuia akina Nchemba kama prime suspects.
 
Hapana , hatutaitisha maandamano kwanza. Huyu kada anaitwa Mbwana Masoud kwa hiyo tunasubiri pia tamko kutoka BAKWATA.
Kwani Bakwata wanajali kifo cha mtu hasa mpinzani wa chama chao ukitaka uwasike mvue mtu hijabu hilo ndilo la msingi kwao.
 
Wakati tukitafuta njia ya kumtende haki Ustaadh Masoud Mbwana baada ya kuuwaua kinyama na CCM GREENGUARD MUNGIKI, hivi sasa kifo hicho pia kitakua kimesogeza MTIHANI kwa karibu zaidi mlangoni mwao BAKWATA kuona kwamba wao watachukua hatua gani.

Kama mtu hupungua Uislamu wake kwa kuwa mwanachama wa CHADEMA nayo pia itabainikika katika hili. Mabadiliko makubwa yako njiani.
 
''Angalieni, mimi
nawatuma kama kondoo
kati ya mbwa-mwitu; basi
iweni na busara kama
nyoka, na kuwa watu
wapole kama hua.''
 
dah! inauma sana, huenda ningekuwa mimi coz nilikuwa nimeshaomba ruhusa kazini ili nielekee igunga kulinda kura ghafla ratiba yangu ikaingiliwa, nasikitika huenda ingekuwa ni mimi, wasira na wenzake mlitaka kunitoa roho, nimepona sasa mtajuta, CDM toeni tamko haraka.

Zumbe.. ukisoma hapo unapata kizunguzungu flan.. eti uchunguzi umefanywa na majibu wamepatiwa pilice.. kha.. hii formula gani jamani.. majibu si wanapewa wahusika, na wakati risala inasomwa ndipo na sababu ya kifo chake inatajwa.. naanza kuhisi-hisi-kaharufu flan.. vibastolabastola vile vilivyokuwa vikirushwarushwa na wale ma lena wa shabaha.. si bure.. Haya yule aliondolewa mtandio.. MTAMKO HIH"HA.... sasa mwanawane mwenzenu tena ameondolewa roho.. oook tunasubiria TAMKO... Kama hakuna Tamko basi nadhani signature yako Zumbemkuu ni true..
 
Kiherehere chake cha kujifanya anajua haki kimemponza.

Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.

Amen!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom