Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Ok ok ok Kishongo, Hata kule Tunisia baada ya kifo cha yule kijana serikali ilipoona wananchi munkari umepanda ilisema PATACHIMBIKA. Na kweli palichimbika na majibu unayo. Usidanganywe na hao Polisi waliotanguliza vitambi mbele kama nguvu ya umma itaamua kuchukua nchi yao wataweza kuzuia lolote. MUNGU ainusuru CCM ili yasitokee hayo.
Hapata Chimbika. Watanzania ni watu wa Sound tu,kwani uhuru tuliupata kwa sound,hatuna uwezo na hatuthubutu kufanya siasa za misuli kama kenya,Misri,Tunisia etc.
mfano mdogo.Mtanzania huwa habishi kitu,mtakubaliana kesho mkutane asubuhi ktk maandamano watakuja jioni kusikilizia ilikuwaje na sababu kibao,full of sounds.
Wachache kama huyo Kamanda(RIP) wamelipia kwa Damu zao
 
Kinachonisikitisha kwenye michango yetu hapa ni udhahili wamgawanyiko wa kisiasa katika tukio hili. Wale wanaofahamika kuwa pro CCM hapa JF hawaoni kuwa tukio la kuuwawa kijana huyo kuwa ni la kusikitisha. Wakati pro CDM wanasikitika na kuishutumu CCM na wako sahihi maana CDM walitoa taarifa Polisi kuhusu kupotea kwa marehemu. Hili halishangazi maana Polisi wetu hupagawa na kufanya kazi barabara pale CCM wanapotendewa.

Tukumbuke, sisi sote ni WaTZ hivi vyama haviondoi UTz wetu, uhai ni bora kuliko vyama
 
Hii kitu kwa kweli kimeniuma sanna, ngoja nihizime PC yangu mpaka kesho, sina hamu na uyu mdudu C.C.M
Bungeni wanaongeleaga swala la AMANI mpaka machozi yanawatoka, sasa wanafanya nini iki kwa kijana Mbwana.
Ole mnaojiita C.C.M, siku yenu itafika tu.
 
Kama ni kweli, kiumbe huyu wa MUNGU uhai wake umepotezwa na mafedhuri wa Kisiasa, basi haki ya Mungu watanzania lazima tutachinjana. Nasema bila kumun'gunya maneno. Sababu ni moja tu, damu ya kijana huyo i juu yetu watanzani wote. Na tunaponzwa na ukimya wetu wa kutokemea na kutochukua hatua wa haya yafanywayo na utawala wa kifalme pamoja na vyombo vyake vya dola kwa maslahi la kundi dogo la Shetani.
 
Kinachonisikitisha kwenye michango yetu hapa ni udhahili wamgawanyiko wa kisiasa katika tukio hili. Wale wanaofahamika kuwa pro CCM hapa JF hawaoni kuwa tukio la kuuwawa kijana huyo kuwa ni la kusikitisha. Wakati pro CDM wanasikitika na kuishutumu CCM na wako sahihi maana CDM walitoa taarifa Polisi kuhusu kupotea kwa marehemu. Hili halishangazi maana Polisi wetu hupagawa na kufanya kazi barabara pale CCM wanapotendewa.

Tukumbuke, sisi sote ni WaTZ hivi vyama haviondoi UTz wetu, uhai ni bora kuliko vyama

umeanza vizuri nkajua una akili kumbe nawe ni mwendawazimu!yan unaona hyo migawanyiko ni sahihi?upande mmoja kutokuonyesha concern huku wengine wakiwarushia lawama ni sahihi?nadhani ni vyema ukapige mswaki ndo uje apa jf.
 
imeniuma sana siyo kwa sababu mwenzetu ametutangulia mbele ya haki ila namna mwili wake ulivyo. yaani hata kula nyama naona mwili unasisimka. Yana mwisho haya. may his soul rest in eternal peace, amen.

naomba mods watuwekee hizo picha hapo juu
 
Hii kitu kwa kweli kimeniuma sanna, ngoja nihizime PC yangu mpaka kesho, sina hamu na uyu mdudu C.C.M
Bungeni wanaongeleaga swala la AMANI mpaka machozi yanawatoka, sasa wanafanya nini iki kwa kijana Mbwana.
Ole mnaojiita C.C.M, siku yenu itafika tu.

wewe ni kuku mkubwa.watu tuna msiba mkubwa we unakurupuka kulaum ccm??huna adabu.huu msiba unamgusa kila mtanzania hata asiye na chama.
 
umeanza vizuri nkajua una akili kumbe nawe ni mwendawazimu!yan unaona hyo migawanyiko ni sahihi?upande mmoja kutokuonyesha concern huku wengine wakiwarushia lawama ni sahihi?nadhani ni vyema ukapige mswaki ndo uje apa jf.

Mkuu kinachonishangaza hapa ni kina Kishongo, Ritz, Topical et all kuona mauaji hayo kuwa si kitu kikubwa ati kwa kuwa tu Marehemu alikuwa wakala wa CDM. Hawaoni thamani ya uhai uliopezwa wala Utanzania wa marhemu, wanaona kivuli cha CDM tu.
 
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida

Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..

Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap

Mods kama ni ban naomba unipatie tu nimeshindwa kuvumilia kumtukana huyu jamaa! Pumbafu kabisa Topical nyinyi ndio wauaji' hv kweli unashindwa kuwa huruma kwa binadamu mwenzako! Inamaana hata mdogo wako akiua utamtetea tu kisa ni mdogo wako! Kwanin ufanye hvyo kwa ccm?! Tunamwombea kamanda wetu' huko aliko atambue kwamba amekufa kishujaa kuliko kufa kwa ajari za kizembe ni heri ufe ukitetea taifa lako, hakika kuanzia leo ntawaambia ndugu zangu wasilie kabisa kama ntakufa kifo cha kishujaa kama cha huyu kamanda wetu! Bwana ametoa na bwana ametwaa'
 
Duh!!
hii kitu imeniharibia jioni yangu kabisa!!
RIP miganaji. Mungu aliyekuwa na mpango nawe hadi akakuleta duniani, akakupe pumziko lililo sawa na mapenzi yake.
 
Mkuu kinachonishangaza hapa ni kina Kishongo, Ritz, Topical et all kuona mauaji hayo kuwa si kitu kikubwa ati kwa kuwa tu Marehemu alikuwa wakala wa CDM. Hawaoni thamani ya uhai uliopezwa wala Utanzania wa marhemu, wanaona kivuli cha CDM tu.
Mkuu, ndio maana haya majamaa nikikutana nayo jukwaa lolote lile yanajichekesha nayapa za pua tu!!
Mbwa mbwa tu hata akiwa wa polisi bado mbwa tu!!
 
BAKWATA mkowapi jamani kukemea hili,au mpaka mpelekwe chamber mpewe kitu kidogo kwanza kama ilivyokuwa kwa DC wa Igunga?
 
Huyo aliyekubali kununuliwa na cdm (cheap amount) kwenda mpaka igunga na kuuliwa ili mpate public sympathy..

Ili mpate madaraka for you ill-intentions anahitaji elimu na kuondolewa upumbavu wake...

namsikitia zaidi kwakuwa hajui yeye ni muislam ni target group kwa cdm (kama walivyomfanya kwa hijab)

Vijana wanatumika vibaya[/QUOTE]
Lazima wewe nu mchawi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom