Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Huyu atakuwa ametolewa kafara na Magwanda. Alirubuniwa toka Dar mpaka Igunga??
Hakuna vijana Igunga mpaka muwarubuni machalii wa Dar?? POOR STRATEGIES.
CDM mnaangamiza roho za watu wasio na hatia buuure!.... Halafu bado inakula kwenu.

ALALE MAHALA PEMA.



What is the right strategy by the way!? To train the so called green guide in Singida and send them to by election in Igunga to kill and frustrate people...!? Acha ukumbaf wewe! U can easly be idiot but hardly affod to be stupid! Wake up sister! Going this way will cost you a man to marry you. I wish you were a man like me!
 
Kiherehere chake cha kujifanya anajua haki kimemponza.

Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.

Amen!
Watu kama nyie pindi ukombozi kamili uliocheleweshwa utakapokuja ni wa kufungwa shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuwatupa baharini mngali wazima.
 
Nina laani haya mauwaji! Nina imani BAKWATA watatoa tamko, isije kuwa wao ni kwenye mitandio tu

Mkuu kuyalaani ni sawa kabisa lakini tuchukue hatua zaidi ya hii, ningeomba tuandamane kupinga mauji ya rai katika nchi inayoimba demokrasia. kila kukicha. imeniuma sana sana!!.
 
What is the right strategy by the way!? To train the so called green guide in Singida and send them to by election in Igunga to kill and frustrate people...!? Acha ukumbaf wewe! U can easly be idiot but hardly affod to be stupid! Wake up sister! Going this way will cost you a man to marry you. I wish you were a man like me!

Rudi shule. Sibishani na wajinga.
 
Naanza kumtafuta riz1 kuanzia leo ,lengo nimtoe roho ,yeye si anashabikia watz wanavyouawa na greenguard?tukianza kuuana sababu ya tofauti za kisiasa naamini hawa magamba tutawamaliza nusu siku,washenzi na wauaji wakubwa nyie.
 
Green gurds walkuwa wanateka watu wa chadema ktk mikutano yao, wanapowapeleka hatujui, hatakaye leta machafuko nchini hapa ni uyu mdudu C.C.M

Lets wait wakuu.
R.I.P mkuu, damu ya mwenye haki haiendagi bure.
 
Rudi shule. Sibishani na wajinga.

Mkuu unajali spelling kukosewa kuliko maisha ya mtu yaliyopotea kwa sababu ya siasa za chuki zinazofadhiliwa na magamba ndani ya nchi ambayo na wewe unaishi, aibu yako !!!!!!!!!!!!!!!
 
Nilishangaa wakati wale vijana waliotekwa wakati wa mkutano wa wassira, hakuna kilichoendelea hatukusikia hata majina yao na wala polisi hawakuliweka hadharani baada ya vyombo vya habari kulitoa hewani.

Hivi hawa watu waliishia wapi jamani, inauma sana. Kweli kunasiku tutajuta tutaikumbuka ule record ya MUNISHI NA CCM. Tutakujachukua hatua wameshatumaliza kwa sababu wanakuja taratibu kama paka halafu wanakaa kimya kuangalia kinachoendelea. Tuchukue hatua haraka kabla mambo hayaja wachangaya watu.
 
Matukio ya utekwaji nyara yaliripotiwa sana Igunga, lakini Polisi hawakuchukua hatua zozote kunusuru hali hiyo. Polisi hawawezi kukwepa lawama kwenye kifo hiki.
 
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida

Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..
Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap
Muuaji mkubwa we ulaaniwe!
 
Inasikitisha sana kuona kiongozi anaingia madarakani kwa kumwaga damu za watu.najua the main suspect ni CCM,vile vitendo vilivyokuwa vinafanywa na greengurd chini ya maelekezo ya viongozi uchwara na mazuzu kama WASIRA,matokeo yake ndo haya.RIP kamanda.

Hivi huyu wassira kwa nini tusimfuate huko nyumbani kwake tukamwazibu mbele ya mke wake.
 
Mkuu wa jikoni Mbona inatisha? na je habari hizi mbona hamkutujuza wakati kampeni zikiiendelea na hata siku ya kupiga kura na baada ya kupiga kura?hakika kwa taarifa hizi ni vema Chadema wakajipanga na tujue wazi kwamba tayari tuko vitani hivyo tukae mkao wa medani maana hii ni hujuma inayogusa maisha ya watu direct,na je kuna fununu yoyote kwamba hata hao waliokuwa wakikamatwa na polisi na kupelekwa kusikojulikana sababu ilikuwa ni nini?

Na je viongozi wetu wa chadema walichukua hatua gani madhubuti?maana kwangu mimi wala hakukuwa na sababu ya kuendelea na uchaguzi kwa chadema kama maisha ya watu yalikuwa yanahatrishwa kiasi hicho ni vema wangejitoa kwa kuamua kuwatafuta kwanza watu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha na hata na wengine ingebidi twende Igunga kusaidia kuwatafuta wenzetu wapigania haki za wanyonge,na ni vema tungeliwaachia hao wapigania haki za starehe-ccm-magamba.

Ila naamini Mungu haja lala,ni kweli damu za wapigania haki hao zitkkuwa chemichemi ya ukombozi wa taifa hili,na histiria ndo inatuambia hivyo.
Mwanga wa milele umwangazie ee bwana!
 
Asante sana Topical,ubarikiwe na Mungu akili ulizonazo zilizokupelekea kundika hayo baada ya kufanya tafakari nzuri sana ya -ki-jiniasi Mungu akuzidishie maana wewe ndo chimbuko la amani na huruma kwa wanadamu bila kujali imani zao.Asante sana!
 
Mkuu unajali spelling kukosewa kuliko maisha ya mtu yaliyopotea kwa sababu ya siasa za chuki zinazofadhiliwa na magamba ndani ya nchi ambayo na wewe unaishi, aibu yako !!!!!!!!!!!!!!!

Najali saana maisha ya binaadamu.
Hata hivyo huyu inaonekana ameponzwa na kimbelembele na umbumbumbu wa kutojua ufedhuli na usanii wa CDM.
Aliponzwa na uhuni wa chama chake. Nawahurumia ndugu zake manake watafanyiwa usanii wa ki-magwanda huku wakiwa mamempoteza mtu wao.

Mungu akirehemu kiumbe chake.
 
Huyo aliyekubali kununuliwa na cdm (cheap amount) kwenda mpaka igunga na kuuliwa ili mpate public sympathy..

Ili mpate madaraka for you ill-intentions anahitaji elimu na kuondolewa upumbavu wake...

namsikitia zaidi kwakuwa hajui yeye ni muislam ni target group kwa cdm (kama walivyomfanya kwa hijab) Vijana wanatumika vibaya

Unamtukana huyo kijana au unawatukana viongozi wako wa serikali waliofunga ofisi kwa ajili ya kwenda Igunga. Walicho kwenda kufanya huko ni kupanga jinzi ya kuuwa vijana ili wao wapate kutawala maisha yao yote.

Hapa BAKWATA wanamaswali mengi sana yakujibu kwa waumini wao, watajua umuhimu wa uhuru wa mtu anauwezo wa kupenda anachokitaka mradi asivunje sheria. Na inawezekana wao ndio wanawapa kichwa na wao wanafanya kweli waangalie sasa vijana wanaangamizwa, wanatekwa nk. Tumechoka
 
Una maana gani kuiondoa? Kama kwa sanduku la kura, sawa. Vinginevyo....PATACHIMBIKA.
Kuna siku iliandikwa humu kuwa diwani Nanyaro alitekwa na green guard alimrukia dereva hadi walipoachiwa huenda na huyu ni miongoni mwa watu waliotekwa ngoja tusuburi siri ndo zinaanza kufumuka jama tunaelekea pabaya Ee Mungu tuepushie mbali haya nchi yetu ya
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom