wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
sasa bado tuu hamtaki waje kututtibu hawa?
sasa mimi napiga petition Ubalozi wa Iran watuletee hao madaktari
naona wanacheewa sijui kwa nini
Ushabiki wako wa kisisiemu unapeleka hadi kwa Persians Huwajui Wairan kinachowasaidia ni pesa zao za Mafuta wapo radhi kutumia kiasi chochote kuiba Technolojia na kuchukua watu watengenezee kwao au kwenda kusomesha watu kuna kesi kibao za raia wa israel waliokuwa wanawauzia silaa na technolojia wairan na ujue hii mizunguko ya biashara haiwezi kuisha kwani ma ajent ni wengi na wana kila njia za kufanikisha kwenu wakimbizi mbona wanapita na nie ccm hamjui hadi kikinuka mnabaki mnashangaa....Wewe kweli Duduwasha hujui chochote kuhusu Jomhuri-ye Eslam-ye Iran...nimecheka eti Iran mafanikio yake kuna Waisrael wanawapa huduma zote ha haa haaa! JF sio sehemu ya porojo weke ushahidi hayo maneno yako!
Halafu Ahmedinajad ndani ya Iran hana sauti yoyote..unamjua Reza Shah, Kashafrud, Ganj Par, soma historia ya Iran au pita kule kwenye jukwaa la Great Thinkers Nguruv3 kawaelezea kidogo wa Iran.
Iran adui yake mkubwa ni Israel na hawalitambui taifa la Wasrael leo wewe unatuletea stori za kwenye vijiwe vya mbege eti mafanikio yao ni Wasrael, Nuclear program of Iran wameanza toka 1950, kazi kubwa wamefanya kina Ayatollah Khomein na wenzake.
Ushabiki wako wa kisisiemu unapeleka hadi kwa Persians Huwajui Wairan kinachowasaidia ni pesa zao za Mafuta wapo radhi kutumia kiasi chochote kuiba Technolojia na kuchukua watu watengenezee kwao au kwenda kusomesha watu kuna kesi kibao za raia wa israel waliokuwa wanawauzia silaa na technolojia wairan na ujue hii mizunguko ya biashara haiwezi kuisha kwani ma ajent ni wengi na wana kila njia za kufanikisha kwenu wakimbizi mbona wanapita na nie ccm hamjui hadi kikinuka mnabaki mnashangaa....
Taja chochote wanachotengezeza Wairan na mimi nikupe majibu walipotolea...
Jua kuwa Mashine zao nyingi wamenunua Ujerumani Wacha ushabiki kwa Kichama
Acha ujinga weye? Nani kakuambia mauritania,na shanara magharibi,afghanistan(lab ya mabomu) wana umuhimu kwetu?Pia huo urafiki wa Iran wa kutugawanya kwa dini si urafiki.Nyie ndivyo mlivyo wamatumbi.Mgeni upe hifadhi halafu akutafunie watoto na mkeo/wakezo?
issue ya mafuta acha uzembe wewe?Mafunta hao vimeo hawayafanyii process, wenyewe mafuta safi wananunua.Na mafuta yapo dunia nzima.kila siku nchi kibao zinatangazwa kuwa na mafuta mengi.
Ubaya wa uchumi unatokana na uislam kwani ndio unaopokea rushwa sasa hivi, na polisi waliopo Kova na Mwema, rais na makamu si waislam , na aliyemuumiza dr. Uli na wengine si waislam na ripoti yao itakuja kiislam.Itaongozwa na sheria ya uislam ya kutomshitaki wala mwadhimu muislam akiua kafir.waislam ndio mnawakimbilia hao wateule wenu.
wala hawatutegemei sisi,hata kama wanategemea mazao ya ardhi kama tuliyoikalia , na bakuli ni kawaida ya serikali duni, ni sisku mtasikia jamaa alikuwa katk process ya kuwa full shoga.msome mistari .Jamaa kuchukua mazao ya ardhi tuliyoikalia haimaanishi kututugemea kwa lolote.
kinachosumbua hapa ni legacy kuwa nao waonekane watu wao wanaweza infact hizi ni propaganda. Je kikwete atawalipa shnngapi ambazo anashindwa kuwapa madr. Waliopo. Udiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii harufu kali sanairan ina maneeo inafanya vizuri ila bado si nchi ya kuweza tushawishi tuache mrafiki wengine wenye maana na maendeleo.irani wasitufanye chambo wakati wamezidia,huku hawaheshimu ustawi wetu.ni vipi watake support kwa kutulazimisha kuchukiwa na mtaifa yote muhimu duniani, halafu bado watudhalilishe kwa kutuvuga ndani ya nchi kwa kuwafadhili uamsho na kufadhili waandishi duni wanaoeneza propaganda za kubadili historia yetu na kuandika historia isiyo.leo tuna watanzania wapuuzi wanatafuta watu wa dini yao katika kila chema cha nchi:sijui uhuru wa nchi, sijui mwanzilishi wa hospital ya muhimbili, etc.
Hoja yako imekaa ki udini zaidi na huna hoja za msingi kwahio ni bora nisikufafanulie chochote ubakie na udini wako.
sasa kwa manesi kama hawa mtu utaacha kupona?
Kikwate/pa atawalipa kwa kubeba aibu , na vikwazo huku iran akiingilia mambo ya ndani kwa kulazimisha udini, na vita zao za ushia na usunni.HUku wakiupiga Ukristu vitakinachosumbua hapa ni legacy kuwa nao waonekane watu wao wanaweza infact hizi ni propaganda. Je kikwete atawalipa shnngapi ambazo anashindwa kuwapa madr. Waliopo. Udiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii harufu kali sana
ktk red: hawarushi as...nomy ila astronaut.Na hawajaweza hata fikisha mtu mwezini, huko ktk sayari wangefikaje?Na ni sayari ipi?hao jamaa wameenda umbali fulani ktk maeneo ya kuitoka anga ya dunia na kuizunguka dunia.Upo dunia gani wewe? eti umeambiwa kumbe hujui kitu....IRAN sio wenzetu ata kidogo fatilia documentary mbalimbali na utaona GREECE AND PERSIAN ndo elimu toka zama na zama imelala....IRAN wanaexport all medicines including medical equipments na mgogoro wao mkubwa ulikua ni shida ya ku import vifaa vya kutibu cancer kwani hii technology ilikua kwa nchi za magaribi km vile huduma za mionzi na ndo mwanzo kutrain watu wao kwenye nuclear issue kwani wagonjwa wa cancer matibabu yake ni miionzi ya nuclear....IRAN ana export vifaa mpaka kwa nchi ULAYA mfano GERMANY ameoda meli kubwa toka IRAN sasa hao utajilinganisha nao na walikua km sisi tu lakini wamewekeza ktk elimu...Tembelea websites zao kwenye ishu za technology na last year ndo ilikua leading nation kwa kuchapisha vijarida vingi vya sayansi...wenzako wanategemea by 2017 warushe asrtonomy ktk sayari, wanaexport ndege,magari,meli,silaha mbalimbali na optical obejct eg binocular,lenses na upuuzi mwingine....Hawa sio waarabu hawa ni wapersia bro
ktk red: hawarushi as...nomy ila astronaut.Na hawajaweza hata fikisha mtu mwezini, huko ktk sayari wangefikaje?Na ni sayari ipi?hao jamaa wameenda umbali fulani ktk maeneo ya kuitoka anga ya dunia na kuizunguka dunia.
We kimeo usitudanganye, kipindi hicho ilikuwa Persian na si Iran.Kuwa Iran kunabadili mambo sana.Kama ilivyokuwa kwa Waarabu kabla ya Uislam walikuwa na tamaduni zao waandishi wao, washairi,na walikuwa wakishirikiana vizuri sana na wayahudi na watu wengine.Ila hi Iran inatafuta maadui ili iweze jikubali.
.Waislam wanataka chukua credits toka katika staarabu hizi. Kipindi Iran ikiwa Persia ilikuwa na mahusiano na ustaarabu wa sehemu tofauti na walijiendeleza sana ktk nyanja nyingi.Baada ya uislam walijifunga ktik mambo mengi,ingawa bado kwa asili si waarabu na hivyo kutomaliza kabisa upande wao wa kielimu.
Cha kushangaza pia mwandishi anasahau Iran sio medical tourist destination kwa calibre ya India,Brazil, Agentina,cuba, etc.Wote hawa wanapokea watalii masupa star wanaokuja kufanya mamabo mbalimbalia ya kiafya na kiurembo .Hapa tuaongelea zaidi suala la Madaktari na ghrama ya ushenzi wanaotuletea.Brazill wana uwekezaji mzuri nchini, na Maximo ni sehemu ya Lobbying entity.Kwanini Jk asiwaombe kama alikuwa anadhani mamabo yake yana busara?
Hata kipindi cha miwnyi hadi mkapa kulikuwa na vijarida vingi sana vya mapenzi, udaku etc .hadi vikapigwa marufuku ila haikumaanisha tulikuwa wazuri sana ktk hizo nyanja.hata wasomi wa kiislam wana vijariba na vitabu vingi vya hovyohovyo viavyozunguka ktk kuupamba uislam ktk ulimwengu wa sayansi
Wewe mwenyewe unatetea kwa mitazamo iliyokaa kidini Zaidi ndio maana huoni hasara ya kujiunga na Michezo michafu ya Iran badala ya kukaa katika Jamii ya Kimataifa.
Udogo wa ubongo wako na kujiamini ndiko kunakufanya ujione kuwa upo very smart and fair.Sasa linapokuja suala la wewe kukosa cha kusema unajaribu jificha ktk sababu za kijinga kama hizi.
Sijui una ufafanuzi gani hapa zaidi ya kutaka nisikilize story zako ktk mitizamo kama ile ya mawaidha ambayo inawapeleka katika uovu.Unless una kichaa huwezi kubali kutetea Ujinga na propaganda za iran.Si bora hata tuchague kanchi km sweden na kukaita rafiki yetu pekee.
Nakataa kabisa kama mimi nakubaliana kidini isipokuwa nakubaliana kitaifa ila kwa mtazamo wako unataka kuchakachua na uwe wa kidini.Well..bila ya ubishi tumewazoea watu kama nyinyi na ngumu kuwafahamisha kutokana na mtazamo wangu nakuhisi wewe ni mdini na kuwakataa hawa jamaa ni kutokana na dini yao kwakuwa hutokuwa na sababu za msingi za kuwakataa ila nawakubali kutokana na msimamo wao na utekelezaji wao katika ujenzi wa taifa lao na msimamo wao.
Sasa mimi naomba unipe sababu ya msingi ambayo itaweza kushawishi hili jukwaa kwamba hawa sio watu wazuri au utendaji wao ni mbaya na utupe data za ukweli.Nasubiri