Sasa hapo udini uko wapi? Nadhani ww ndio mdini kabisaWewe dogo unaongozwa na udini au?kwataarifa yako iran inatengeneza nyambizi,ndege pia ndege sizo kuwa na rubani.na bidhaa zote za nyumbani hawaagizi nje.
LOL akili ya kijiweni.ve transformer oil naharibu akili yako,kwanza hamna kitu najuva kuhusu iran,naamini haujavahi kutoka tanzania ndiyo maana nabishana kama iko kwenye kijiwe ya kahawa lumumba,angali Iran aircraft manufacturing industry(HESA) halafu fananisha na africa.Ushabiki wako wa kisisiemu unapeleka hadi kwa Persians Huwajui Wairan kinachowasaidia ni pesa zao za Mafuta wapo radhi kutumia kiasi chochote kuiba Technolojia na kuchukua watu watengenezee kwao au kwenda kusomesha watu kuna kesi kibao za raia wa israel waliokuwa wanawauzia silaa na technolojia wairan na ujue hii mizunguko ya biashara haiwezi kuisha kwani ma ajent ni wengi na wana kila njia za kufanikisha kwenu wakimbizi mbona wanapita na nie ccm hamjui hadi kikinuka mnabaki mnashangaa....
Taja chochote wanachotengezeza Wairan na mimi nikupe majibu walipotolea...
Jua kuwa Mashine zao nyingi wamenunua Ujerumani Wacha ushabiki kwa Kichama
Nimeambiwa kuwa Iran bado wanaishi kwenye zama za mawe sasa iweje wao leo wanataka kutuletea madaktari?
Hii ni nafasi yetu sote kufanya research kujua huko Iran hali ikoje?
Ninavyokuwasha hizo kwako unaona si Akili? wewe inaonesha una akili za kufundishwa... Nitajie Mgunduzi wa Kitu chochote from Iran...!
Hivi wewe unaona hizo private za kwetu zinaonekana baba kubwa? pole sana, endelea kuamini hivyo.Kuna watu wakiona majengo basi imetosha. Hivi mtu akipiga picha hospitali Private hapa bongo kama Trauma, Aga Khan, na uka-focus kuonesha machine si itaonekana Tanzania mambo swafi?
Kwenye point yako kuhusu ni watu gani wanaletwa, hapa ndipo penye mtahani. wataleja majasusi tupu maana hawa Iran wanataka sana Uranium. Lakini kweli hebu tujiulize, watakaa milele? Wakiondoka tutakuwa na nini? Hii kwangu ni sawa na kuuwa sekta ya afya.
iran hospitali zao ni kama za kwetu so wakija hapa wataweza kufanya kazi muhimbili...huwezi mtoa daktari kwenye hospitali za ulaya ukamleta hapa mazingira ya kazi yatawashinda
Usingoje kuambia tafuta habari mwenyewe,Iran ni Nuklia power kwa sasa inatengengeneza zana na silaha zake za Kivita mpaka Submarines na ndege za kivita zinapiga bila kuwa na mtu, ukiacha Madawa ya magonjwa mbali mbali. Hakuna kitu cha nje kinaingia Iran ukiacha Matrekta,Mabasi, spea, vifaa na zana za hospitali NK. Kwa taarifa yako wapo madaktari wengi maspecialist katika mahospitali za Uingereza, Umarekani wametoka Iran. Emirates wamefungua mpaka mahospitali.Nimeambiwa kuwa Iran bado wanaishi kwenye zama za mawe sasa iweje wao leo wanataka kutuletea madaktari?
Hii ni nafasi yetu sote kufanya research kujua huko Iran hali ikoje?