Je, Iran itaanguka kabla ya 2030?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kuna nchi ya Iran hii ipo huko uarabuni wao ni supporter wa magaidi kila hali. Hapa nchini wanagawa misaada ya kuwawekea watu mitego ili wabadili dini.

Ila Iran wanawagea materorist sapoti huko mashariki ya kati uwarabuni na duniani

Ni watu wa chuki visasi na roho ya kigaidi wanayo na ndio wanafadhili ugaidi na misimamo mikali hapa kwetu wanaeneza dini kupitia misaada ya na kuwabadili watu dini hawa teeran

Huko maandamano yamekolea wanawake wamegoma kuwa watumwa wa kujifunikafunika

Serikali ya IRAN itaanguka? Na itakua ni lini maana wamechoka sana hao raia wake

Tutarajie hawa kudondoka? Au Irani bado wapo?
 
Kuna nchi ya Hiran hii ipo huko uarabuni wao ni supporter wa magaidi kila hali

Hapa nchini wanagawa misaada ya kuwawekea watu mitego ili wabadili dini

Ila Hiran wanawagea materorist sapoti huko mashariki ya kati uwarabuni na duniani

Ni watu wa chuki visasi na roho ya kigaidi wanayo na ndo wanafadhili ugaidi na misimamo mikali hapa kwetu wanaeneza dini kupitia misaada ya na kuwabadili watu dini hawa teeran

Huko maandamano yamekolea wanawake wamegoma kuwa watumwa wa kujifunikafunika

Serikali ya ILANI itaanguka?Na itakua ni lini maana wamechoka sana hao raia wake

Tutarajie hawa kudondoka?Au hirani bado wapo?
Kuandika tu hujui sijui hoja utaweza
 
Hiran na Ilan si ndiyo mkuu?
 
irani
Iran

Sijasoma content yako ila Iran kuanguka sio rahis maana iko strong tofauti na miaka 5 nyuma. Sahivi wanakuja na Petro-yuan mambo ya dollar itakua historia. Sahv wanashirikiana na mataifa rafiki tu vikwazo vilidunda kwa Iran kama unavyoona Russia, Iran iko Strong sana.

Kitu kingine Asia ndo inatabiliwa kukuwa kiviwanda na kibiashara miaka 5-10 ijayo
 
Kuna nchi ya Hiran hii ipo huko uarabuni wao ni supporter wa magaidi kila hali

Hapa nchini wanagawa misaada ya kuwawekea watu mitego ili wabadili dini

Ila Hiran wanawagea materorist sapoti huko mashariki ya kati uwarabuni na duniani

Ni watu wa chuki visasi na roho ya kigaidi wanayo na ndo wanafadhili ugaidi na misimamo mikali hapa kwetu wanaeneza dini kupitia misaada ya na kuwabadili watu dini hawa teeran

Huko maandamano yamekolea wanawake wamegoma kuwa watumwa wa kujifunikafunika

Serikali ya ILANI itaanguka?Na itakua ni lini maana wamechoka sana hao raia wake

Tutarajie hawa kudondoka?Au hirani bado wapo?
Hiyo nchi ya Hirani iko bara gani? Inapakana na nchi zipi na nini sababu ya kuanguka kwa nchi hiyo ya 'Hirani'?,,
 
Huu uzi ni athari ya kusikiliza story za vijiwe vya magazeti pasi kuuliza/kuelewa hasa kinachoongelewa na kukiwasilisha kwa uelewa wa msikilizaji bila kuzingatia muktadha hasa wa mada husika.

Hatma yake ndio tunakutana na 'Hiran' ambayo ipo Uarabuni na si Iran iliyokuwepo Asia.
Anyways, umewasilisha mkuu. Asante.
 
Iran haiwezi kuanguka Mkuu, kama jibu ulilokuwa unalihitaji ni hili, kama unataka kujua kwa sababu gani haiwezi kuanguka anzisha Thread nyingine uulize HOW? Huwezi kupata jibu la jambo linalokusumbua kiwepesiwepesi tu Mkuu Wakati hata wewe muulizaji hauko tayari kusumbua kichwa, unatoa hoja nyepesi kwenye swali Zito! Mfano mdogo ni huu,

Tozo zilipoongezeka uliacha kununua bando? Au unanunuliwa?

Ulishawahi soma vitabu vya siku alfu moja na moja? Iran ni uajemi, bado ipo sana, japo watu watapita wataiacha. Jibu jepesi kama swali lako.
 
Back
Top Bottom