Waitu?according to some ppl, ninaweza kusema kabila langu lina sifa ya kuwa na watu wenye "akili" sana nchini (viz. "wazungu wana akili kuliko watu weusi" thread). Ila, huwa wanatubambikia eti tu malaya na tuna majisifu, soma zaidi hapa kupata undani: http://blacfoundation.org/historia_yake.pdf
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wajanjawajanja unapenda pesa kuliko utu......uko radhi kuoa roho ya mu kisa vijesenti,tumeenea kila kona ya nchi hii tunamiliki mabaa na maduka...maarufu wa kuchoma nyama...kupiga rangi viatu na kuuza scrapers.Tuna abia ya kujenga majumba kwetu na kuyafunga hadi siku za krismas ambapo tunarudi wote nyumbani hata kama ukipandishiwa nauli maradufu.Tunapenda kupiga kilauri......wengi wa matajiri wa kabila letu utajiri wao una utata sana
Mkuu wanishangaza sana , katika dunia ya leo wewe unaongelea kabila lako kwa sifa zake?Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
Boss, for the first time leo umeni-disappoint!!! ukisoma post za makabila umeweka all others as trash with exception ya hawa jamaa... eniwei, thats greatest stink of all timewasukuma ndo the best
wana roho ya kitajiri,
hawana dharau na mtu,
hawana kujisikia.
wana miili mikubwa.
afya njema.wacheshi....
baba wa taifa hakuziondoa, ila alisema tunaulizana makabila kwa sababu ya kujuwa nani mtani wako na nani siyomkuu wanishangaza sana , katika dunia ya leo wewe unaongelea kabila lako kwa sifa zake?
Exactly the myopic views ambazo baba wa taifa aliziondoa kwa taabu sana miaka ya sitini.
Baadaye utaongelea kijiji chako na ukoo wako,
katika karne hii tunapo jaribu kuondoa tofauti za muungano, kuenzi umoja wa afrika mashariki na umoja wa afrika mtu unaleta kakabila kako tukajadili.
What nonsense.
As i am writing niko india ambako nashangaa shangaa jinsi wenzetu umoja wao unavyopaisha uchumi wao.
Wake up man think nationally
mh, sasa rostam atakua kabila gani?
hilo sio kabila bwana hiyo ni race....mzungu wa iran
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
KABILA LANGU NI MASHUHURI KWA KUCHEZA NGOMA, UMALAYA UZINZI, WANAWAKE WANAPENDA KUITA MAFIGA MATATU, hatuwezi uongozi maana hata Rais wa nnchi anatoka wilayani kwetu ndo hayo mnayo yaona.
Uchawi ndio jambo lililoturudisha nyuma
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.
Usinikumbushe jinsi shosti alivyokuwa anaangua kicheko kwenye ile siku ya uzindizi wa kampeni dhidi ya malaria,wakwere-uvivu ,kupenda kuchekacheka na umalaya ndo sifa zetu kuu