Kabila Lako Lina Sifa Gani?

Kuna kabila linaitwa wanyiha naombeni sifa zao

Wanyiha wengi ni wachapakazi,ni wakulima wazuri sana..

Pia wanaendekeza sana mambo ya kishirikina,ndio wanaoongoza kwa vitendo vy uchunaji ngozi binadamu wenzao kule Mbeya..

Ukienda Mbeya utagundua kwamba watu wengi wanaofanya vitendo vya ujambazi ni Wanyiha

Pia mabaamedi wengi wa bar za Mbeya ni wanyiha na wasafwa
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.

umesahau na kujiua
 
kwakweli la kwetu limeongelewa sana tuna wizu wa maendeleo kiasi kwamba tunasemamwa ss tu ila tunapenda mafanikio ni wapole wakarimu wapenda pesa kuliko utu
 
Dah kabila la Wakurya bana nali mind sana haya majamaaa murhaa yanamsimamo ati fita ni fita murhaaa yakiamua jambo we kaa mbaarii murhaaa sisiemu walikimbiswaa murhaa na ma VX yao murhaaa
 
wabondei na wazigua..
wanawake wengi wanajua mapenzi...
wanaume pia hawana gubu na wake zao....
pia kwa kilimo hawapo nyuma..


usifanye nikaja pm kwa nguvu.....

The Boss umenichekesha kweli kweli na hizo sifa hapo.
 
kwa wanawake wanaojua mapenzi na ukarimu
wazigua
wamanyema nawapa respect,
wakinga watu wazuri lakini wanahasira sana
wanapenda ushirikina wa kuua ndugu kwa mali na pia kujiua jiua.
wajaluo ni wakatili lakini wako open minded,hawana vinyongo
wala si watu wa maneno na umbea.
Wajaluo wa wapi hawa unaowazungumzia? Wa Kenya nadhani walishiriki kwenye mauaji ya visasi/vinyongo!Unaweza kuwa mkatili bila kinyongo?
Wajaluo ni wajaluo tu!
 
wajanjawajanja unapenda pesa kuliko utu......uko radhi kuoa roho ya mu kisa vijesenti,tumeenea kila kona ya nchi hii tunamiliki mabaa na maduka...maarufu wa kuchoma nyama...kupiga rangi viatu na kuuza scrapers.Tuna abia ya kujenga majumba kwetu na kuyafunga hadi siku za krismas ambapo tunarudi wote nyumbani hata kama ukipandishiwa nauli maradufu.Tunapenda kupiga kilauri......wengi wa matajiri wa kabila letu utajiri wao una utata sana

huyu lazima ni mchaga tu
 
WANYIHA wanatokea wilaya ya MBOZI MBEYA ni makatili sana, wana sura za upole na wakimya, wanaongea taratibu. Ndio wachunaji ngozi hodari, watengeneza magobore (walishawahi kutengeza bunduki ambayo haijawahi kuonekana popote na waliteka kituo cha polisi Tunduma na Benki mwaka 1998 hadi kikatumwa kikosi maalum kwenda kupambana. Risazi za bunduki hiyo vilikuwa ni vipande vya nondo ilikuwa ikitoboa ukuta) wao ndio watekaji wakubwa wa magari, tena mbaya kabisa wakifanya uhalifu wakatambua kuwa wanakufahamu lazima wakuue. wananeno lao "tumugoje tumuleshe" maana yake tumuue au tumuache.
Wanyiha ni soo
Kweli unawapata hawa jamaa!Real description!
 
Back
Top Bottom