Kabila Lako Lina Sifa Gani?

mi mi ni mnyamwezi


na wanyamwezi wamegawanyika...
wapo ambao ni kama wasukuma..
na wapo wale wa mjini wapo kama wazaramo...
 
weupe ...wana nywele ndefu za kueleza,wafanyabiashara,wanaishi mijini,wabaguzi,dharau kibao...mabingwa wa kukwepa kodi.....
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....????
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.


TAKE CARE.
 
Kuna kabila linaitwa wanyiha naombeni sifa zao

hawa wanawake ni wakali na wakatili kupita kiasi. ndo wachuna ngozi hawa. kama hujaoa na una mpango wa kuoa mnyiha, acha kabisa, wala ndugu yako asimuingize kwenye familia yenu, mtajuta. wanafiki sana kujifanya wana heshima zilizopitiliza, lakini ni washenzi wa kufa mtu. nimekaa sana mbozi nawajua sana. wanaume watulivu kidogo japo nao wana roho za kitatili kiasi, lakini hawajawafikia wanawake.
 
wanajisikia sana....wao wanajiona wamesoma sana..kwao hata JKT ni kusoma.Wanaendekeza uamaduni wa kula wadudu jamii ya panzi hata kama upo Ulaya utaumiwa.
 
wapare ni ubahili na roho ndogo ya kimasikini.
na ushirikina pia.

wapare wanapenda kesi sana. yuko radhi auze ng'ombe kwa kesi ya kuku. ubahili siku hizi wanajitahidi umepungua, wanajisikia pia na wanajitahidi kusoma. hawasaidiani hata kidogo, ukabila haupo maana hayuko tayari kuona mpare mwenzie yuko juu. yuko tayari kumsaidia asomjua kuliko kabila lake.
 
wanapenda kupiga wake zao sana...na wake zao wasipopigwa wanalalamika kwamba hawapendwi.Tunaokea mkoa mmoja wa mpakani
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.

Wabondei na wazigua je?
 
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
Halafu mkienda dukani mnasema naomba shati lile la laki moja.hamuulizi hata bei.
 
Wabondei na wazigua je?

wabondei na wazigua..
wanawake wengi wanajua mapenzi...
wanaume pia hawana gubu na wake zao....
pia kwa kilimo hawapo nyuma..

mwanajamii we ndo kabila lako nini?
usifanye nikaja pm kwa nguvu.....
 
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?

chu! bhebhe namhala, goshi uliwamukaya ghete nanho? natogwa sana wamayu.
 
Back
Top Bottom