Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,404
Ninachojua ni kwamba wana urembo wa nje ila kimaadili si waelewa kabisa, hawaonywi wakasikia, hawatahadharishwi wakakubali bali hisia zao ziko mbele kuliko akili. Akina mama walioolewa hawajui kuwatunza waume ni kiguu na njia. Kama nabisha fuatilia unyumba wa waziri fulani mwanamke anayetokea Endasak Hanang ambaye naye ni Mwiraq upate habari zake. Majority ya Hawa wa dada na wanawake wa ki-iraq in short "THEY NEVER MAKE A GOOD WIFE" labda uoe kwa ajili ya shughuli nyingine. Nina evidence za kutosha
Usemalo ni kweli kabisa,
Zaidi ni wavivu hawapendi kujishughulisha kabisa!
Yaani kama wazaramo kwa uvivu!