Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
umesahau mbulu mjini,tlawi,mamaisara,yaeda chini,gunyoda,haydom
Dah majina sehemu za huko unaweza jikwaa ulimi kuyatamka
umesahau mbulu mjini,tlawi,mamaisara,yaeda chini,gunyoda,haydom
kweli wivu inabidi ukae pembeni, yaani anagawa tu hovyo?Kwa urembo tu baba hapo umepata, na watakuzalia watoto wazuri sana, ila uweke mbali mambo ya wivu...akija kaka yako haya, mdogo wako haya, jirani sawa, house boy twende
Alaah....! kumbe.Hapo kwenye bold, jibu ni NDIYO. Huu uzao wa Wairaqw, Wasomali, Watutsi, Warangi, Wahabeshi (Ethiopia na Eritrea), kwa jina collectively wanajulikana kama (Hamites) wametokea middle east, miaka mia nyingi sana iliyopita.
kwetu wote walokole, czani kama watafanya hivo.
Idimi. Sikuwa na fahamu kama warangi nao wanaingia katika jamii hii! Nilifahamu warangi ni jamii ya wabantu.
Hivi na wanyaturu nao wanaingia katika jamii hiyo ya Hamites?
kweli wivu inabidi ukae pembeni, yaani anagawa tu hovyo?
kaka hawa watoto ni malaya wakutupwa kuwaoa inahitaji moyo wa kijasiri unaweza kuua hata ndugu yako hakiyanani......ni noma
kabisa nawafahamu vizuri tuHawa wakula na kuacha au sio mzazi?
Mkuu, sina uhakika na Wanyaturu.
Ila Wairaqw ni wahamiaji, hawa wamesafiri toka pande za kaskazini mashariki mwa Afrika na kujikuta wake-settle huku Afrika ya Mashariki. In fact hawa ni Wakushi (Cushites) na si Hamites kama nilivyoandika hapo awali. Kuna kabila lingine dogo lenye Uhusiano na Wairaqw, wanaitwa Wambugu. Hawa wanaishi kata za Malinndi na Kwai wilayani Lushoto, Tanga, sura zao la lugha yao haina tofauti na hawa Wairaqw na chanzo chao ni kimoja.
sehemu gani maani mimi nipo kwa wanaume wengi ( uhandisini)If upo serious njoo udsm hapa, ntakuonyesha uneza ufe wewe, manake dah dah.
Idimi. Sikuwa na fahamu kama warangi nao wanaingia katika jamii hii! Nilifahamu warangi ni jamii ya wabantu.
Hivi na wanyaturu nao wanaingia katika jamii hiyo ya Hamites?
kabisa nawafahamu vizuri tu
tabia zao hazina tofauti sana na wasingida aka wanyaturu ama wanyirama. sifa zao ni 1. malaya sanaaaaa, 2. wakatili sana ( kama ukimuoa ujue umeolewa): anaweza chukua maamuzi magumu sana wakati wowote. Kama unataka kuhakikisha tembelea baa upate mmoja kisha ujenge naye urafiki utaona.
Nimeipenda hii ndiyo maana wanakuwa wazuri sana.Hapo kwenye bold, jibu ni NDIYO. Huu uzao wa Wairaqw, Wasomali, Watutsi, Warangi, Wahabeshi (Ethiopia na Eritrea), kwa jina collectively wanajulikana kama (Hamites) wametokea middle east, miaka mia nyingi sana iliyopita.