umemsahau lwakatare wakuteuliwa na rais muunganishe naye hapo.Udini umepandwa na CHADEMA, kupitia kwa Padri Slaa, mchungaji Msigwa n.k!
Umenikumbusha combination ya BWM and Jemedari MAhita.
Hata wakati wa Mrema walikuwa hawahemi!
Sometimes I am wondering if we have a minister of Home Affairs!
jukumu la ulinzi na usalama linaweza fanywa na raia yeyote yule, LAKINI, kiprotocol ndani ya mfumo rasmi, aliyasema mdau hapa ni sahii, shughuli hii ilikuwa ni kufanywa na Police na Sio JWTZ, Ila hatuna haja ya kujadili au kulaumu sana hili. Tuangalie kusudio kuu muhimu ambalo ni "AMANI" ya TANZANIA
Hawana kazi ya kufanya ndo maana..acha wazunguke majiani
Udini umepandwa na CHADEMA, kupitia kwa Padri Slaa, mchungaji Msigwa n.k!
Ulipouliza nani alikaimu uraisi wakati jk anashangaa kasri oman,? Jibu ni kwamba hakuwepo wa kukaimu kwa sababu hakukuwa na haja, nchi inajiendesha yenyewe AUTO-PILOT mode
Church hawawezi kuingia ni nyumba inayolindwa na MWENYEZI MUNGU. Mi nafikili sg yupo sahihi maana c kawaida kwa mtu anayemwabudu MUNGU kufanya vurugu za kuua binadamu mwenzie.wewe huna mawazo mazuri ,wakiwaua si wanaweza kuwaibukia church waka fanya the same...
Hapa itafutwe solution.
Wewe kama una hamu ya kuua waislam,fanya wewe usisakizie wengine...COWARD.
Watu hawakuelewa kwa nini wanajeshi walimwaga mitaani huu ni ujumbe kwa Chadema.
umemsahau lwakatare wakuteuliwa na rais muunganishe naye hapo.