Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Mi nilitaka wapindue nchi kabisa maana serikali iliyopo imeshndwa kazi,next time jeshi msikosee tena,ni jukumu lenu kulinda sasa naona serikali inahatarisha itoeni,
angalia kipepe mwingine huyu/Watu hawakuelewa kwa nini wanajeshi walimwaga mitaani huu ni ujumbe kwa Chadema.
Watu hawakuelewa kwa nini wanajeshi walimwaga mitaani huu ni ujumbe kwa Chadema.
Kama hujui kitu bora ukae kimya.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
angalia kipepe mwingine huyu/
Bado hujajua kazi ya jeshi wewe.
Hakuna kosa la ufundi, ni wewe tu umetafsiri vibaya.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mimi na nani tuchukue hiyo nchi? tukishaichukua tuipeleke wapi? mwe!Vipi kamanda unawaogopa wanajeshi sasa mtachukuaje nchi bila mapambano.
Watu hawakuelewa kwa nini wanajeshi walimwaga mitaani huu ni ujumbe kwa Chadema.
Kwa wananchi wanaofahamu tofauti ya jeshi la polisi na jeshi la wananchi wa Tanzania, leo imeonekana kwamba kuna tatizo.
Kwa wale wananchi wasiofahamu tofauti ya majeshi haya mawili wameona ni sawa na ni jambo la kushangaza kidogo la kuleta msisimko fulani.
Polisi wakiwa na jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao, JWTZ wao ni kulinda nchi kwa ujumla na mipaka yake.
Watu hawakuelewa kwa nini wanajeshi walimwaga mitaani huu ni ujumbe kwa Chadema.
Udini umepandwa na 'rahisi' ambaye ni dhaifu na kutokana na udhaifu huo ameshindwa kudhibiti madhara yake. Hata mimi ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashughulikia ipasavyo hao wanaojiita wanaharakati wa kiislam.
General Objective ya Jeshi lolote iwe polisi au JWTZ ni kulinda amani! Hata wewe ni jukumu lako kulinda amani! Hivyo hakuna kosa hapo