Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Hiyo mahakama itakuwa na askari wake?

Wale walioolewa au kuoa waislamu wanaweza kushitakiwa kwenye mahakama ya kadhi. kama kadhi akipelekewa kesi na muislamu kwamba mtu wa dini nyingine amemdhulumu kadhi ataamuaje kesi hiyo

Qurani imeruhusu mahakama ya kadhi ifanye kazi nusunusu na kuacha mambo mengine yaamuliwe na mahakama isiyo ya kiislamu? kwa mfano muislamu akibadili dini wazazi au ndugu zake wakienda kwa kadhi na kushitaki kwamba ndugu yao "ameritadi" kadhi atafanyaje?

Mwizi akikamatwa anaiba msikitini atapelekwa kwa kadhi au atapelekwa polisi? na muislamu akifumwa anazini na muislamu mwenzake itachukuliwa ni kosa la kijamii au la kidini,yaani atahukumiwa na mahakama ya kadhi au sheria za kijamii na serikali ndizo zitachukuwa mkondo wake?

Mirathi ya mwanaume wa kiislamu aliyeoa mke wa dini nyingine na waliozaa watoto ambao ni waislamu itaamuliwa kwenye mahakama za serikali au kwa kadhi ,na jee huyu mwanamke atahesabiwa kama ni mke halali wa marehemu?
 
Last edited:
Sanda Matuta,
Mkuu hili ndio tatizo kubwa la Wadanganyika, hata siku moja hamzungumzii hoja isipokuwa watu na mtazamo wao hata kama hamfahamu anchozungumza..
Issue hapa ni mahakama ya kadhi, unaipinga sema sababu zako na kama unaunga sema sababu zako kisha ndizo zijadiliwe..Unaposema majibu yangu yako ndani ya msimamo wangu imekuwaje unataka kujua sababu zangu hali unajua jibu lipo ktk sababu zangu!
Hizo sababu zangu hakuna hata mtu mmoja wenu amezizungumzia hapa na nimeziweka pembeni ili kwanza nielewe nyie mnaopinga ama kukubali mna sababu gani nje ya imani zetu za dini...sizioni!
Kwa wale wanaopinga nimeanza na maswali ambayo badala ya kujibiwa mnaongeza maswali... jibu kwanza kisha weka swali lako..kama upo upande unakubali korti hizi nipe sababu zako kisha tuanze mjadala.

Kigarama,
Bakwata ni chombo cha serikali kilichowekwa kwa ajili ya Waislaam na ndicho nilichokizungumzia hapo nyuma...Nimesema Kiongozi Sheikh mkuu na chombo kinachowaongoza..
Kama unakumbuka waislaam chini marehemu Sheikh Kassim bin Jumaa walianzisha chombo cha waislaam, viongozi wake wakichaguliwa na waislaam na ilileta mgogoro mkubwa hata kufikia Sheikh huyo kuitwa gaidi na alikamatwa kisha waka Mkolimba!...

Kwa hiyo, jibu swali langu kama unaelewa nachouliza badala ya kusema Bakwata ni chombo cha waislaam hali serikali ndiyo inayokiongoza kwa kodi za wananchi!.. Muslims don't want that! kwa nini nyie nyote msipige makelele kuwepo kwa Bakwata ambayo inatumia mifuko yenu (kodi), kitu ambacho waislaam hawakihitaji kama dini nyinginezo. KKK haikuanzishwa na serikali wala kiongozi wake kuchaguliwa na chombo cha serikali.. Hilo ndio swali langu..
Mkuu mimi nafahamu vizuri historia ya Bakwata na ilieleweka wakati wa Nyerere kwa baadhi yetu lakini leo hii sioni sababu ya serikali kuendelea kusimamia maswala ya dini hii...Uislaam bado uko controlled na serikali hili ni wazi kabisa.
 
Mtakuwaje na matatizo na Bakwata ati kuwa ni ya serikali (wakati serikali haihusiki moja kwa moja) na wakati huo huo kudai mpatiwe Kadhi atakayefadhiliwa moja kwa moja na serikali hiyo hiyo!!!
 
Georgia Signs Cease-Fire; Russia Must Withdraw | Daily Press Briefing | What's New






U.S. Condemns Terror Attack in Lebanon Treasury Designation of Iranian Entities for Proliferation Activities Passport Card Production Want a Speaker for Your Organization? Planning a Trip Abroad? Visit the Website for StudentsU.S. Condemns Terror Attack in Lebanon Treasury Designation of Iranian Entities for Proliferation Activities Passport Card Production Want a Speaker for Your Organization? Planning a Trip Abroad? Visit the Website for Students









You are in: Under Secretary for Democracy and Global Affairs > Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor > Releases > International Religious Freedom > 2005 Report on International Religious Freedom > Africa


Tanzania
International Religious Freedom Report 2005
Released by the Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor


The Constitution provides for freedom of religion; however, there were some limits on freedom of religion.

There was no change in the status of respect for religious freedom during the period covered by this report. Some urban Muslim groups are sensitive to perceived discrimination in government hiring and law enforcement practices. Muslims continued to perceive government discrimination in favor of Christians in schools, the workplace, and places of worship.


There are generally amicable relations among religions in society; however, some tension persisted between Muslims and Christians and between secular and fundamentalist Muslims. In addition, on Zanzibar, some Muslims remain concerned that the 2001 Mufti Law, which allowed the Zanzibari government to appoint a mufti to oversee Muslim organizations, authorizes undue government control of religious affairs. During the reporting period, the Zanzibar government formed a Review Committee to open discussion on the revision of the Mufti Law


The U.S. Government discusses religious freedom issues with the Government as part of its overall policy to promote human rights.


Section I. Religious Demography


The country has an area of 364,900 square miles, and its population is approximately 36 million, of which approximately 35 million live on the mainland and 1 million in the Zanzibar archipelago. Current statistics on religious demography are unavailable, as religious surveys were eliminated from all government census reports after 1967. However, religious leaders and sociologists generally believe that the country's population is 30 to 40 percent Christian and 30 to 40 percent Muslim, with the remainder consisting of practitioners of other faiths, traditional indigenous religions, and atheists. Zanzibar, which accounts for 2.7 percent of the country's population, is estimated to be 99 percent Muslim. A semi‑
autonomous archipelago, Zanzibar elects its own president to serve as the head of government for matters internal to Zanzibar, and a parliament that can approve legislation pertaining to local affairs. The Muslim population is most heavily concentrated on the Zanzibar archipelago and in the coastal areas of the mainland. There are also large Muslim minorities in inland urban areas. Between 80 and 90 percent of the country's Muslim population is Sunni; the remainder consists of several Shi'a groups, mostly of Asian descent. The Christian population is composed of Roman Catholics, Protestants, Pentecostals, Seventh-day Adventists, members of the Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (Mormons), and members of Jehovah's Witnesses.


Foreign missionaries operate in the country, including Catholic, Lutheran, Baptist, Seventh-day Adventist, Mormon, Anglican, and Muslim.


Section II. Status of Religious Freedom


Legal/Policy Framework


The Constitution provides for freedom of religion; however, there were some limits on freedom of religion. The Constitution does not establish any official state religion.


The 2001 Mufti Law authorizes the President of Zanzibar to appoint an Islamic leader, or mufti. The mufti serves as a public employee of the Zanzibar Government. The mufti possesses the authority to settle all religious disputes involving Muslims, to approve any Islamic activities or gatherings on Zanzibar, to supervise all Zanzibari mosques, and to approve religious lectures by foreign clergy or the importation of Islamic literature from outside Zanzibar. The Mufti Law is controversial, because some Muslim groups believe it gives the Zanzibar Government undue influence in religious affairs. In response, the Zanzibari Ministry of Good Governance established a Review Committee to consider possible revisions to the Mufti Law. The Committee has sought input from various Muslim nongovernment organizations (NGOs), including some that have objected to the Mufti Law. In a departure from previous policy, the Office of the Mufti has also quietly engaged in a dialogue with Saudi-line Muslim groups, such as the NGO Uamsho.


On the mainland, mosques belonging to the National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) elect a mufti of their own. BAKWATA serves as an NGO, and the mainland mufti is not a public employee; however, when it was first established in 1968, BAKWATA was widely considered to be an unofficial arm of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM). To date, public opinion still associates BAKWATA with the ruling CCM party. During the reporting period, several Muslim organizations continued to criticize both Zanzibar's Mufti Law and the mainland's practice of selecting a mufti through BAKWATA, perceiving them as efforts by the union Government to institutionalize government oversight of Islamic organizations. In the first months of 2005, a loosely organized consortium, consisting of approximately thirty clerics from several Dar es Salaam mosques, publicly called for the BAKWATA mufti to resign and organized demonstrations against him. The BAKWATA leadership countered that these clerics had no authority under the BAKWATA rules to demand the mufti's resignation. Many Muslim leaders, noting that there are no parallel structures for Christians, criticize the Government for disparate treatment of the country's different religious communities.


Muslim groups have also been vocal in their opposition to the 2002 Prevention of Terrorism Act. This legislation does not mention any religious or ideological group; however, Muslim clerics, some local media, and a local human rights NGO have criticized the broadly defined powers it gives police to conduct searches, arrests, and detentions and to determine who is a terrorist. Some of the law's critics expressed fears that the legislation would be used to silence or intimidate the Muslim community. More than 2 years after the law's approval, the authorities have never arrested suspects, seized property, or applied any other sanctions under the Prevention of Terrorism Act, and public debate about the law began to fade.


The Government requires that religious organizations provide information to the Registrar of Societies at the Home Affairs Ministry. To register, religious organizations must have at least 10 followers and must provide a constitution, the resumes of their leaders, and a letter of recommendation from their district commissioner. Some Muslim groups claim that they still are required to submit a letter of recommendation from BAKWATA. There were no reports that the Government refused the registration of any group.


The law requires all NGOs, including those that are religiously affiliated, to register with the Ministry of Home Affairs. The NGO law does not impose any new obligations on the parent organizations of religiously affiliated NGOs. On Zanzibar, the mufti has the authority to approve or deny the registration of Islamic societies under the 2001 Mufti Law.


Legitimate religious groups may import goods internationally without paying duty, provided that they receive an exemption certificate from the Revenue Authority.


Customary and statutory law governs Christians in both criminal and civil cases. Muslims are also governed by customary and statutory law in criminal cases; however, in civil cases involving family matters such as marriage, divorce, child custody and inheritance, Islamic law is applied if both parties are Muslims. Zanzibar's court system generally parallels the mainland's legal system, and all cases tried in Zanzibari courts, except those involving constitutional issues and Islamic law, can be appealed to the Court of Appeals of the Union. In addition, whereas the majority of judges on Zanzibar are Muslim, there are very few Muslim judges, if any, on the mainland; consequently, some Muslim groups have complained that it is inappropriate for Christian judges on the mainland to continue administering Islamic law for Muslims in civil cases involving family matters. There was occasional debate about the establishment of Shari'a law in Zanzibar, but the number of advocates remained small.


Religious organizations occasionally appeal to the secular civil authorities for assistance in resolving quasi-religious disputes over the ownership of mosques and churches, or the leadership of the organization. During the reporting period, the Tanzanian Lutheran Confederation (KKT) replaced its Secretary General. The deposed Secretary General brought a lawsuit seeking his re-instatement. In the meantime, his replacement required a police escort to take possession of his offices.


Missionaries are permitted to enter the country freely, particularly if proselytizing is ancillary to other religious activities. Citizens are permitted to leave the country for pilgrimages and other religious practices.


The Government officially recognizes eight religious holidays; this includes 2 days for Christmas, 2 days for Easter, 2 days for the Muslim holiday of Eid al-Fitr, 1 day for the Muslim holiday of Eid al-Hajj, and 1 day for the Prophet Muhammed's birthday.


Religion may be taught in public schools in the form of a class on religion, but it is not part of the national curriculum. Such classes are generally taught on an ad hoc basis by parents or other volunteers but must be approved by the school's administration and/or parent and teacher association.


In 2004, at a Dar es Salaam fundraising ceremony for the establishment of a Muslim university in Morogoro, President Benjamin Mkapa transferred government-owned office buildings to the Muslim Development Foundation (MDF), a private group of investors planning to convert the buildings into the country's first Muslim University of Tanzania. As of the end of the reporting period, the university had not yet begun to operate.


The Government made some efforts to resolve the growing tensions between Muslim and Christian communities. President Mkapa regularly participates in Muslim celebrations such as Iftars during Ramadan. In April, Minister of Cooperatives and Marketing George Kahama represented the Government at the Pope's funeral. Government officials frequently participated in interdenominational events sponsored by NGOs. In January, Justice Minister Mwapachu opened a seminar for religious leaders sponsored by the United Nations Development Program (UNDP) and a local NGO; the Justice Minister told the participants that the government was preparing a White Paper on the best way to organize religious supervising bodies such as the Khadis Court. In March, former President Ali Hassan Mwinyi participated in an interdenominational civic education seminar sponsored by the Global Network for Religions and Children and the U.S. Embassy.


Restrictions on Religious Freedom


The law prohibits preaching or distribution of materials that are considered inflammatory and that represent a threat to the public order. Government officials occasionally deny permits for religious organization to hold public gatherings if they believe that that the gathering could become confrontational or inflame religious tension. In May 2005, district authorities in Mbeya denied a permit to the Salvation Pentecost of Tanzania International, claiming that the group's recent evangelical public meetings had turned into abusive campaigns against Islam.


The Government has banned religious organizations from involvement in politics, and politicians are banned from using language intended to incite one religious group against another or to encourage religious groups to vote for certain political parties. The law imposes fines and jail time on political parties that campaign in houses of worship or educational facilities. Since general elections were scheduled for October 2005, this has become particularly pertinent. However, none of these sanctions were imposed during the reporting period.


In 2004, Zanzibari police arrested Islamic activist Sheikh Kurwa Shauri; no charges were reportedly filed, but following the arrest, the Government of Zanzibar forced him to return to Dar es Salaam. Shauri was reportedly deported under a 1993 Zanzibar government order after he was accused of disrupting the peace and fomenting interreligious conflict. There have been no further developments in this case.


On Zanzibar, the 2001 Mufti Act gives the mufti the authority to determine the date of major religious observances. The Saudi-oriented Answar Sunni group has been involved in a long-running dispute with the Zanzibar government over which Muslim leaders had the authority to set annual religious observances. In past years, Zanzibari police have broken up public gatherings of Answar Sunni and arrested the participants because they were observing Muslim holidays on the "wrong" day. In November 2004, however, Answar Sunni publicly observed Eid al-Fitr on a day other than that designated by the mufti, and did so without incident and without interference.


The Government does not designate religion on passports or records of vital statistics; however, it requires an individual's religion to be stated on police reports, school registration forms, and applications for medical care. The Government reportedly requires individuals to indicate their religion in police reports in case the individuals are later asked to give sworn testimony, for which the individuals would need to swear in court according to their religion. The Government requires children to indicate their religion on school registration forms because some schools offer religious classes that children attend according to their faith.


Government policy forbids discrimination against individuals on the basis of religious beliefs or practices; however, individual government and business officials are alleged to favor persons who share the same religion in the conduct of business. The Muslim community claims to be disadvantaged in terms of its representation in the civil service, government, and parastatal institutions, in part because both colonial and early post-independence administrations refused to recognize the credentials of traditional Muslim schools. As a result, there is broad Muslim resentment of certain advantages that Christians are perceived to enjoy in employment and educational opportunities. Muslim leaders have complained that the number of Muslim students invited to enroll in government-run schools still is not equal to the number of Christians. In turn, Christian leaders agree that the Muslim student population in institutions of higher learning is disproportionately low; however, they blame this condition on historical circumstances and low school attendance rates by Muslims rather than discrimination.


Christians have sometimes criticized what they perceive as lingering effects of undue favoritism accorded to Muslims in appointments, jobs, and scholarships by former President Ali Hassan Mwinyi, a Muslim. On May 4, the ruling party nominated a Muslim, Foreign Minister Jakaye Kikwete, to succeed President Mkapa, who is Catholic. To date, however, perceived religious favoritism has not been a campaign issue, and there has been little public discussion of balancing government benefits among the country's many religious communities.


On the mainland, the mufti of BAKWATA called publicly in January for Muslim parents to educate their daughters, and not to give them away in early marriages. The overall situation for women is less favorable in Zanzibar than on the mainland. Although women generally are not discouraged from seeking employment outside the home, women on Zanzibar and many parts of the mainland face discriminatory restrictions on inheritance and ownership of property because of concessions by the Government and courts to customary and Islamic law. While provisions of the Marriage Act provide for certain inheritance and property rights for women residing on the mainland, the Marriage Act is not applicable in Zanzibar. Furthermore, the applicability of customary, Islamic, and statutory law on the mainland and Zanzibar depends on whether the deceased was part of a community where the customary law is widely accepted and applied and on the stated intentions of the male head of household. However, determining the intentions of the male head of household is often difficult because the majority of the country's male population does not draw last wills and testaments, as they perceive wills as invitations for bad fortune. Courts on the mainland and Zanzibar have upheld discriminatory inheritance claims, primarily in rural areas. In 2004, a government task force was created to examine possible reforms concerning women's inheritance rights. The task force gathered input from widows and conducted a media campaign to raise public awareness of inheritance as it relates to poverty and human rights.


Under a Zanzibari law popularly known as the "spinster act," unmarried Muslim women under the age of 21 who become pregnant are subject to 2 years' imprisonment, and a man found guilty of making a woman who is not his wife pregnant can be imprisoned for 5 years. In the past, Zanzibari women have successfully had these convictions dropped or overturned in the Zanzibari courts. No men have been tried under this law.


Abuses of Religious Freedom


In March 2004, Zanzibari police used tear gas to disperse a demonstration by Uamsho, an umbrella organization for fundamentalist Muslim organizations on Zanzibar. The group does not recognize Zanzibar's Mufti Law and therefore had refused to seek a permit from the mufti's office as required. Seven demonstrators suffered minor injuries when the police broke up the demonstration. Thirty-two demonstrators were arrested. Two Uamsho leaders were initially charged and released on bail; later all charges were dropped.


Also during March 2004, police arrested several members of Uamsho after a series of small explosions and fire bombings damaged properties in and near Stonetown. Police arrested 45 persons for these attacks. Some were charged and released on bail; others were released without charge. There have been no further developments, and Uamsho reports that no cases are pending against their members in connection with these incidents.


In September 2003, the paramilitary Field Force Unit (FFU) used tear gas and batons to forcibly disperse a meeting of 62 Muslims who had gathered for a religious event in Mwanza. Both the Muslim group and a Pentecostal Christian group had obtained permits for the same dates and the same venue. A confrontation between the two groups followed when the Muslim group began "comparative preaching," or claiming that Muslim religious texts proved superior to Christian texts. Police arrested six Muslims for civil unrest, inciting a disturbance, and hindering police from performing their duties. By March 2004, the Government had dropped all charges, and all were released.


There were no reports of religious prisoners or detainees.


Forced Religious Conversion


There were no reports of forced religious conversion, including of minor U.S. citizens who had been abducted or illegally removed from the United States, or of the refusal to allow such citizens to be returned to the United States.


Abuses by Terrorist Organizations


There were no reported abuses targeted at specific religions by terrorist organizations during the period covered by this report.


Section III. Societal Attitudes


While Muslim-Christian relations remained generally stable in rural areas, tensions persist in urban centers due to claims by some Muslim or Christian groups that the Government favors the other community in its hiring and law enforcement practices. Since the country is scheduled to hold elections in October 2005, considerable attention has focused on the affiliation of the next president. The country's first three Presidents have alternated between Christian mainlanders and a Zanzibari Muslim. This informal arrangement apparently came to an end on May 4, when the ruling CCM party nominated a Muslim mainlander, Jakaya Kikwete. Before Kikwete's nomination, a group of imams had said that Muslim leaders would advise Muslims about the CCM's nominee to ensure that the party's choice upheld religious tolerance and was not corrupt. The imams denied that they would insist that the candidate be Muslim; to date, they have not commented on the choice of Kikwete.


Tension also persisted between moderate Muslims and Muslim fundamentalists, as the latter believed that the former had joined with the Government for monetary and other benefits. Some fundamentalists criticize moderate Muslim organizations, such as BAKWATA, for reaching out to other religions. Fundamentalists demonstrated peacefully against the BAKWATA mufti but did not succeed in removing him.


Many interdenominational initiatives exist at national and community levels without formal government participation. During the reporting period, the press reported that contributions from Christian groups helped with the construction of a mosque in Muheza; elsewhere, Muslim leaders contributed funds to the building of a Lutheran church. From February 21 to 23, BAKWATA hosted an international meeting for countries that have observer status in the Organization of Islamic Countries; topics covered including "International Peace and Development" and "the Role of Islam in Facilitating Dialogue between Religions and Societies." A fundamentalist newspaper editorialized against the conciliatory themes, saying that outreach to other religions represented an "American agenda" rather than traditional Muslim interests.


Religion has not served as a primary fault-line for sustained political violence and conflict; however, societal violence based on religion occasionally occurs. In recent years, some religious institutions on Zanzibar have been attacked; for example, unknown perpetrators desecrated a church on Zanzibar's Pemba Island in May 2004, and the mufti's house and a vehicle belonging to a church were targeted in the series of fire bombings that rocked Stonetown in March 2004.


An interdenominational religious council continued to meet periodically to discuss issues of mutual concern. The council is composed of Catholic, Protestant, and Muslim representatives. The Muslim representative belongs to the BAKWATA. Christian and Muslim groups meet on an ad hoc basis. This interdenominational council last met on May 10 in Tanga, where the council issued a five-point statement urging religious and political leaders to behave ethically and to take concrete steps to promote social peace during the upcoming election campaign.


Section IV. U.S. Government Policy


The U.S. Government discusses religious freedom issues with the Government as part of its overall policy to promote human rights. The U.S. Government encourages continued economic reform as a means to alleviate poverty, which has been identified as a contributing factor in the growth of religious intolerance. During the period covered by this report, U.S. Embassy officials encouraged dialogue among religious groups on Zanzibar.


In 2005, the Embassy sponsored a series of civic education seminars for Christian and Muslim clergy and for young persons who were active in their churches and mosques. The seminars, which were conducted by the interdenominational Global Network for Religions and Children, brought together religious activists from throughout Dar es Salaam for discussions on the peaceful and democratic conduct of the upcoming elections. Also, the editors of leading Muslim and Christian newspapers participated in an International Visitor Program on multi‑culturalism.


The Embassy also sent two key contacts to the United States on an International Visitor program entitled "Multi-Culturalism in U.S. Society," which exposed the participants to issues of religious freedom and tolerance. One of the persons is an editor for one of the largest Kiswahili daily newspapers whose readership is predominantly Muslim. The other is the secretary general of a large Christian organization that publishes a daily newspaper and has its own radio station.


Embassy representatives have made a concerted effort to extend their contacts and encourage dialogue among a wide range of religious leaders. Outreach to the Muslim community has also been enhanced by annual Iftars during Ramadan, hosted by the Charge d'Affaires in Dar es Salaam and Zanzibar, and a series of English language teaching workshops in Zanzibar and the southern region of Mtwara.


Released on November 8, 2005

International Religious Freedom Report Home Page




Updates | Frequent Questions | Contact Us | Email this Page | Subject Index | Search
The Office of Electronic Information, Bureau of Public Affairs, manages this site as a portal for information from the U.S. State Department. External links to other Internet sites should not be construed as an endorsement of the views or privacy policies contained therein.
About state.gov | Privacy Notice | FOIA | Copyright Information | Other U.S. Government Information



Published by the U.S. Department of State Website at http://www.state.gov maintained by the Bureau of Public Affairs.
 
Nitazidi kuomba mjibu maswali niliyouliza badala ya kuanza kufikiria vitu visivyohusiana na Uislaam..
Ati mtu akibadilisha dini, mahakama ya kadhi itafanya nini?...kwani mahakama ya serikali itafanya nini!.. again Mbona pumba zinazidi humu... haya kweli ni maswali ya mtu mwenye akili timamu?
 
Mkamap,
Ukisoma vizuri habari hiyo utagundua niliyoyasema pamoja na kwamba mengi yameongezwa kutaka kuonyesha mtililiko fulani wa kuegamiza ubaya.. Hata chaguzi za rais tanzania zimetazamwa kwa dini badala ya kwamba Nyerere alikuwa rais wa kwanza, Pili Mwinyi kutoka visiwani pamoja na kwamba asili yake ni bara - Mndengeleko huo uislaam ni dini yake tu haihusiani na kuchaguliwa kwake..
Mkapa alikuwa rais sio kwa sababu ni mkristu na hata Kikwete vile vile kwa hiyo utaona kuna upotoshaji fulani ktk taarifa hizi pamoja na kwamba sio kweli Bakwata ni Moderate muslims ila ni chombo kinachokuwa controlled na serikali wala sio NGO ya kawaida kwa sababu hakuna chombo kingine kinaruhusiwa kuwakilisha waislaam nchini na hakitatambuliwa. Nani kaweka sheria hiyo kama sio serikali..
Waislaam wanapinga kuchaguliwa viongozi na serikali ...
 
Nitazidi kuomba mjibu maswali niliyouliza badala ya kuanza kufikiria vitu visivyohusiana na Uislaam..
Ati mtu akibadilisha dini, mahakama ya kadhi itafanya nini?...kwani mahakama ya serikali itafanya nini!.. again Mbona pumba zinazidi humu... haya kweli ni maswali ya mtu mwenye akili timamu?

Utatakaje watu wakujibu wakati hautaki kuweka wazi msimamo wako?
 
Mkuu tumia elimu finyu sana ya kuzaliwa yaani logic!..
Nimeuliza jibu la 2+3 = 23 umelipata vipi! wewe unataka kwanza niseme jibu langu na jinsi nilivyolipata wakati hulijui jibu langu... Kweli tutafika..
 
Mkuu tumia elimu finyu sana ya kuzaliwa yaani logic!..
Nimeuliza jibu la 2+3 = 23 umelipata vipi! wewe unataka kwanza niseme jibu langu na jinsi nilivyolipata wakati hulijui jibu langu... Kweli tutafika..

Sinayo hiyo elimu. Ninachojua umeingia kwa kutuhukumu wote kuwa wadini na kusema wewe uko tofauti! Sasa unajifanya headmaster kwa kutulazimisha tukujibu maswali yako kabla haujaweka wazi msimamo wako huo wakipekee! Ndio, kwa mwendo kama huo hatuwezi kufika!
 
Mkuu tumia elimu finyu sana ya kuzaliwa yaani logic!..
Nimeuliza jibu la 2+3 = 23 umelipata vipi! wewe unataka kwanza niseme jibu langu na jinsi nilivyolipata wakati hulijui jibu langu... Kweli tutafika..


Mkuu,

umesema kwa maneno yako kwamba umeangalia mjadara huu kwa muda...?sasa majibu ya maswali au maelezo yako yapo kwenye posts za nyuma waliobisha wamesema kwanini na sisi tunao unga mkono pia tumetoa zetu sababu.
Na wewe mwenye kwenye post yako ya kwanza ume-rise issues ambazo more or less zimejibu maswali yako yote.
Ila sisi tukataka kujua hizo sababu/msimamo wako zako nyingine tu..
 
kutoka kwa hao wengine ambao mnapinga mahakama ya kadhi...

Nitatoa vitu vichache ambavyo kwanza kisheria vinapingana na katiba. Ikiwa kweli kuna uhuru wa kila dini kuamini ama kuabudu inakuwaje Sheikh mkuu wa waislaam anachaguliwa na serikali tofauti na dini nyinginezo?..Imekuwaje serikali kuingilia maswala ya dini hii badala ya kuwaacha wao wajiendeshe kama dini nyinginezo...je, hili swala la kutakiwa mahakama ya kadhi hakuwezi kuwa ni chimbuko la mfumo huu wa kuhusisha serikali ktk maamuzi ya dini hii inapofikia swala la viongozi wake?.

Jibu ni kwamba kihistoria Waislamu wana utamaduni na jadi ambazo zinapingana moja kwa moja na sheria za utawala wa kisasa ambao umerithiwa kutoka nchi za Magharibi hususan suala la ugaidi na michafuko ya kidini katika jamii. Bila ya kwenda nao sambamba na kuwabana ipasavyo, Waislamu huwa ni tishio kubwa la usalama na maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Si lazima uwe mfuatiliaji wa karibu wa masuala ya tishio la uchochezi walilonao Waislamu ili kung'amua uzito wake. Mfano mdogo; serikali imepiga marufuku mahubiri yote ya uchochezi wa kidini haswa yale wanayofanya Waislamu dhidi ya Wakristu (au kwa jina lingine "mihadhara"). Licha ya yote haya, hadi hivi leo, ni kawaida kabisa kusikia mahubiri yenye kashfa nzito za udini dhidi ya Wakristo na Ukristo zikitangazwa kwenye vipaza sauti vyenye uwezo wa kusikika kilomita kadhaa kutoka misikitini zinapotolewa hotuba hizi hadi sehemu za makazi ya raia wa dini mbalimbali KILA SIKU! Waislamu wanafanya hivi wakijua fika kwamba ni kinyume cha sheria na la ajabu ni kwamba hakuna hatua yoyote inayochukuliwa dhidi ya wahusika. Kwa kifupi; ustaarabu mzima unaoendana na dini ya Kiislamu kimsingi unapingana na maadili ya utawala, haki za binadamu na uhuru wa mtu binafsi kama tunavyozijua kwenye mfumo wa maisha wa kisasa kwenye dunia ya leo, na ni hatari sana kwa usalama wa jami. Ndiyo maana watawala wetu waliamua kufuatilia kwa karibu sana shughuli zote za Waislamu kabla na baada ya uhuru na hadi hivi leo.
 
Mkandara
heshima yako.
Huyo kiongozi wa Kislamu unaongelea wa zanzibar au wa BAKWATA.

Kama ni wa BAKWATA naomba ushahidi huyu sheik aliyopo ameweteuliwa na kiongozi gani wa serikali?

hizi habari za namna hii hua wana zi propagate wale wazee ambao tangu usubuhi ni kwenye bao na draft wakipiga GAHAWA ,HARUA na KASHATA.
 
Jibu ni kwamba kihistoria Waislamu wana utamaduni na jadi ambazo zinapingana moja kwa moja na sheria za utawala wa kisasa ambao umerithiwa kutoka nchi za Magharibi hususan suala la ugaidi na michafuko ya kidini katika jamii. Bila ya kwenda nao sambamba na kuwabana ipasavyo, Waislamu huwa ni tishio kubwa la usalama na maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Si lazima uwe mfuatiliaji wa karibu wa masuala ya tishio la uchochezi walilonao Waislamu ili kung'amua uzito wake. Mfano mdogo; serikali imepiga marufuku mahubiri yote ya uchochezi wa kidini haswa yale Waislamu dhidi ya Wakristu (au kwa jina lingine "mihadhara"). Licha ya yote haya, hadi hivi leo, ni kawaida kabisa kusikia mahubiri yenye kashfa nzito za udini dhidi ya Wakristo na Ukristo zikitangazwa kwenye vipaza sauti vyenye uwezo wa kusikika kilomita kadhaa kutoka misikitini zinapotolewa hotuba hizi hadi sehemu za makazi ya raia wa dini mbalimbali KILA SIKU! Waislamu wanafanya hivi wakijua fika kwamba ni kinyume cha sheria na la ajabu ni kwamba hakuna hatua yoyote inayochukuliwa dhidi ya wahusika. Kwa kifupi; ustaarabu mzima unaoendana na dini ya Kiislamu kimsingi unapingana na maadili ya utawala, haki za binadamu na uhuru wa mtu binafsi kama tunavyozijua kwenye mfumo wa maisha wa kisasa kwenye dunia ya leo, na ni hatari sana kwa usalama wa jami. Ndiyo maana watawala wetu waliamua kufuatilia kwa karibu sana shughuli zote za Waislamu kabla na baada ya uhuru na hadi hivi leo.


i like you signature,surely result may vary..!
Hv unaishi Tanzania au uko nnje?
Ni nacho ona mimi hapa kwenye hili swala la miadhara unakosea au unatoka nnje ya HOJA au labda ndio unavyo jenga HOJA yako ya kukataa Hii mahakama.
For you information hata wakristo wanavyo vikundi vyao vya miadhara na hii imekua hivyo kwa muda sasa hapa Bongo,sasa sijui nani anamtukana mwenzie na wote wanatumia hivyo vipaza sauti na kutukana (kama hivyo ndivyo what you see) na maisha yanaendelea na sijasikia kwamba muhadhara wa waisilamu wametoka wakaenda kwa wakristo wakashikana mashati.
 
Nitatoa vitu vichache ambavyo kwanza kisheria vinapingana na katiba. Ikiwa kweli kuna uhuru wa kila dini kuamini ama kuabudu inakuwaje Sheikh mkuu wa waislaam anachaguliwa na serikali tofauti na dini nyinginezo?..

Ni chombo gani cha serikali kinachomteua Sheikh Mkuu wa waislamu? Sijawahi kusikia Rais au waziri yeyote akifanya uteuzi huo. Huu ni uongo.
Imekuwaje serikali kuingilia maswala ya dini hii badala ya kuwaacha wao wajiendeshe kama dini nyinginezo...

Wanaingilia kwa vipi? Kama kuwakodishia ndege kwenda kuhiji? Mfumo wa dini ya kiislamu sio kama ulivyo kwa wakristu ambako chain of command iko wazi. Kwa waislamu kila sheikh ana mamlaka kamili na msikiti wake tofauti na wakristo ambako padri anawajibika kwa askofu na askofu kwa askofu mkuu na kwa wakatoliki askofu mkuu au kadinali kwa Papa. Sidhani kama masheikh na maimam wanawajibika kwa mufti kwa namna hii. Hali hii inapelekea wakati ambapo panakosekana authority inayotambulika na wote na hivyo kuilazimisha serikali katika wajibu wake wa kulinda amani kwa raia wake wote kuingilia. Hamuwezi kudai utaratibu kama ulivyo kwa wakristu maana ni alien kwenu. Ni vigumu kumpata atakayewasemea waislamu wote.

je, hili swala la kutakiwa mahakama ya kadhi hakuwezi kuwa ni chimbuko la mfumo huu wa kuhusisha serikali ktk maamuzi ya dini hii inapofikia swala la viongozi wake?..

Wanaopigia debe hii mahakama ni hao hao wanaoilaumu serikali kwa kuwaingilia katika maamuzi yao. Serikali kwa ujumla wake inasita kwenye hili swala maana inajua itatupiwa lawama kwa vyovyote vile!

Wakristu na dini nyinginezo zote zinaweza kumsimamisha Padre ama kiongozi wa dini kwa kupitia uongozi wa kanisa hilo na ikatambuliwa na serikali tena sio yetu tu bali hata nje lakini sio Waislaam ambao wako controlled na serikali toka uongozi hadi chombo cha dini..

Waislamu hamna uongozi kama huo unaotambulika. Ni nani mwenye mamlaka ya kumsimamisha Padre nje ya wanaoabudu katika msikiti wake? Si ndiyo maana bakora haziishi?

Sasa ikiwa serikali imechagua dini moja tu kui control na hamkuona tatizo iweje dini hiyo inapoweka hoja yake iwe tatatizo hali ham question kilichosababisha kuwepo kwa control ya serikali ktk uongozi wa dini hiyo?

Serikali hai'control' waislamu bali iko sensitive sana kwa mahitaji yao. Mtofautishe kati ya viongozi walio waislamu na serikali. Mheshimiwa Kikwete Yanga lakini serikali si yanga.

Pili, katika moja ya imani za dini hii wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja, Je, inapofikia mume amefariki, sheria ya nchi yetu inasema vipi kuhusiana na mirathi kati ya wanawake hawa wanne wenye watoto!.who gets what? au ndio anatambuliwa mke wa kwanza na watoto wake...nambieni sheria inasema vipi!

Inatazamwa miongozi ya dini husika inasemaje. Vile vile ni muhimu kuangalia kama hao wote walioolewa, walitambulika kisheria? Kwa maneno mengine, ndoa zao ziliandikishwa?
tatu, Ikiwa serikali inatambua hati za ndoa za waislaam, ni kwa kiwango gani mahakama zetu zimejifunza sheria za kiislaam zinazohuaiana na ndoa hizo ikiwa mwanamme/mwanamke atataka talaka..Nijuavyo mimi talaka haiwezi kuwa talaka kama certificate of divorce haijaltolewa na mahakama.. Je, yule mtu anayeandika talaka kama inavyosadikika na wengi humu (sijui talaka tatu) hiyo ndoa haitambuliwi tena kisheria (serikalini)!..

Kama vile ambavyo ndoa inakamilika inapoandikishwa. Ni wajibu wa anayetoa hiyo talaka kuikamilisha kisheria. Mbona wakatoliki hawana neno talaka lakini serikali inaweza kuwatalakisha wakatoliki? Hawa machoni mwa sheria ndoa yao itakuwa batili lakini kwenye dini yao itakuwa hai. Wahusika wataweza kufunga ndoa nyingine serikalini lakini mbele ya kanisa ndoa hiyo haitatambuliwa! Huu, je, nao ni uingiliaji wa masuala ya dini kwa serikali?
Na je hiyo ndivyo inavyotakiwa kulingana na sheria za ndoa za kiislaam maanake wameamua kuzitambua ndoa ni lazima pia sheria za ndoa hizo zifuatwe au sio?...

Hapa unauliza nini?
Kama taifa ni sheria gani za ndoa na mirathi huwa zinafuatwa?...
na

Ditto!

kwa nini ikiwa kila Mtanzania anaruhusiwa kufunga ndoa ktk kanisa lolote la imani yake bila kuangalia matatizo madogo madogo ambayo yanaweza kujengeka ndani ya imani hizo!...

Matatizo yapi? Kwani waislamu wanavizuizi gani katika kufunga ndoa? serikali imewachagulia misikiti ya kufungia ndoa?

Nijuavyo mimi nchi za magharibi kwa kuepuka matatizo zime adopt uhuru wa mtu kuoa mke mmoja tu (Christianity) hivyo hata ukiwa na dini tofauti inapofikia maswala ya maamuzi hutazamwa watu wawili tu..Kinyume cha hapo ni kuvunja sheria.

Hizi ni nchi ambazo kwa muda mrefu zilikuwa ni za kikristu. Waislamu wameanza kuingia kwa wingi siku za karibuni na bado idadi yao ni ndogo kuweza kubadilisha sheria hizi.
 
For you information hata wakristo wanavyo vikundi vyao vya miadhara na hii imekua hivyo kwa muda sasa hapa Bongo,sasa sijui nani anamtukana mwenzie na wote wanatumia hivyo vipaza sauti na kutukana (kama hivyo ndivyo what you see) na maisha yanaendelea na sijasikia kwamba muhadhara wa waisilamu wametoka wakaenda kwa wakristo wakashikana mashati.

Mkuu Sanda, ukweli unabakia palepale. Hii dhana nzima ya kutumia mahubiri ya uchochezi kutoka misahafu ya dini moja dhidi ya dini nyingineyo (au kwa jina maarufu "mihadhara") walianzisha Waislamu enzi za Mzee Rukhsa Al Hadj Ali Hassan Mwinyi. Ni kutokana na mashambulizi makali kutoka kwenye makundi au vikosi vilivyojidhatiti vilivyo vya Waislamu wenye msimamo mkali ndipo Waumini wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wakaamua kujibu mapigo in kind. Wazungu wanasema: "To every action there is an equal an opposite reaction". Hiyo ni Natural Law of Physics isiyopingika. Nenda katafakari mjomba!
 
Sanda Matuta,
Mkuu kwa maelezo ya Mkamap, ndicho nilichokuwa nikizungumzia na nadhani hata Tanzanianjema ndicho alichokielewa..Watu wanazungumza kwa rangi zao... ushabiki wa Ynaga na Simba.Haya maswala ya Waislaam kuwa na Ugaidi sijui kimeanza lini maanake Bakwata ipo tangu wakati wa Nyerere kabla kabisa ya masala ya 9/11.. na ajabu ni kwamba 9/11 haihusiani kabisa na Waislaam isipokuwa waarabu hasa Saudia na Egypt ambao wanataka Wamerekani waondoke nchi zao...leo imekuwa swala la Waislaam kwa sababu tu Bush na Marekani wameweka madai hayo.. Huu ndio upuuzi naozungumzia....
Fundi Mchundo, kama huna hata logic then itakuwa sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.. ni kupoteza muda na itakuwa vizuri uachane na mimi...
Mkamap, Unataka kujua ni kiongozi gani aliyemchagua Sheikh Mku hapa mkuu unajaribu kusema nini maanake sikufahamu... Ni kiongozi gani aliyemchagua mwenyekiti wa Wanawake UWT, nakama humjui unataka kusema comho hicho hakina uhusiano na serikali yetu...Sasa tazama hiki ni chombo cha wanawake ambao hawana sheria ama imani tofauti na wanaume na sheria zinazotumika zinaeleweka wazi lakini Bakwata chombo kinachotakiwa kuwa huru kimeanzishwa kama UWT, halafu unataka kuuliza nani kamchagua nani?...
Kwanza mkuu elewa Bakwata ni kitu gani kisha kinawakilisha nani na utazame vyombo vingine ambavyo vinawakilisha dini zao. Waislaam wanachodai ni haki sawa na vyombo vinginevyo... wamchague Sheikh wao kulingana na taratibu zao.. serikali isiwe na mkono ndani ya malengo ama maendeleo ya waislaam kama vyama vingine.. ndio maana wameshindwa kutatua swala la kadhi kwa sababu chimbuko la swala hili linatoka serikalini.. Hivyo ni jukumu la serikali hiyo hiyo kuweza kutatua swala la kadhi kwani kama Waislaam wangekuwa huru kama dini nyinginezo swala la kadhi lisingekwenda bungeni...Kujihusisha kwa serikali ktk maswala ya waislaam ndiko kunakoipa nguvu hoja ya korti ya kadhi...

Binafsi sikubaliani na swala la kadhi kwa sababu nchi yetu inatawaliwa zaidi ya maswala ya Asili zetu zaidi ya dini. Watu (waislaam) wengi wanaoa wake zaidi ya mmoja si kwa sababu ni waislaam isipokuwa wanafuata zaidi sheria za kiasili na ndio maana hata wakristu wanaoa wake zaidi ya mmoja kutokana na mila za kabila lake..Kuna vitu vingi sana ambavyo haviwezi ku qualify kama Uislaam wakati wananchi bila kuelewa wanavitumia.. mfano Mchagga na Kisusio.. Kisusio ni mchanganyiko wa DAMU na muislaam haruhusiwi kunywa damu - ni haramu..

Pamoja na yote haya tunaambiwa korti ya kadhi itakuwa ina deal na maswala maalum yanayohusu Uislaam lakini huwezi kutumia sheria ya dini mahala ambapo waumini wake hawafuati sheria za dini...
Na nilisema huko nyuma hadi hapo waislaam wenyewe watakapoweza kufuata dini yao na maamrisho ya dini yao ndipo korti kama hizi zinaweza kutumika laa sivyo vitafutwe vifungu vya sheria ambavyo vinaweza kutatua matatizo ya ndoa na mirathi kwa waislaam na wote waliofunga ndoa zaidi ya mke mmoja na vyeti gani vitambuliwe! vipi kuhusiana na mtoto nje ya ndoa na kadhalika yote haya ni matatizo ya kisheria ambayo yametokana na nchi yetu kutawaliwa na tukaacha tamaduni na mila zetu. It's a price we have to pay!
 
Sanda Matuta,
Mkuu kwa maelezo ya Mkamap, ndicho nilichokuwa nikizungumzia na nadhani hata Tanzanianjema ndicho alichokielewa..Watu wanazungumza kwa rangi zao... ushabiki wa Ynaga na Simba.Haya maswala ya Waislaam kuwa na Ugaidi sijui kimeanza lini maanake Bakwata ipo tangu wakati wa Nyerere kabla kabisa ya masala ya 9/11.. na ajabu ni kwamba 9/11 haihusiani kabisa na Waislaam isipokuwa waarabu hasa Saudia na Egypt ambao wanataka Wamerekani waondoke nchi zao...leo imekuwa swala la Waislaam kwa sababu tu Bush na Marekani wameweka madai hayo.. Huu ndio upuuzi naozungumzia....
Fundi Mchundo, kama huna hata logic then itakuwa sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.. ni kupoteza muda na itakuwa vizuri uachane na mimi...
Mkamap, Unataka kujua ni kiongozi gani aliyemchagua Sheikh Mku hapa mkuu unajaribu kusema nini maanake sikufahamu... Ni kiongozi gani aliyemchagua mwenyekiti wa Wanawake UWT, nakama humjui unataka kusema comho hicho hakina uhusiano na serikali yetu...Sasa tazama hiki ni chombo cha wanawake ambao hawana sheria ama imani tofauti na wanaume na sheria zinazotumika zinaeleweka wazi lakini Bakwata chombo kinachotakiwa kuwa huru kimeanzishwa kama UWT, halafu unataka kuuliza nani kamchagua nani?...
Kwanza mkuu elewa Bakwata ni kitu gani kisha kinawakilisha nani na utazame vyombo vingine ambavyo vinawakilisha dini zao. Waislaam wanachodai ni haki sawa na vyombo vinginevyo... wamchague Sheikh wao kulingana na taratibu zao.. serikali isiwe na mkono ndani ya malengo ama maendeleo ya waislaam kama vyama vingine.. ndio maana wameshindwa kutatua swala la kadhi kwa sababu chimbuko la swala hili linatoka serikalini.. Hivyo ni jukumu la serikali hiyo hiyo kuweza kutatua swala la kadhi kwani kama Waislaam wangekuwa huru kama dini nyinginezo swala la kadhi lisingekwenda bungeni...Kujihusisha kwa serikali ktk maswala ya waislaam ndiko kunakoipa nguvu hoja ya korti ya kadhi...

Binafsi sikubaliani na swala la kadhi kwa sababu nchi yetu inatawaliwa zaidi ya maswala ya Asili zetu zaidi ya dini. Watu (waislaam) wengi wanaoa wake zaidi ya mmoja si kwa sababu ni waislaam isipokuwa wanafuata zaidi sheria za kiasili na ndio maana hata wakristu wanaoa wake zaidi ya mmoja kutokana na mila za kabila lake..Kuna vitu vingi sana ambavyo haviwezi ku qualify kama Uislaam wakati wananchi bila kuelewa wanavitumia.. mfano Mchagga na Kisusio.. Kisusio ni mchanganyiko wa DAMU na muislaam haruhusiwi kunywa damu - ni haramu..

Pamoja na yote haya tunaambiwa korti ya kadhi itakuwa ina deal na maswala maalum yanayohusu Uislaam lakini huwezi kutumia sheria ya dini mahala ambapo waumini wake hawafuati sheria za dini...
Na nilisema huko nyuma hadi hapo waislaam wenyewe watakapoweza kufuata dini yao na maamrisho ya dini yao ndipo korti kama hizi zinaweza kutumika laa sivyo vitafutwe vifungu vya sheria ambavyo vinaweza kutatua matatizo ya ndoa na mirathi kwa waislaam na wote waliofunga ndoa zaidi ya mke mmoja na vyeti gani vitambuliwe! vipi kuhusiana na mtoto nje ya ndoa na kadhalika yote haya ni matatizo ya kisheria ambayo yametokana na nchi yetu kutawaliwa na tukaacha tamaduni na mila zetu. It's a price we have to pay!

Mkandara
Unakosea sana.
Nikupe mfano Uongozi wa Kanisa Katoliki wanateuliwa kutoka makao makuu ya Kanisa VATICAN.Waislamu kama wanaona mkono wa serikali unaingia KUDESA sio vibaya WADESE mfumo wa katoliki SHIEKH naye ateuliwe kutoka SAUDI ARABIA ama MAKKA.

Mimi na uhakika kabisa kama KANDINAL PENGO angeteuliwa na wakatolik watanzania Lazima watu wangesema ni mkono wa serikali ama CCM ndio umemweka pengo.

HILO la KADHI sio kwamba halina tiba ila ni makosa ya WAISLAMU Kuchukua swala lao la KIDINI na KIIMANI kuwakabidhi WANASIASA WANAFIKI ili hawa wanasia WANAFIKI walitolee Majibu suala la IMANI.
Hapo wanasiasa sio kwamba hawana jibu la KADHI ila wanaangalia maslahi yao kisiasa yani je tukikubali hii KADHI Tutapata KURA za wakristu 2010 ,ama je tukiikataa hii KADHI tutapata kura za waislamu 2010 ,ndio maana inabaki kupigwa danadana ili wasi loose kura pande zote.

Majibu yote ya kadhi yapo wazi ktk katiba ya jamhuri ,wanasiasa wasingekua wanafiki wangesoma tu hiyo katiba inasema nini na kutoa majibu stahiki kulingana na katiba.

Mimi hua siogopi kuhoji mfano nitahoji.
Kama kadhi ni sehemu ya IBAADA iweje hii IBAADA ikabidhiwe kwa KAIZAR ili aitolee majibu yampendezayo MUNGU?? mimi nadhani kitu ukikabidhi kwa kaizar kiko ktk himaya yake na ukikabidhi kwa Mungu kinakua ktk himaye yake pia.Ama wewe unaonaje?
 
Fundi Mchundo, kama huna hata logic then itakuwa sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.. ni kupoteza muda na itakuwa vizuri uachane na mimi...

Nimekupata Mkuu! Sitarudia.
 
Lakini Zanzibar Makadhi wapo na wanaye Kadhi Mkuu na hilo si kinyume na Katiba ya Muungano...?
 
Back
Top Bottom