Ni sahihi kutumia walioingia mikataba mibovu kushauri kuivunja na baadaye kutuwakilisha mahakama za kimataifa tunaposhtakiwa?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mikataba yote Tanzania ya kimataifa wanatuwakilisha watumishi wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Mshauri Mkuu wa serikali kuhusu kuvunja mikataba hiyo ni Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaotuwakilisha katika mahakama za kimataifa katika kesi tunazoshtakiwa nazo ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaotetea hoja baada ya serikali kushindwa kesi hizo ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaoeleza kwa public na bunge mapungufu ya mikataba ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaoshauri wanaopinga mikataba hiyo wachukuliwe hatua za kisheria ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaopaswa kuchukua hatua pale walioingia mikataba mibovu wanapobainika ni ofisi zilizopo wizara ya katiba na sheria

Kwa kifupi wizara ya katiba na sheria ndiyo yenye dhamana nzima ya mikataba ya nchi yetu..

Je, huu muundo unatija kwa rasilimali za nchi kimikataba? Haiwezi kuwa sehemu ya watumishi kuchukua fedha za kuingia mikataba wakaingiza nchi kichakani, then wanashauri kuvunjwa mikataba na wakaandaa timu yao kwenda kula Bata nje na baadaye fidia inapotoka wakapata mgawo? Kwanini hakuna kesi inayofunguliwa kwa wanaosababisha mikataba mibovu?
 
Hili la kushindwa KESI na kuisababishia SERIKALI, hasara kwa kulipa mabilioni,nadhani ni MCHONGO..inaonekana CCM or baadhi ya watu wanafaidika na hizi kesi..kama sivyo kwa nini waliosababisha HASARA hawachukuliwi HATUA?
 
Mikataba yote Tanzania ya kimataifa wanatuwakilisha watumishi wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Mshauri Mkuu wa serikali kuhusu kuvunja mikataba hiyo ni Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaotuwakilisha katika mahakama za kimataifa katika kesi tunazoshtakiwa nazo ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaotetea hoja baada ya serikali kushindwa kesi hizo ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaoeleza kwa public na bunge mapungufu ya mikataba ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaoshauri wanaopinga mikataba hiyo wachukuliwe hatua za kisheria ni ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Wanaopaswa kuchukua hatua pale walioingia mikataba mibovu wanapobainika ni ofisi zilizopo wizara ya katiba na sheria

Kwa kifupi wizara ya katiba na sheria ndiyo yenye dhamana nzima ya mikataba ya nchi yetu..

Je, huu muundo unatija kwa rasilimali za nchi kimikataba? Haiwezi kuwa sehemu ya watumishi kuchukua fedha za kuingia mikataba wakaingiza nchi kichakani, then wanashauri kuvunjwa mikataba na wakaandaa timu yao kwenda kula Bata nje na baadaye fidia inapotoka wakapata mgawo? Kwanini hakuna kesi inayofunguliwa kwa wanaosababisha mikataba mibovu?
Naunga mkono hoja.
P
 
Sasa watapiga wapi wakifanya mambo kwa usahihi.
Ujapata nafasi ya kupiga tulia
 
Hayo maswali magumu mno. Mbona maswali rahisi hatupewi majibu? Unategemea kutoa Phd ya heshima ya chuo kipi kama hamasa kwa ye yote atakayeyapatia ufumbuzi? Halafu unajua watendaji wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wanapatikana baada ya kufauli "mitihani" gani? Heri ya Mwaka Mpya 2024.
 
Back
Top Bottom