Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Hiyo mahakama itakuwa na askari wake?
Wale walioolewa au kuoa waislamu wanaweza kushitakiwa kwenye mahakama ya kadhi. kama kadhi akipelekewa kesi na muislamu kwamba mtu wa dini nyingine amemdhulumu kadhi ataamuaje kesi hiyo
Qurani imeruhusu mahakama ya kadhi ifanye kazi nusunusu na kuacha mambo mengine yaamuliwe na mahakama isiyo ya kiislamu? kwa mfano muislamu akibadili dini wazazi au ndugu zake wakienda kwa kadhi na kushitaki kwamba ndugu yao "ameritadi" kadhi atafanyaje?
Mwizi akikamatwa anaiba msikitini atapelekwa kwa kadhi au atapelekwa polisi? na muislamu akifumwa anazini na muislamu mwenzake itachukuliwa ni kosa la kijamii au la kidini,yaani atahukumiwa na mahakama ya kadhi au sheria za kijamii na serikali ndizo zitachukuwa mkondo wake?
Mirathi ya mwanaume wa kiislamu aliyeoa mke wa dini nyingine na waliozaa watoto ambao ni waislamu itaamuliwa kwenye mahakama za serikali au kwa kadhi ,na jee huyu mwanamke atahesabiwa kama ni mke halali wa marehemu?

Last edited: