Chama cha CUF kinatarajia kuanza ziara ya muda mrefu katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa lengo la kuimarisha ngome zake kanda ya ziwa.Taarifa ya chama hicho inasema Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar Ismail Jussa ataongoza ziara hiyo akishirikiana na Naibu Katibu mkuu bara Julias Mtatiro.Ziara hiyo itaanza tarehe 22 Februari hadi 20 April.
My take: Inabidi Jussa aombe radhi kwa kauli yake kuwa CUF ilishindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo wengi na Watanzania Bara wengi.Pia nadhani wanasiasa wanapaswa kuchunga sana kauli zao.
My take: Inabidi Jussa aombe radhi kwa kauli yake kuwa CUF ilishindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo wengi na Watanzania Bara wengi.Pia nadhani wanasiasa wanapaswa kuchunga sana kauli zao.