Jussa wa CUF kutikisa kanda ya ziwa.

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha CUF kinatarajia kuanza ziara ya muda mrefu katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa lengo la kuimarisha ngome zake kanda ya ziwa.Taarifa ya chama hicho inasema Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar Ismail Jussa ataongoza ziara hiyo akishirikiana na Naibu Katibu mkuu bara Julias Mtatiro.Ziara hiyo itaanza tarehe 22 Februari hadi 20 April.

My take: Inabidi Jussa aombe radhi kwa kauli yake kuwa CUF ilishindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo wengi na Watanzania Bara wengi.Pia nadhani wanasiasa wanapaswa kuchunga sana kauli zao.
 
Jussa na Mtatiro kwa kujitengenezea Perdiems hawajambo! Uchaguzi ukiisha Arumeru utaskia wanaenda na huko kuimarisha chama!
 
Nadhani Jussa amekubaliana na ukweli kuwa watu wa Zanzibar ni wachache na Zanzibar ni ndogo, haitoshelezi kura za CUF kujijenga katika nchi ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA bila ya watu wa Bara na wakristu. Otherwise iendelee kujijenga kwenye mikoa mitano iliyopo Unguja na Pemba.
 
atatikisa?atatikiswa?eleweka mkuu maana huku bara,na aliishatanabaisha kwenye wabara cuf haina nguvu
 
Huko kote amekosa misikiti ya kuswali mpaka aje kanda ya Ziwa? Mwacheni aje akutane na nguvu ya umma asingizie kuwa kwa vile hakuna wazanzibari na misikiti ya kutosha!
 
Jassu kwa kauli zake za kidini,kibaguzi na kebehi kwa watanganyika na wakristu hatumuhitaji kanda ya ziwa huku,asije akajutia ujio wake bure!
 
Huyu anatakiwa apopolewe mawe mbaka akae sawaa! kwa kauli zake za kumdhihaki nyerere na samweli sitta ..wakazi wa urambo wanatakiwa kumtungunyua na mawe kisawa sawa..anajiona celebrity sana..haijui bongo huyu...amuulize Nepi alimpowaambia wasukuma wanashikishwa ukuta alikipata nini..
 
pamoja sana cuf tunakuaminia. Ingekuwa vyema mkamrudisha kundini Jemsi MAPALALA HUKO KANDA YA ZIWA MGE WA KAMATA. MAANA JUSSA NA MTATIRO PEKE BADO HAMJAJAZA KIKOMBE. LAKINI TUNAKUBARI HARAKATI ZENU. INGEKUWA VITANGULIZI AKINA JUSSA NA MTATIRO HALAFU FUNIKO NI LIPUMBA SAMBAMBA NA MAPALALA MBONA PASINGETOSHAAAAAAAAAAAAAAA HATA WIVU UNGEWAINGIA WANAOJITIA MA BINGWA WA KANDA YA ZIWA. Pamoja sana
 
atatikisa?atatikiswa?eleweka mkuu maana huku bara,na aliishatanabaisha kwenye wabara cuf haina nguvu
Kweli mkuu, kwao tu huko Uzini CUF mdebwedo. Kashindwa kutikisa kwao kwenye waislamu wengi na watu kiduchu, ataweza kanda ya ziwa?
Pengine huyo Itatiro ampeleke kwao kwanza afunzwe kuueshimu waTanganyika
 
Chama cha CUF kinatarajia kuanza ziara ya muda mrefu katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa lengo la kuimarisha ngome zake kanda ya ziwa.Taarifa ya chama hicho inasema Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar Ismail Jussa ataongoza ziara hiyo akishirikiana na Naibu Katibu mkuu bara Julias Mtatiro.Ziara hiyo itaanza tarehe 22 Februari hadi 20 April.

My take: Inabidi Jussa aombe radhi kwa kauli yake kuwa CUF ilishindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo wengi na Watanzania Bara wengi.Pia nadhani wanasiasa wanapaswa kuchunga sana kauli zao.

Jussa aitikise kanda ya ziwa kwa uchawi au mazingaombwe gani? Badili kichwa cha mada, huku sio kisiwandui kwa kutikiswa na sahani za ubwabwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom