luhala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 412
- 142
Ukiwachunguza sana wanaopiga kelele na kuendesha propaganda za chuki dhidi ya bara utagundua wengi wao ni wale au wenye asili ya uarabuni au waliochanganya damu hata kwa mbali kama hao kina Jussa.Mzee Nasor Moyo amesema BLW lililokasimiwa madaraka na Baraza la Mapinduzi ndiyo wenye dhamana ya kuiokoa Zanzibar kutoka katika'ukoloni'. Jambo la kushangaza mzee wa watu ameshambuliwa hata kuitwa Kibaraka, juha asiye na elimu, na wengine wamekwenda mbali na kusema hajawa waziri kiongozi au Rais kwahiyo uelewa
wake ni mdogo sana.
Hao wanaomkashifu mzee Moyo ndio hao hao wanaomshangilia Jusa ambaye hajawahi kuwa hata waziri au katibu mkuu.
WZNZ waelewe kuwa tatizo lao si uwepo wa Tanganyika ni wao kutaka kuvunja muungano.
JF imetoa options nyingi sana za kufanya hivyo lakini hakuna hata mmoja anyethubutu kuzitumia.
Jusa anayeongea akiwa India hakuwahi kuongea ndani ya Bunge au BLW ambako yeye ni mwakilishi.
Hajajaribu kuwasilisha hata nusu karatasi ya mswada wa kutaka ZNZ yenye mamlaka na kuvunja muungano.
nja muungano ilikuja kwa kasi sana, hatukusikia mkataba au serikali 3.
Tukasikia hata kama mafuta ni kijiko kimoja muungano uvunjwe.
Leo jeuri imekwisha na WZNZ wanAtaka mkataba na nchi ya Nyerere wasIyetaka hata kumsikia.
Ukipenda boga penda na maua yake.
Sasa ndiyo naelewa alichomaanisha Nyerere aliposema "Chama legelege
huzaa serikali legelege" Upuuzi unaofanyika siku hizi Zanzibar usingewezekana kama chama kinachunda serikali yaani CCM kingekuwa imara. Chama kimechakachuliwa, ni dhaifu, kimeingiwa na funza wanaokipekecha toka ndani na kila kiongozi ana bei yake! Ni wazi sasa hatazile vurugu zawahalifu wanaojiita "wana uamsho" zinafadhiliwa na viongozi walio ndaniya serikali akiwemo Seif mwenyewe! Ndiyo maana hutasikia wahalifu waliofanya uharamia ule hawafikishwi kwenye mikono ya sheria! Hata ustawi wa CUF umechangiwa na watu wenye 'connections' na watawala waliofurushwa miaka karibu 50 iliyopita. Propaganda hatari za 'waliofanya mapinduzi hawakuwa wazanzibari eti wamakonde toka bara zinaongeza chuki na kuandaa visasi kwa wazee na familia za wazalendo walioikomboa Zanzibar 1964 na tusishangae yakitokea mauaji kama ya Rwanda, safari hii Zanzibar. Haiingii akilini kuona yote haya yakitendeka chini ya pua zavyombo vya dola bila ya kuchukuliwa hatua. Kuna msemo unaosema kuwa 'ukimwona ngdere mjini ujue wa mwenyewe; kafugwa, nami nasema ukimsikia Jussa anabwabwaja, Uamsho wanatamba; ujue wana wenyewe ndani ya serikali wanaowatuma, kuwamiki nakuwalinda.