Watanganyika Historia yao hawaijui sasa wataijuaje Historia ya Palestine na Al Aqsa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Nakumbuka Kwenye mkutano wa ACT Wazalendo pale Zanzibar walipokuwa wanazungumzia Uwekezaji wa DP World Kiongozi mh Jussa alisema tatizo Kubwa la Watanganyika ni Uvivu wa Kusoma historia

Jussa alisema Watanganyika Historia yao hawaijui hivyo hawawezi Kuwa na uelewa wowote wa Historia ya Zanzibar

Nimeona mjadala wa Watanganyika baada ya Tundu Lisu kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa Israel na Palestine, Makubaliano na Jussa

Lisu amesema facts zote za kihistoria na rejea za maazimio ya UN lakini Watanganyika wameng'ang'ana na Kauli ya Isaka kwa Yakobo kwamba " Kila akubarikiye atabarikiwa na kila akulaaniye atalaaniwa"

Ikumbukwe kuwa Wakati Yakobo anabarikiwa alikuwa amejivisha ngozi ya Mbuzi mikononi ili kumtapeli baba yake aliyekuwa haoni

Ndio Sababu Sisi wengine tulikasirika yule muethiopia alivyoiita CCM kuwa Chama Cha Mambuzi 🐼

Watanganyika someni historia kama Wenzenu Wazanzibari

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
 
Hahaha imani huwa inaondoa reasoning hata professor utamkuta kwa mwamposa akila keki ya upako. Hata akiambiwa alale atiwe bakora atalala tu
 
Nakumbuka Kwenye mkutano wa ACT Wazalendo pale Zanzibar walipokuwa wanazungumzia Uwekezaji wa DP World Kiongozi mh Jussa alisema tatizo Kubwa la Watanganyika ni Uvivu wa Kusoma historia

Jussa alisema Watanganyika Historia yao hawaijui hivyo hawawezi Kuwa na uelewa wowote wa Historia ya Zanzibar

Nimeona mjadala wa Watanganyika baada ya Tundu Lisu kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa Israel na Palestine, Makubaliano na Jussa

Lisu amesema facts zote za kihistoria na rejea za maazimio ya UN lakini Watanganyika wameng'ang'ana na Kauli ya Isaka kwa Yakobo kwamba " Kila akubarikiye atabarikiwa na kila akulaaniye atalaaniwa"

Ikumbukwe kuwa Wakati Yakobo anabarikiwa alikuwa amejivisha ngozi ya Mbuzi mikononi ili kumtapeli baba yake aliyekuwa haoni

Ndio Sababu Sisi wengine tulikasirika yule muethiopia alivyoiita CCM kuwa Chama Cha Mambuzi 🐼

Watanganyika someni historia kama Wenzenu Wazanzibari

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
Wanaoijua historia ya Tanganyika ni wakongwe Wahenga kama sisi ambao pia tumebaki wachache sana hapa Tanganyika ya zamani 😅😅🙏🙏
 
Nakumbuka Enzi ya Mwalimu wakati Duniani kuna East, West na Non Alignment Countries, Tanzania tulikuwa tunaSupport Wapigania Uhuru WA Palestina. Hatukuwa na Uhusiano na Israel wala South Africa na Mtanzania kwenye passport alikataliwa asiende hizo Nchi. Yasser Arafat alikuwa kiongozi wa Palestina mwenye msimamo mkali. Nilikuwa nasikia ukanda wao wa Gaza umekaliwa na Israel Hivyo walikuwa wanapigana kukomboa ukanda huo. Anyway sikuwa naelewa Sana Ila nilikuwa niliamini Wanaonewa. Hilo kundi la Hamas sikumbuki kulisikia. Sinza Palestina tulikuwa na Madaktari Kutoka Palestina na Mmoja alikuwa mwananyamala. Siku zikaenda zikarudi Tz tukapewa Pass ya kuingia Israel tukalitambua kama Taifa. Yasser Arafat akafa Palestina ikawa bado inapigana Vita na Waisrael ambao Siku zote huwatandika hasa to-date.
 
mkuu endelea na utabarikiwa Mungu mwenyewe!
 
Ni kweli kabisa hao jamaa wa Palestina huwa wanatandikwa sana kama ulivyosema ! Lakini na wao pia huwa wanawavizia mahasimu wao na kuwaua kama walivyofanya tarehe 7 October ambapo ndio ikasababisha waanze kuwatandika tena wapalestina kama usemavyo lakini ujue vita havina macho na kwamba pande zote mbili watu wanakufa japo hata kama hesabu za maafa hazilingani !
Je unaona ni sahihi waendelee kuuana hivyo hivyo mpaka mwisho wa Dunia ??!
Vita yao hao watu imeanza tangu mwaka 1948 huwa inasimama kwa muda kisha baada ya miaka kadhaa wataanza kuuana tena !!
Hayo sio maisha mazuri kwa pande zote Mkuu !!
 
Wenyewe hawapendi Amani.
 
Wenyewe hawapendi Amani.
Dunia nzima pamoja na wanaoipa misaada ya hali na mali Israel wanataka ziwepo Nchi mbili pale!
Two states solution ! Na Jerusalem mashariki iliyotekwa kwenye vita ya mwaka 1967 irudishwe kwa wapalestina !
Lakini Israel haitaki kukubali. !
Lakini mwisho watakubali tu maana vita havina macho.
Pande zote wanakufa !
 
Stori ya Tanganyika kidogo ifanane na historia ya wana Israel kwenye nchi ya Palestina

Tanganyika ilikuwepo kabla ya Tanzania, bila kujali watu wakaifuta, badae wakianza kudai Tanganyika yao Tanzania watasema wavamizi hawa.

Nchi ya Palestina sasa iliitwa Kanaani hapo kale, moja ya wakazi wake walikuwa Wakanaani wenyewe, Wafilisti na Wayahudi wakitawala sehemu kubwa ya nchi, maeneo ya Gaza walikaa Wafilisti.

Nchi yote ya Palestina imejaa historia za Wayahudi zaidi kuliko wakaazi wengine pale.

Baadae 1948, wakataka watambulike kwa jina na wapewe eneo la kukaa, ila wamekuwa hapo pamoja na waarabu na Wakristo sikuzote.

Nchi mbili ndani ya Palestina ingekuwa suluhu mujarabu.
 
Two States solution !!
 
Back
Top Bottom