DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Nkamia angebaki akitangaza kipindi cha SALAM MKULIMA NDO FANI YAKE
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?

HIVI NKAMIA AMEkuwa mjinga hivi kwa sababu gani?
Wabunge wa CCM toka Singida sijui wana matatizo gani

Juma Nkamia ni mbunge wa Kondoa kusini mkoa wa Dodoma.
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.
Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.
Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.
Naombeni CV yake huyo Mkamia

Hawa ndio wabunge waliofilisika kabisa. Wewe umetumwa na wananchi bungeni kutetea maslahi yao leo pasipo aibu kabisa unasimama na kuweka hoja ya kwausaka wananchi walokutuma kwa sababu unataka kuonyesha mlinzi wa rais na viongozi..whose side are You on?Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.
Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.
Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.
Hajiamini huyo ndio maana kapata kigumizi kuitaji JF,ndio ujinga wa hawa wabunge wa magamba hayo ndio matatizo aliyotumwa na wapiga kura wake????Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.